Tatua tatizo la uume mdogo

Sasa mkuu we unasema tunaibiwa ilihali huyu mleta mada ye ametoa maelezo tu na dawa ukatafute mwenyewe sasa hapo we unaibiwa vipi? Au jamaa ana maduka ya hizo dawa Tanzania nzima ili popote utakaponunua hizo dawa awe amekuibia

Nashkuru sana kwa kunisaidia kumjibu ndugu yetu. Asante sana mkuu.

Cc cc12
 
Kwa mujibu wa mtoa mada muda ni siku 15 mpaka 21 (Fanya zoezi hili kwa muda wa siku 15 hadi 21.
). Nahisi mabadiliko yataanza kuonekana baada ya siku 15, sasa mnaotaka mrejesho itabidi msubiri huu uzi umalize wiki mbili

Vichwa na uelewa ni tofauti kati ya mtu na mtu mkuu nashkuru sana kwa kuwapa jibu lililo sahihi kiongozi.

Shukran Sana.
 
Hivi mkuu,

kama mtu aliye Athirika kwa kupiga Mastrubotion /nyeto, mpaka likamtokea hilo tatizo...

Je, ni vizuri kwake kuanza hiyo tiba..??
 
Nimeigoogle hiyo Mkuu ina faida nyingi sana kwenye mwili wa binadam

Nashkuru sana mkuu.

Mi naomba kwa faida yetu sote si mbaya kama ukatupatia nasi link ili tuweze kuona ya hiyo kitu kiongozi.

Natanguliza shukran kwako.

Karibu Sana.
 
Hivi mkuu,

kama mtu aliye Athirika kwa kupiga Mastrubotion /nyeto, mpaka likamtokea hilo tatizo...

Je, ni vizuri kwake kuanza hiyo tiba..??

Anaweza tu akaanza kiongozi wala haina shida, ila cha msingi ni akaacha tu hiko kitendo kisha akaanza hiyo tiba mkuu.

Karibu Sana.
 
Back
Top Bottom