Tawi la Chadema Marekani

mKUU I THINK YOU ARE MISSING ALOT IN YOUR ANALYSIS

Kufungua tawi si lazima waige CCM but they can open as well without any problem... Ya uarabuni pamoja na historia ndefu, baadhi ya positives from their movement can be copied as well, si lazima tupitie njia ndefu

hayo ya ufisadi ni kweli kabisa

Ila la kukimbilia ughaibuni, sijui but i think other wamekwenda kutafuta elimu, others wamekimbia ufisadi, other wamefuata mkumbo, others wamepata nafasi ya kuwa na influence zaidi ya yanayotokea bongo and others are on holidays ... TUSIHUKUMU KIRAHISI KAMA UFANYAVYO WEWE
Kama uko holiday unataka tawi nje la nini, nafikiri hapa kinachotakiwa si tawi CCM wana matawi mangapi nje yamesaidia nini kuwavuta vijana, kinachotakiwa ni commitment ya mtu hata kama hakuna tawi, tuna watu wengi wa aina hiyo na wanafanya kazi bila kushikilia tawi lolote na tunaona mafanikio yake, mambo ya tawi ni ya kizamani kuongeza majungu tu fulani hafai fulani anatumiwa na mambo mengine kama hayo pia ni kukaribisha traitors kwenye chama, kama uko nje pigana kiume ukiona huwezi ukiwa mbali njoo nyumbani ungana na wenzako kwenye mapambano.
 
Waheshimiwa viongozi wa Chadema.

Mara nyingi huwa tunasikia CCM inafungua matawi nje ya nchi lakini sioni wapinzani wakifanya hiv

Je, Chadema inakaribisha wanachama na wakereketwa wa Chama kufungua matawi nje ya nchi? Kama jibu ni ndio naomba mutusaidie jinsi ya kuwasiliana na Chama na ni nani wa kuwasiliana naye.
Thx we need people (Tanzanians) from every corner of the world to join us and together we can push for a new and true independence.

please call Dr slaa +255 783967519 for more advice, well thoughts should be appreciated.

Thank you.
 
mkuu hata kama hao waarabu wa historia ndefu lakini kimsingi lazima na sisi tufanye kitu kuliko kujibweteka, kuna umuhimu wa CHADEMA kufungua matawi ncho ya nchi, chadema ina wanachama wengi sana nje ya nchi na kutofanya kitu ni kuwaacha upweke, practically speaking mimi binafsi nimekutana na watu wengi sana hapa LONDON wakioji kwa nini chadema hakina matawi nje ya nchi.
kwa sasa chadema ni chama kikubwa sana na wakati wa kufanya hivyo ni sasa, na wala sio kuwaiga ccm, ila ni kuweka malezi mazuri ya watanzania waliopo nje na wanataka kushiriki siasa kwa kupitia vya makini kama chadema
Historia yao hao waarabu ni ndefu mkubwa....mbona nyie mpaka leo hamjaonyesha makeke yoyote kuhusu katiba??au mauaji ya arusha??ni strengthen zipi ambazo mtazipata na kuzionyesha kuhusu njiii yetu hii...ufisadi still destroys us harshly and not softly...thats why nyie mmekimbilia ughaibuni!!
 
mkuu hayo matawi yana saidi sana tena hacha na ndio maana mabalozi wanakula pesa yetu kwa kutembelea hayo matawi kila siku fanya uchunguzi hayo matawi yana effect, mimi nimeiona kwa macho yangu, mfano mzuri READING UK, wengine wametekwa na haya matawi ya ccm, naomba tuliongelee hili suhala kwa uzito wake
Kama uko holiday unataka tawi nje la nini, nafikiri hapa kinachotakiwa si tawi CCM wana matawi mangapi nje yamesaidia nini kuwavuta vijana, kinachotakiwa ni commitment ya mtu hata kama hakuna tawi, tuna watu wengi wa aina hiyo na wanafanya kazi bila kushikilia tawi lolote na tunaona mafanikio yake, mambo ya tawi ni ya kizamani kuongeza majungu tu fulani hafai fulani anatumiwa na mambo mengine kama hayo pia ni kukaribisha traitors kwenye chama, kama uko nje pigana kiume ukiona huwezi ukiwa mbali njoo nyumbani ungana na wenzako kwenye mapambano.
 
