Tazama hapa watu wenye kazi ngumu

Hii kozi dawa yake unaisomea ki extra curricular. Unakuwa zako unapiga mzigo kwingine halafu wikendi unaifanya. Mteja wangu wa kwanza awe hata Mobeto
 
Chuo cha kujifunza kuchora tatuu tafadhali. Natanguliza shukrani.
dodoma majengo kwa kisuu niliapa sitaenda tena.niliwapeleka ndugu fulani wakaniomba niwafuate naada ya masaa2 muda ulipofika nikawafuata nilisubiri nje zaidi ya nusu saa hawatoki si nikaamua kuingia ndani looh!balaa wanawake wamejiachia kama jamaa ni mwanamke mwenzao vile.
 
Mchoro mpaka sehemu ya kutolea haja wa nini?!..... hata yeye mwenyewe hauoni, jamaa wakati akijipigia wala haangalii kumechorwa nini... anavurugavuruga tuu!!...
 
Hapa ndipo utakapojua akili za tunaowaita wanaume zetu
Kwani mnalazimishwa kama hupendi kuite michepo tu hakuna shida..! Hatuwezi acha vitu vizuri eti faithfulness tupa huko huo uaminifu.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom