Tatoo yangu ya mgongoni (unaipenda?)

:yell::yell::yell:
Laanakum mtoto weye. Ila hayo makalio hata ya kichaga sio hivyo aisee, did u have ana accident or something?
Mchina anahitajika in these rare cases:nod:
Halafu akija tu namuomba twende club, napiga hii hapa:
View attachment 51167

Huyu Mwali anavuta bange, mboko achana nazo tutapikia chai, anahitaji rehab
:smash:
mie tayari mboko ninazo.
Nikuletee uwashie moto??
 
:nod::yell:labda hiyo tattoo inasomeka 'suez canal for sale' kwa kichina:A S-fire1:
Haya sasa, na huyo kesha nitamani.
wanacho shindwa kuelewa ni kwamba
Sometimes wasichana tunataka kua sexy
just for our own pleasure. Sio kwa kuvutia
Please men, restrain your appetite.
King'asti, umependa hiyo ya Mwali by night?
 
:yell::yell::yell:
Laanakum mtoto weye. Ila hayo makalio hata ya kichaga sio hivyo aisee, did u have ana accident or something?
Mchina anahitajika in these rare cases:nod:
Huyu Mwali anavuta bange, mboko achana nazo tutapikia chai, anahitaji rehab
:smash:
Please usimwambie Anti, atanipiga hadi nishindwe kukaa.
Hayo makalio ni natural, original. Mchina wa nini?
watu wanashindwa kuelewa kua nguo inaweza kusaidia sana
Kuna watu (kama mimi) wanajua kutumia nguo to their advantage.
unaona vile nimeweka makalio yangu on the front line?
 
Ama kweli mwanamke nyonga makalio majaaliwa ya mwenyezi Mungu, hata kwa mchina yapo!
View attachment 51167

Haya sasa, na huyo kesha nitamani.
wanacho shindwa kuelewa ni kwamba
Sometimes wasichana tunataka kua sexy
just for our own pleasure. Sio kwa kuvutia
Please men, restrain your appetite.
King'asti, umependa hiyo ya Mwali by night?
 
Mhhh!
Hapo hata walau skin tite ya masponji inahusika! afu ww makalio yako yanaenda kwa mbele zaidi, ni congenital ama ? mi sijaelewa aisee
Please usimwambie Anti, atanipiga hadi nishindwe kukaa.
Hayo makalio ni natural, original. Mchina wa nini?
watu wanashindwa kuelewa kua nguo inaweza kusaidia sana
Kuna watu (kama mimi) wanajua kutumia nguo to their advantage.
unaona vile nimeweka makalio yangu on the front line?
 
Mhhh!
Hapo hata walau skin tite ya masponji inahusika! afu ww makalio yako yanaenda kwa mbele zaidi, ni congenital ama ? mi sijaelewa aisee
Tatizo lako King'asti ni kwamba you think like a woman
Haya mavazi wanayo yaelewa ni wanaume. Si umenote wengi hawasemi?
Unaona vile nimefunua baadhi ya sehem, zingine nimefunika
hapo wanachanganyikiwa kabisa, wanashindwa kujiziwia.
toka ninazishe huu uzi nisha pata PM toka kwa watu 9 tofauti.
 
sipati picha wanavyokusumbua uwa add na kukujazia inbox yako wakibembeleza.
Uwe na pasaka njema mamito.
Kama ulikuwepo mpenzi. Yani comment kibao!
wanawake kwa wanaume, wote wanauliza kama kweli ni mimi,lol
wanaona ni kama star fulani hivi, wanashindwa kuamini macho yao.
Halafu kinacho wamaliza ni style, hii sio ya huku. itavuma TZ in 2014
We lead, others follow! :first:
 
halafu watu walivyo na wivu hawakawii kukuzushia kuwa umetumia madawa kujibadilisha.lol
kumbe ni asili yako,umbo adimu hilo,flaunt what ur mama gave u.
alamsiki
 
Nimeshangaa mara mbili! Dah! Mwali hiyo pedo yako niazime...
Hamna neno Amyner, ila usitegemei itakupendeza kama ilivo nipendeza.
Unajua hii imekaa sawa sababu ya natural shape yangu, sio pedo tu kama pedo.
 
Hamna neno Amyner, ila usitegemei itakupendeza kama ilivo nipendeza.
Unajua hii imekaa sawa sababu ya natural shape yangu, sio pedo tu kama pedo.

Ai jamani mi ntaweka hata sponji ilimradi inipendeze kama wewe hapo..
 
Jamani mi ile tatoo ya Aminata9 inanitoa roho, sijui wengine mwaonaje
Leo nimeamua kuanza na kadogo, pole pole nitaongeza mgongo wote
Hapa nikiwa milimani city, with my new outfit: naonesha kidogo tu.
Wanaume waliniangalia sana na macho ya tamaa, nikajifanya siwaoni

Day version​
View attachment 51160

Nikiangalia Avatar yako mbona naona mtu tafauti, au umeweka na mkororgo?
Halafu King'asti kakugombeza, "urejeshe surauali ya mdogo wako"; na umejitayarisha kujibu nini dada AshaDii akiiona hii?
Anyway, ninapenda ubuifu wako.
 
Back
Top Bottom