Tawi la ccm-Moscow lasambaratika.

gubegubekubwa

JF-Expert Member
Jun 9, 2008
637
814
Tetesi kutoka kwa mdau aliyeko moscow anasema wanachama wengi wa ccm tawi la moscow wanahaha namna ya kurudisha kadi za ccm hii ni kutokana na kwamba kadi inatakiwa ipelekwe kwenye chama unacho jiunga nacho,na karibu wanachama wote wamehamia chadema,Nitaendelea kuleta update kadili mdau atakavyokuwa ananiletea taarifa kutoka moscow.
 
Safi sana, naona wanafunguka kutoka kifungoni ila sijui hawa wasomi wetu walichelewa wapi muda wote huo...
 
Watu wazima bila shaka wasomi bado wanakadi za ccm? Wasihangaike kupeleka kwenye chama wachome tu!
 
Moscow ya Russia au Moscow ya Tandale???? hapa moscow russia hakuna kitu kama hicho!!!!
<br />
<br />

Ebu tupe uhakika kama upo huko, je kuna hilo tawi na mpo wanachama wangapi wa ccm, ni nini tamko lenu kuhusu hiki chama cha mwl ambacho hivi sasa kimetekwa na wachumia tumbo ili hali watz wakizamishwa ktk ya lindi la umasikini!
 
Kama mtoa mada huenda kateleza kidogo basi WakuBalance tupe hali halisi bila kubalance chochote kile.
Hawa wala vodika wanakaa muda mrefu sana huko mpaka wanakuwa hawaelewi kama ccm ilishakufa.
Tena baadhi yao wanafikiria ccm bado ni dili. Kwa taarifa yenu mtafiwa na chama bila kujua. Tz sasa hivi haiongozwi na jk wala ccm. Kiongozi ni dr slaa na jk anatekeleza tu maelekezo ya raisi wa nchi.
 
Wakubance, siku nyingine usilete porojo porojo kwenye thread ya mwenzio huku ukijua kwamba uko shallow kiasi hicho!!!
 
Hawa wala vodika wanakaa muda mrefu sana huko mpaka wanakuwa hawaelewi kama ccm ilishakufa.
Tena baadhi yao wanafikiria ccm bado ni dili. Kwa taarifa yenu mtafiwa na chama bila kujua. Tz sasa hivi haiongozwi na jk wala ccm. Kiongozi ni dr slaa na jk anatekeleza tu maelekezo ya raisi wa nchi.

''Mkuu naona umewatouch penyewe Hawajui kitu watu wako kule wanajua ccm itawabeba na kupewa position nzuri.
 
daaaaaaaaaahhhh siku hizi JF IMEKUWA SIO TENA GREAT THINKERS NI UDAKU NA KWENDA MBELE .....SISI TULIOPO MOSCOW HATUZIJUI HIZO TAARIFA BUT IN REALITY GUYS HERE WAMEKUWA DISSAPOINTED SANA NA MAGUMASHI YANAYOENDELEA HUKO HOME ESPECIALLY ON DOWANS SCANDAL +ARUSHA KILLING +GHARAMA ZA MAISHA KUPANDA +UMEME .....ALMOST MATATIZO MENGI YANAYOIKABILI TZ.........
 
hawa wala vodika wanakaa muda mrefu sana huko mpaka wanakuwa hawaelewi kama ccm ilishakufa.
Tena baadhi yao wanafikiria ccm bado ni dili. Kwa taarifa yenu mtafiwa na chama bila kujua. Tz sasa hivi haiongozwi na jk wala ccm. Kiongozi ni dr slaa na jk anatekeleza tu maelekezo ya raisi wa nchi.

hivi unafkiri kila alieko russia ni mla vodka?mi naona ww ni mnywaji wa gongo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kichwakichwa style! Naona kila mmoja anatupa konde pale anapotaka! Jf hii si mchezo.
Moscow tandale? Mmh! Nayo mineno hyo! Twendelee kupakua jamani! Si tulishaamua kisiive?
 
Back
Top Bottom