Tattoo..

Tatoo..Haya ni mambo ya kuiga ya Kidhungu!! Sii sehemu ya tamaduni zetu Afrika!

mulher_makonde_400.jpg

mimi naona hao 'wadhungu' ndio waliotuiga!
 
katika makabila ya Tanzania, warangi na wanyaturu, wambulu, wamakonde wa Mtwara, wamatumbi, wote hao nishawaona na alama za 'urembo' kwenye miili yao.​

ndio maana nikauliza, Utajali kama mkeo ana 'tattoo' au chale, (ambazo pia zina ujumbe maalum) ?! :)
 
sisi wanyalu tulikuwa tunapigwa chale zamani hizo na haitoki inakaa maisha...so sioni uhuni wowote wa kuwa na tattos!....I love my tattos as long as zina meaning....
 
Back
Top Bottom