NI KWELI MKUU KWANI KUNA DHAMBI GANI WANA CHADEMA TULIOKO NJE YA NCHI, TUKIWA NA VIONGOZI WETU NA KWA HII INAKUWA SEHEMU NZURI YA KUJENGANA KIMAWAZO NA KUPEANA USHAURI, pia mawazo yetu yatafikishwa kwa CHADEMA makao makuu yakiwa na uwakilishi mkubwa yaani kama tawi,
hii ni nafasi muhimu sana kwa wana-chadema
Mimi ninaona ni vizuri V.P. akapewa njia y kufungua tawi ili atimize azma yake aliyonayo moyoni kama mpenzi wa CDM
 
Hayo matawi nje ya nchi hayatusaidii cha msingi ni kutafuta wanachama wa kutosha ili 2015 watakavyopata urais wawe wamejipanga vizuri. Kwa saa chama kinachokubalika sana bila shaka ndio hicho.
 
unaposema hayatusaidi wewe na nani? wakati hapo unafunga mlango kwa wana-chadema wenzia, kwa umeambia kunaghlama yoyote ya kuwa na tawi nje ya nchi, na kama unataka wanachama hao watakao kuwa kwenye hayo matawi ni nini? na kama ni kupiga kura wewe una hakika gani kama wakati wa kura mtu anaweza kuwa nyambani? hii ni sehemu ya kushawishi watu kukifuata chama, chama lazima kiweke njia na mbinu ya kulinda wanachama wake na moja ni kuwa nao karibu, kuwasikiliza, kuwapa ushauri kuwatembelea, hivi unadhani kwa mfano tukafungua tawi hapa london wanachama tukajichanga tukamwali masalani dr slaa, zitto, mnyika, au halima mdee, unadhani hiyo influence itawafikia watu wangapi?
kwanza lazima utambue sisi tunawasiliana na ndugu zetu walioko nyumbani tuna influence kubwa ni nani wampigie kura au nini wasapoti regea MISRI
Hayo matawi nje ya nchi hayatusaidii cha msingi ni kutafuta wanachama wa kutosha ili 2015 watakavyopata urais wawe wamejipanga vizuri. Kwa saa chama kinachokubalika sana bila shaka ndio hicho.
 
mkuu hata kama hao waarabu wa historia ndefu lakini kimsingi lazima na sisi tufanye kitu kuliko kujibweteka, kuna umuhimu wa CHADEMA kufungua matawi ncho ya nchi, chadema ina wanachama wengi sana nje ya nchi na kutofanya kitu ni kuwaacha upweke, practically speaking mimi binafsi nimekutana na watu wengi sana hapa LONDON wakioji kwa nini chadema hakina matawi nje ya nchi.
kwa sasa chadema ni chama kikubwa sana na wakati wa kufanya hivyo ni sasa, na wala sio kuwaiga ccm, ila ni kuweka malezi mazuri ya watanzania waliopo nje na wanataka kushiriki siasa kwa kupitia vya makini kama chadema
Kama upo London binafsi umefungua matawi mangapi kama bado unategemea Slaa aje akufungulie, inavyoonekana watu mnaanza kulalamika hata kabla ya kufungua je mkifungua si mtadai hadi ruzuku mgawiwe. Hayo matawi ya Reading ya akina maina wa CCM ni matawi maslahi tu hayana maana yeyote si kuwa wana nia ya kuendeleza chama ni kujionyesha ili nao wakumbukwe waulize wamefanya mikutano mingapi kama si kusubiri Msekwa awatembelee ili wapige naye picha.
 
