Tayari nimepanga kutembelea vyombo zaidi vya habari

Status
Not open for further replies.
Nape,Wewe na Viongozi wenzako wa ccm msichopenda kusikia ni ukweli kwamba ccm imekwisha na itaendelea kwisha, yaani haina mvuto kwa wanachi wameichoka, huo ndio ukweli lazima mkubali sio enzi zile watu sasa wamefumbuka na hawawezi kuendelea kuishi katika lindi la umasikini huku nyinyi mkila nchi na kuwaimbisha ccm yajenga nchi, hiyo haipo kaka na uende ukapeleke ujumbe huko kwa wenzio, sisi ndio tupo kitaa na tunajua kinachoendelea uraiani ndugu.
CCM NI CHAMA CHA MAJAMBAZI KIMEZEEKA, KITOKE MADARAKANI-MUNISHI. www.youtube.com/munishi
 
Mbona huyo NAPE hajibu hayo maswali mazito wakuu mmeanika hapa? Haina haja ya kuendelea na hii thread yake kama hawezi jibu hoja nzito hapa. Nadhani ana tatizo, huwezi kuja JF ukamwaga mambo alafu ukala kona...Nape njoo ujibu hoja hapa kama wengine otherwise you are a just a looser like most of your parties men!
kawaida yake huyo, siyo FB wala JF, Pumba ni zilezile.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom