Tatoo sehemu za siri

Kongosho umeamkaje leo, maana naona mzuka wa weekend haujaisha bado. hukula vya kutosha eid au? lol
 
Last edited by a moderator:
umenikumbusha 90's nilikuwa na demu wangu Mswiss tulipendana sana tukafikia kupanga kuoana lakini tatizo alikuwa ana tatoo la dushelele karibu na kwa bibi nikaghairi.
 
Leviticus (Mamvo ya Walawi) 19: 27- 28.

Umenikumbusha mabali sanaaaa Deutoronomy na Numbers!!! Ngoja ni mie nianze kwenda English Mass kama Jokate!!!!!!!!!!!!

Ya name is Latin!!!!!!! Whats the interpretation? jst curious! Are a priest? I could use a priest lol! (jst kidding)
 
Kwako ni ulimbukeni, kwa wengine ni ajira. See tattoo artists, au aestheticians/cosmetologists.

Kuna watu wanatoa huduma ya kuchora.... Haiingii akililini mwangu ati mtu mwenye akili anaridhia kuweka maungo, kususani uchi, yake kwa mtu mwingine ili amchore. Ulimbukeni utatumaliza.
 
Kuna utamaduni watu, hususani vijana wa Kitanzania, wameiga kutoka nchi za magharibi wa kuchora alama, jina, n.k sehemu za usiri, husussani kwenye makalio au kwenye mapaja ili kuashiria wanaupendo wa dhati dhidi ya wapenzi wao.
Je ikiwa kama mpenzi wako atachororwa utamchuliaje?
Kama amechorwa kabla sijawahi kumbandua, nambandua halafu naingia mitini. Kama amechorwa wakati nipo nae tayari, itategemea amechorwa kwa ruksa kutoka kwa nani na kachorwa nini, kama sio ruksa kutoka kwangu uhusiano unakwisha.

Ni vipi wale wanaotoboa na kuweka hereni au vipini kweny 'K" karibu na clit.?
 
Umenikumbusha mabali sanaaaa Deutoronomy na Numbers!!! Ngoja ni mie nianze kwenda English Mass kama Jokate!!!!!!!!!!!!

Ya name is Latin!!!!!!! Whats the interpretation? jst curious! Are a priest? I could use a priest lol! (jst kidding)

Haha, mkuu lara1..you should(go back to the Mass)..yeah, latin
just coupe of two GTs Hippocrates(Father of Medicine) and Socrates(Philosopher)..nope, am not a priest, just a doc.
 
Kuna utamaduni watu, hususani vijana wa Kitanzania, wameiga kutoka nchi za magharibi wa kuchora alama, jina, n.k sehemu za usiri, husussani kwenye makalio au kwenye mapaja ili kuashiria wanaupendo wa dhati dhidi ya wapenzi wao.
Je ikiwa kama mpenzi wako atachororwa utamchuliaje?

Mhuni tu; siwezi kuendelea naye hata siku moja!
 
Mmmh! Napita kumbe kuna watu wala watu huku!ngoja na mimi nitafute wa kumla
Sehemu nyeti umeenda mbali sana
Mie hata mtu akijichora kidoti tu tupa kule

Sembuse ana mijina ya watu sirini??!!
Kwanza namla afu namtema lol
 
umenikumbusha 90's nilikuwa na demu wangu Mswiss tulipendana sana tukafikia kupanga kuoana lakini tatizo alikuwa ana tatoo la dushelele karibu na kwa bibi nikaghairi.

mmmm mpaka mnafika kuona ulikuwa hujaiona au?????? NA ULIIONAJE KAMA ULIKUWA UNASUBIRI HADI NDOA???????????
 
Kama amechorwa kabla sijawahi kumbandua, nambandua halafu naingia mitini. Kama amechorwa wakati nipo nae tayari, itategemea amechorwa kwa ruksa kutoka kwa nani na kachorwa nini, kama sio ruksa kutoka kwangu uhusiano unakwisha.

Ni vipi wale wanaotoboa na kuweka hereni au vipini kweny 'K" karibu na clit.?

Heeeeeeee kweli wanaume mnaona mengi, haya na wa hereni nao sijui walijitoboa au ilikuwaje.
mambo ya kujitaftia cancer hayo.
 
Back
Top Bottom