kuwa ughaibuni si lazima kufungamanishwe na ufisadi-poor analysis> Ukweli utabakia kuwa kama mtu anamapenzi na chama chake , say, CDM,siyo vibaya kufungua matawi kadri wapendavyo. Huko USA, Russia, etc. Fungueni tu,ruksa!!!
 
unaposema hayatusaidi wewe na nani? wakati hapo unafunga mlango kwa wana-chadema wenzia, kwa umeambia kunaghlama yoyote ya kuwa na tawi nje ya nchi, na kama unataka wanachama hao watakao kuwa kwenye hayo matawi ni nini? na kama ni kupiga kura wewe una hakika gani kama wakati wa kura mtu anaweza kuwa nyambani? hii ni sehemu ya kushawishi watu kukifuata chama, chama lazima kiweke njia na mbinu ya kulinda wanachama wake na moja ni kuwa nao karibu, kuwasikiliza, kuwapa ushauri kuwatembelea, hivi unadhani kwa mfano tukafungua tawi hapa london wanachama tukajichanga tukamwali masalani dr slaa, zitto, mnyika, au halima mdee, unadhani hiyo influence itawafikia watu wangapi?
kwanza lazima utambue sisi tunawasiliana na ndugu zetu walioko nyumbani tuna influence kubwa ni nani wampigie kura au nini wasapoti regea MISRI
Mkuu umesema vema nimeona mmepewa namba ya katibu naomba mfungue matawi na muendeleze mapambano huko huko...ili tuwapige nje ndani......
 
kuwa ughaibuni si lazima kufungamanishwe na ufisadi-poor analysis> Ukweli utabakia kuwa kama mtu anamapenzi na chama chake , say, CDM,siyo vibaya kufungua matawi kadri wapendavyo. Huko USA, Russia, etc. Fungueni tu,ruksa!!!
pAMOJA MKUU
 
Inawezekana we Sizinga ukawa umefanya kazi nzuri katika kuhakikisha ule muswada hauendi bungeni kuliko MM? kama unahisi hivyo think again, Mwanakijiji yupo nje na anafanya kazi nzuri sana, amekurupua mafisadi kibao, ameandika makala nyingi zilizochochea mijadala yenye tija, wapo wengi humu ndani wako nje na wanafanya kazi nzuri sana, wazo la mtoa hoja naliunga mkono, tuwaze kujitanua nje ya mipaka yetu

Big up man. The issue is strait he wants to register a CDM branch. Many of us are outside our country. I would encourage V.P to support CDM even without or before a registered branch log on Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) and FOS (Friends of Slaa) members supporting CDM regardless of membership
 
MKUU MBONA UNANILISHA MANENO, MIMINAONGELEA UMUHIMU WA KUFUNGUA HAYO MATAWI, NA HAPO NIMEWEKA MSISITIZO KWA WALE WAOONGEA BILA USHAHIDI, NA SIJAMLAU MTU, NA WALA SIJASEMA DR SLAA AJEKUTUFUNGULIA KUMBUKA CHADEMA NI CHAMA MAKINI MAMBO YANAJADILIWA KWANZA NA NDIO MAANA TUKO HAPA , HAKUNA KUKURUPUKA, WEWE UMSHAFANYA SULUHISHO MAWAZONI MWAKO LAKINI HAPA TUKO KATIKA KUSHAURIANA KUNAONA KAMA NI MAWAZO YA WENGI, NDIO NIMEKUTANA NA WATU LAKINI JE NI MAWAZO YA WENGI? pili mimi ni binadamu husinihukumu kwa kuchelewa kuchukua, wakati nikiwa katika njia sahihi
Kama upo London binafsi umefungua matawi mangapi kama bado unategemea Slaa aje akufungulie, inavyoonekana watu mnaanza kulalamika hata kabla ya kufungua je mkifungua si mtadai hadi ruzuku mgawiwe. Hayo matawi ya Reading ya akina maina wa CCM ni matawi maslahi tu hayana maana yeyote si kuwa wana nia ya kuendeleza chama ni kujionyesha ili nao wakumbukwe waulize wamefanya mikutano mingapi kama si kusubiri Msekwa awatembelee ili wapige naye picha.
 
