Tausi jike 2 (wadogo) na bata bukini dume wanatafutwa

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,851
16,747
Kwa yeyote anayeuza Tausi jike 2 wakiwa wadogo ndio nzuri zaidi kama miezi 4 hivi na Bata bukini dume akiwa mkubwa is ok, nipo Dar... plzee
 
Kwa yeyote anayeuza Tausi jike 2 wakiwa wadogo ndio nzuri zaidi kama miezi 4 hivi na Bata bukini dume akiwa mkubwa is ok, nipo Dar... plzee

Mr.president.! Sina hakika na Bata bukini lakini Taus ni Nyara ya serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, so far "a buyer beware"
 
Kama unataka tausi njoo maeneo ya magogoni utawapata wako kibao wanarandaranda huwa wanaingia mpaka ndani ya nyumba yangu nimepamba manyoya yao kibao sitting room.
 
Back
Top Bottom