Tattoo..

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,844
...mna maoni gani kuhusu kuchorwa tattoo yenye ujumbe kwa 'mupenzi?'

heart-and-love-tattoo.jpg

Here’s a heart and love tattoo dedicated to a spouse or partner

...kuna makabila ya kibantu yenye mila hii? ...kama unampenda, kwanini ukatae kujichora jina na ujumbe kwa 'mah'abouba' - Chokileti wa roho yako?
 
...mna maoni gani kuhusu kuchorwa tattoo yenye ujumbe kwa 'mupenzi?'

heart-and-love-tattoo.jpg

...kuna makabila ya kibantu yenye mila hii? ...kama unampenda, kwanini ukatae kujichora jina na ujumbe kwa 'mah'abouba' - Chokileti wa roho yako?

Inategemea...
ujichore halafu uhusiano ukiharibika inakuwaje?
 
Mbu tatto is an art!...a permanent art it depend wapi unaweka na kwa malengo gani...Me i have 5 of them but i will ..........never draw tatoo kwenye mwili wangu kwa jina la mpenzi that is so stupid kwa watu wanaofanya hivyo......5 and none of them has my cuppy name on it!.....I have my mama name,my birth sign,rose flower,Spider and intial names of my siblings....next will be my kid names once i have one...
 
Once I get you knocked up you will get a tattoo of my name...
 
Inategemea...
ujichore halafu uhusiano ukiharibika inakuwaje?

...utawazia kuachana kweli ilhali ushajichora mwilini jina lake? BTW, uhusiano ukiharibika pete ya uchumba na ya harusi unaifanya nini?

Mbu tatto is an art!...a permanent art it depend wapi unaweka na kwa malengo gani...Me i have 5 of them but i will ..........never draw tatoo kwenye mwili wangu kwa jina la mpenzi that is so stupid kwa watu wanaofanya hivyo......5 and none of them has my cuppy name on it!.....I have my mama name,my birth sign,rose flower,Spider and intial names of my siblings....next will be my kid names once i have one...

...tattoo mwilini inakuwa 'kovu' la maisha, kidume au mrembo mpya akiona tattoo anajua hana bao.
 
Mbu tatto is an art!...a permanent art it depend wapi unaweka na kwa malengo gani...Me i have 5 of them but i will ..........never draw tatoo kwenye mwili wangu kwa jina la mpenzi that is so stupid kwa watu wanaofanya hivyo......5 and none of them has my cuppy name on it!.....I have my mama name,my birth sign,rose flower,Spider and intial names of my siblings....next will be my kid names once i have one...

duh...nimekuogopa Kelly!
 
Hovo serikali ya Tanzania bado wana ile sheria yao ya mwaka 47 kuwa ukiwa na Tattoo huwezi kuajiriwa na serikali? Mie nikiamua kuchora tatt' itakuwa jina la Mama mzazi au nembo ya Manchester United basi.
 
Nakumbuka nikiwa dogo nilikuwa natumia mafuta ya korosho kujichora halafu unakuja chubuka inabaki alama ya tattoo, wengine wanasema sijui utomvu wa samaki aitwaye Ngisi na blah blah. But ever since I hated this thing haina mafunzo yoyote na kwenye bible wamekataza nafikiri kujichora mwilini na kuchajwa things like that. siegemei katika imani lakini sioni faida ya tattoo naiona ni kama fashion ya muda mfupi itakayopotea.
 
Mbu tatto is an art!...a permanent art it depend wapi unaweka na kwa malengo gani...Me i have 5 of them but i will ..........never draw tatoo kwenye mwili wangu kwa jina la mpenzi that is so stupid kwa watu wanaofanya hivyo......5 and none of them has my cuppy name on it!.....I have my mama name,my birth sign,rose flower,Spider and intial names of my siblings....next will be my kid names once i have one...

I wish to see them!!!!
 
Generally and frankly speaking, kutengeneza tattoo nilivyoma kwenye somo la kilimo itmis used in animal identification, hivyo sikuwahi kufikiri kuwa ni alama muhimu kwa binadamu kujiweka hiyo mialama mwilini. Pili alama hii niliiona kwa mara ya kwanza niliiona kwa mwaliimu wangu aliyekuwa na asili ya kimarekani nilipokuwa chuo kikuu, hata nilifikiri amejichora kwa kutumia marker pen kumbe sio. Baadaye nikawaona mabar maids weng wamejichora, pasipokujua zilikuwa ni tatoo, mpaka niliposoma kwenye gazeti kuhusu kukataliwa ajira kwa vijana ambao walitakiwa kuajiriwa na Jeshi la Wananchi la Tanzania. Kwa ujumla namweza kusema tatoo sio asili ya Mtanzania ukiacha wamakonde waliokuwa wanajicanja chale usoni, ambapo hata hivyo utamaduni huu umekufa na kama bado upo, ni kwa kiasi kidogo mno. Hivyo kwa Mtanzania kufanya hivyo naona uhuni.
 
tattoos are tacky and ni uchafu to be honest.. Its one of those things u see in hoodrats in the states, Chavs in the UK and watoto wa mbwa in TZ, its a thing of the uncultured and usually low-self-esteem type of people. They do it to feel better and express themselves more.. as they have no better way than drawing on themselves. Its utterly sad. It is an art I'll give it that maybe, but its of the lowest kind.
 
P.S I do not do chix with tattoos unless by the time I see them its too late.. CHix with arm tattoos are CHAVZ.lol
 
tattoos are tacky and ni uchafu to be honest.. Its one of those things u see in hoodrats in the states, Chavs in the UK and watoto wa mbwa in TZ, its a thing of the uncultured and usually low-self-esteem type of people. They do it to feel better and express themselves more.. as they have no better way than drawing on themselves. Its utterly sad. It is an art I'll give it that maybe, but its of the lowest kind.

...duh, ama kweli unachukia tattoo..., mrembo apakaye hina je?

2.JPG
 
Mashallah!
Urembo wa hina we acha tu! Huu siyo urembo wa kudumu na hauchukizi.Tatoo ni ya kudumu na imani za baadhi yetu zinakataza.

...:D he he...mambo ya pwani hayo, shurti urembo wa 'kujichora'!
 
Unayempenda huna sababu ya kumchora kwenye ngozi ya mwili wako. Mchore moyoni mwako (mpende kwa dhati). Huo nidyo mchoro hahali na usiofutika. Haya ma-tatoo ni kuharibu mwili wako tu. Siku mkiachana unafuta hiyo tatoo? tena nyingi siku hizi si za kuchora kwa rangi bali ni za surgery! Acheni hiyo bana!
 
...'Rambo' na tattoo ya Mkewe :D

071507sly_tat.jpg
 
Back
Top Bottom