mkuu hapo kwenye nyekundu unanivunjia heshima, kama kuna watu wanafanya hivyo naomba husinihusishe na mtu yeyote naomba hizo tuhuma wapelekee wahusika, sijawai kuhudhuria kwenye kikao chochote cha ccm, wa jumuiya zao, na hii ni kabla na baada ya chadema kuwa chama mbadala kwa watanzania
kama upo london binafsi umefungua matawi mangapi kama bado unategemea slaa aje akufungulie, inavyoonekana watu mnaanza kulalamika hata kabla ya kufungua je mkifungua si mtadai hadi ruzuku mgawiwe. Hayo matawi ya reading ya akina maina wa ccm ni matawi maslahi tu hayana maana yeyote si kuwa wana nia ya kuendeleza chama ni kujionyesha ili nao wakumbukwe waulize wamefanya mikutano mingapi kama si kusubiri msekwa awatembelee ili wapige naye picha.
 
mkuu hapo kwenye nyekundu unanivunjia heshima, kama kuna watu wanafanya hivyo naomba husinihusishe na mtu yeyote naomba hizo tuhuma wapelekee wahusika, sijawai kuhudhuria kwenye kikao chochote cha ccm, wa jumuiya zao, na hii ni kabla na baada ya chadema kuwa chama mbadala kwa watanzania
Mambo ya kujihisi waachie kina Msekwa, nilichosema kuna watu huko nje wanasubiri Msekwa awatembelee wapige naye picha wala hakuna mtu aliyesema wewe unahudhuria kikao cha CCM kwanza sikujui, usijihisi ndugu yangu. Mimi ninachosisitiza ni kwamba kama unataka kufungua tawi fungua tu kama ulivyosema kuna watu wengi hapo London wanaulizia tawi la Chadema halafu kijulishe chama wakati umeshafungua sidhani kama utaambiwa kufunga. Halafu nikasema kuna watu wengi tu wanakisaidia chama na taifa bila kuwa na tawi lolote, tunajua Mwanakijiji yuko Marekani sina uhakika kama ni mwanachama wa tawi la CCM lililojitoa magamba juzi au ana tawi la Chadema huko lakini tunaona harakati zake. Cha msingi tumeshapewa simu ya Katibu Dr slaa +255 783967519 na http://www.chadema.or.tz/ ni kiasi cha kumpigia na kuelezea nia yako kama umeshafungua sawa kama bado sawa vilevile.
 
Good idea V.P, usijali humu kuna vichwa vingi vyenye malengo tofauti, just try to communicate with CDM leaders, hope we will be soon hear you are progress!! All the best!
 
hata mimi sikujui kwa hiyo heshima kidogo ni muhimu, naona wewe bila kumtaja msekwa uwezi kutoa hoja , anyway mtajua huo, hunatumia hisia kuliko ukweli mkuu, hapa sio mahali pa riwaya za shigongo, lakini hiyp article yako haikuwa ya kujenga, na kila kitu kinafanywa kwa wakati na sio kama unavyotaka wewe, na post zako zinaonyesha una negative na hii kitu, anyway am out
Mambo ya kujihisi waachie kina Msekwa, nilichosema kuna watu huko nje wanasubiri Msekwa awatembelee wapige naye picha wala hakuna mtu aliyesema wewe unahudhuria kikao cha CCM kwanza sikujui, usijihisi ndugu yangu. Mimi ninachosisitiza ni kwamba kama unataka kufungua tawi fungua tu kama ulivyosema kuna watu wengi hapo London wanaulizia tawi la Chadema halafu kijulishe chama wakati umeshafungua sidhani kama utaambiwa kufunga. Halafu nikasema kuna watu wengi tu wanakisaidia chama na taifa bila kuwa na tawi lolote, tunajua Mwanakijiji yuko Marekani sina uhakika kama ni mwanachama wa tawi la CCM lililojitoa magamba juzi au ana tawi la Chadema huko lakini tunaona harakati zake. Cha msingi tumeshapewa simu ya Katibu Dr slaa +255 783967519 na Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni kiasi cha kumpigia na kuelezea nia yako kama umeshafungua sawa kama bado sawa vilevile.
 
