Tatizo Watanzania wamezoea kuwachezea POLISI wetu kutokana na upole na ustaarabu wao.

kupe

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
1,035
326
i wish wa Tanzania wangeona kazi ya (ukatili) wa POLISI wa KENYA au SOUTH AFRICA . wangewaheshimu sana Polisi wetu na kusingetokea haya yanayotokea . katika hizo nchi polisi hana muda hata kidogo wa kubishana na raia . Tanzania raha sana hadi polisi anakubembeleza . unamsomesha anakuelewa . nimeshuhudia mwenyewe kwa macho yangu polisi wanazomewa chuo kikuu mlimani UDSM tena wamevaa uniform na wapo kikazi .
 
Ngoja nipite kimya nisije nikaharibu usiku wangu bure,naona kuna watu wao wataishi milele heri yenu!
 
kuna walakini hapa, nahisi kuna baadhi ya software zimekosekana kichwani kwako.inabdi uanzishiwe uzi jukwaa la sayansi na technology ili upewe ushauri.
 
Acha ujinga. Kwani kama polisi wanaua SA ni mfano bora kwetu??. Kwa taarifa yako situation ya SA na lile tukio la Marikana miners liko tofauti na lile la Iringa. Wale miners walikuwa na silaha na kuna wakati walikuwa wakijibizana na askari. Pili ule mgomo wao ulikuwa umekwenda zaidi ya week mpaka pale yalipotokea mauaji. Awali, wale miners waliua askari polisi wawili pia. Hiyo ya Iringa ni cold blood killing.
 
Unajua unaweza ukasoma lakini usielimike.
Ni vizuri ukatulia ujifunze kuliko kujifanya unajua kila kitu.
 
Acha ujinga. Kwani kama polisi wanaua SA ni mfano bora kwetu??. Kwa taarifa yako situation ya SA na lile tukio la Marikana miners liko tofauti na lile la Iringa. Wale miners walikuwa na silaha na kuna wakati walikuwa wakijibizana na askari. Pili ule mgomo wao ulikuwa umekwenda zaidi ya week mpaka pale yalipotokea mauaji. Awali, wale miners waliua askari polisi wawili pia. Hiyo ya Iringa ni cold blood killing.

nadhani sasa wananchi watajifunza kulitii jeshi la polisi. kwani wao ni binadamu kama sisi na wapo kazini pia wanastahili kuheshiwa kwani amri wanayoitoa haitoki kwao inatoka kwenye jamhuri . so wao wanaiwakilisha jamhuri .SASA HIVI NADHANI WATASIKIKA NA KUHESHIMIKA
 
Police hulipwa kwa kodi zetu! Acha ufala wewe Mbwiga!

Kwani wafanyakazi wangapi wanalipwa kwa kupitia kodi zetu. isiwe sababu ya kuwazuia wasifanye kazi. una akili za ki MASABURI nadhani otherwise ungekaa kimya
 
Ngoja nipite kimya nisije nikaharibu usiku wangu bure,naona kuna watu wao wataishi milele heri yenu!

hakuna atakayebaki au atakayeishi milele kila mtu atakufa .kifo kimepangwa. lakini kila mtu aheshimu kazi ya mwenzake. serikali imekataza mkusanyiko harafu wewe raia huna hata silaha unabishana na serikali .bahati mbaya risasi imekupata utasemaje .au ndio siku zako zimefika
 
Kupe hujui unalosema. Huwezi kulinganisha unyama na unyama hata kama unazidiana magnitude. Kwa vile wewe ni kupe huenda uko juu ya mgongo wa CCM ukishiba kwa mabaki na haramu yake. Siku atakapoguswa ndugu yako tusisikie ukitutea comparisons za kipuuzi kama hizi. Kenya nimeishi ukatili unaoongelea si wa kushambulia mikutano ya kisiasa bali majambazi na sehemu zenye vurugu. Usidanganye kulinganisha upuuzi unaoendelea Tanzania na Kenya. Kwa katiba ya sasa ya Kenya mtu akishambulia raia kwenye mkutano wa kisiasa atakisahau cheo yake licha ya kufikishwa mahakamani. Isitoshe IGP wa Kenya Iteere si mtu mjinga kama jamaa yenu. Usilinganishe kifo na usingizi. Hata Bheki Cele wa Afrika Kusini hakuwa sawa na wetu ingawa alitimuliwa kazi na nafasi yake kuchukuliwa na IGP mwanamke wa kwanza Mangwashi Phiyega.
 
