Tax Return ya Mheshimiwa Rais Obama hii hapa

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
obama%201040.png

Gross income ya Mheshimiwa ilikuwa ni $1,728,096, ambazo kapata kutokana na mapato ya kuuza vitabu vyake.

Idara ya mapato au watu wa kodi wamekata asilimia 25 hivyo kodi aliyochukua Taxman inafika $453,770.

Mheshimiwa kapata tax break toka kwa hao wakusanya kodi kwa sababu ameamua kudonate asilimia 7 ya kipato chake kwenda kwenze charities mbali mbali.

hongera zao kwa uwazi, hapa kwetu mambo kama hayo ni siri ya nchi. kopi kama hiyo ikionekana hadharani lazima kuna mtu atakuwa anahojiwa na vyombo vya usalama!
 
obama%201040.png

Gross income ya Mheshimiwa ilikuwa ni $1,728,096, ambazo kapata kutokana na mapato ya kuuza vitabu vyake.

Idara ya mapato au watu wa kodi wamekata asilimia 25 hivyo kodi aliyochukua Taxman inafika $453,770.

Mheshimiwa kapata tax break toka kwa hao wakusanya kodi kwa sababu ameamua kudonate asilimia 7 ya kipato chake kwenda kwenze charities mbali mbali.

SlidingRoof, transparence za kihivi, ziko kwa wenzetu wazungu, sisi hata wife kujua total income yako from all your sources ni issue. Sana sana utamuonyesha salary slip tuu!. Sasa ndio itakuwa income ya Mkulu?!
 
Na mshahara wa mkulu wa hapa ni kiasi gani kwa Mwaka?naye ana income tofauti aliyoifanyia kazi kihalali kama bwana mdogo hapo juu?
 
Kuwataja mafisadi na kuwaondoa ni siri eti wajichungeze na kuamua kuondoka wenyewe ndani ya siku 90 - hadaa. Je masuala ya mapato yao mbona kuna seal ya chuma kabisa. Siri ya mapato ya wabunge walioibua siri ni wapinzani kwa vile wako wazi, lakini ciciem wanalalamikia kwa vile walishaweka iron seal wameshangaa wapinzani kutumia:washing: mfukuto wa bush iron smith wamefaulu kupekechua na kutoa siri ndani ya iron seal ya cicim.
 
SlidingRoof, transparence za kihivi, ziko kwa wenzetu wazungu, sisi hata wife kujua total income yako from all your sources ni issue. Sana sana utamuonyesha salary slip tuu!. Sasa ndio itakuwa income ya Mkulu?!

Wamarekani W-2 tax return si kwa viongozi tu ila kwa kila anayefanya kazi au kujiajiri mradi imeandikiswa kwenye revenue, vinginevyo utashtakiwa na kama ulidai mno makato isivyostahili baada ya vielelezo kuchunguwa kwenye tax return unaamuriwa kurudisha pesa serkalini hapo ndipo utakapoonja joto ya jiwe.

Darisalama hata zoezi la kuorodhesha mali bado tunaoneana haya kwa kukingiana vifua, hili la mheshimiwa kuonyesha pato la mwaka ni ndoto. maana za kifisadi, epa nk zisijechafua sura ya mtu bana.
 
That's why they are called developed nation *transparency*...ukweli na uwazi...sio viongozi wetu huku!!kuficha ficha mambo.
 
Back
Top Bottom