Kwa taarifa ya WanaJF, mwaka wa 1994, nilitembelea Washington DC kwa mashughuli binafsi (actually kuhudhuria mahafali ya mwanangu), na nilichukua fursa hiyo kukutana na Watanzania na baadhi yao wakajiunga na CHADEMA. Nikiwa njiani kurudi nyumbani nilikuwa New York pia kwa siku kadhaa na niliweza kuwaridhisha baadhi ya WaTz waliokuwa wanaishi New York kuchukua kadi za CHADEMA.

Itakumbukwa kwamba kulikuwa na tafrani ya aina yake wakati balozi wa Tanzania ktk Umoja wa Mataifa, Bw. Anthony Nyakyi, rafiki yangu wa siku nyingi, aliponikaribisha nyumbani kwake kwa chakula cha jioni. Wizara ya Mambo ya Nje, kwa kukurupuka, ilimwita Nyakyi nyumbani na kukatisha uteuzi wake, licha ya kwamba umahiri wake ulitumiwa na Mwalimu Nyerere ktk juhudi zake za usuluhishi katika migogoro ya nchi za Maziwa Makuu. Baadaye Nyakyi aliteuliwa na Katibu Mkuu wa UN alimteua Nyakyi kuwa mwakilishi wake huko Liberia.

Niliacha tawi la CHADEMA Washington DC, na nakumbuka Daudi Ballali ndiye aliliongoza, na tuliwasiliana kwa muda, nikimpelekea kadi za chama kupitia mwanangu aliyekuwa anaendelea kumalizia masomo yake. Tawi la CHADEMA la Washington DC, linaonekana lilififia baada ya Ballali na Sadikieli Kimaro kuitwa na Rais Benjamin Mkapa kuja kuwa washauri wake wa kiuchumi. Of course, Ballali aliteuliwa Gavana wa BoT, na hangeweza kuendelea kuwa active kama MwanaChadema. Vituko vya huyu ex-mwanaCDM, ambaye ni marehemu sasa, kuhusiana na EPA n.k. ni mambo yanayonifedhehesha mpaka leo.

Nakubaliana na mawazo kwamba wanaCDM waliopo ughaibuni wanaweza kuimarisha Chama kwa kutupa ushauri, na hata wakati nikiwa Mwenyekiti Taifa, CHADEMA tulipokea vifaa kadhaa kama zawadi au michango yao kuimarisha chama. Nakumbuka baadhi ya fax machines na electric type-writers za kwanza Makao Makuu ya Chadema vilikuwa ni vifaa vilivyotolewa na hawa ndugu zetu wanaoishi ng'ambo.

Ningeshauri kwamba utaratibu unaoeleweka ubuniwe na viongozi wa CDM ili WaTz wanaoishi ughaibuni na wanaoamini ktk itikadi na misimamo ya CHADEMA, washirikishwe kikamilifu.
 
avatar37677_3.gif

Life of Mshaba! hii avatar yako ni Kawawa na aliyeshika kichwa nadhani ni Jaji Warioba, Je huyo wa katikati ni nani? Samahani sana unaweza kuni PM maana ni nje ya mada hii.
 
Back
Top Bottom