hakuna atakayebaki au atakayeishi milele kila mtu atakufa .kifo kimepangwa. lakini kila mtu aheshimu kazi ya mwenzake. serikali imekataza mkusanyiko harafu wewe raia huna hata silaha unabishana na serikali .bahati mbaya risasi imekupata utasemaje .au ndio siku zako zimefika

siku zenu zinahesabika tu subirini
 
polisi ana chombo cha moto anapokupa amri na ukakataa kutii unategemea nini . unataka akitumie hicho chombo cha moto ufe ili umlaumu au usumbue ndugu zako na wakupendao kukuzika . tafadhari watanzania tuzingatie sheria na tuheshimu jeshi la polisi kama tunavyoheshimu majeshi mengine. mfikishie mwenzako ujumbe huu . asiyetaka yatakayomkuta asije kulalamika hapa
 
Naona sasa ili kuingia humu as a great thinker, naona JF inabidi kuanza kupima watu IQ zao! sababu kuna takataka inaharibu hali ya hewa humu! siitaji maana inanijua! khaa! shame on him /her.
 
Kupe you are but a piece of shiiiiit asiyeweza kujua haki ya usalama wa raia. Hao polisi unaowaabudia wanalishwa na kuvalishwa kwa kodi za wananchi wanaopaswa kuwalinda. Wanavuruga mikutano ya CDM na kuua kwa kutumwa na CCM kutokana na woga wa kufurushwa. Hata wafanyeje maji yako shingoni. Swali dogo lisilohitaji shahada wala ubukuzi unalopaswa kujiuliza ni: Kwanini mauaji yote yaliyotekelezwa na polisi yametekelezwa kwenye mikutano ya CDM? Acheni unazi wa kijinga na mapenzi ya kibubusa.
 
nadhani sasa wananchi watajifunza kulitii jeshi la polisi. kwani wao ni binadamu kama sisi na wapo kazini pia wanastahili kuheshiwa kwani amri wanayoitoa haitoki kwao inatoka kwenye jamhuri . so wao wanaiwakilisha jamhuri .SASA HIVI NADHANI WATASIKIKA NA KUHESHIMIKA
Huyo unaemwita jamhuri ndo tatizo ktk nchi hii amebatizwa jina anaitwa DHAIFU
 
nadhani sasa wananchi watajifunza kulitii jeshi la polisi. kwani wao ni binadamu kama sisi na wapo kazini pia wanastahili kuheshiwa kwani amri wanayoitoa haitoki kwao inatoka kwenye jamhuri . so wao wanaiwakilisha jamhuri .SASA HIVI NADHANI WATASIKIKA NA KUHESHIMIKA

Polisi hawapaswi kutumia nguvu zaidi ya inayohitajika.

Kukiuka hilo ni kosa na Polisi walioua Iringa wana mashtaka ya mauaji ya kujibu.

Watu hawatawaliwi kwa kutishwa, wanatawaliwa kwa kutendewa haki.
 
polisi ana chombo cha moto anapokupa amri na ukakataa kutii unategemea nini . unataka akitumie hicho chombo cha moto ufe ili umlaumu au usumbue ndugu zako na wakupendao kukuzika . tafadhari watanzania tuzingatie sheria na tuheshimu jeshi la polisi kama tunavyoheshimu majeshi mengine. mfikishie mwenzako ujumbe huu . asiyetaka yatakayomkuta asije kulalamika hapa

Pole sana kupe. Hujui haki zako kama raia.
 
Tatizo ni baadhi ya akina Mama kukubali kuchezewa na Mibaba USELESS na mwisho wake wanatotoa Product ambazo ni tatizo kuanzia siku anazaliwa hadi anakufa.

Laiti wangelitumia DUREX, wapuuzi duniani wangelikuwa wachache.
 
Back
Top Bottom