Tatizo sikukariri number yake.....!.!.!

Jamani huyu anajaribu kuwa Shigongo wetu ila siye tunaya sijui nani vile maana aalileta stori ya ukweli ila hakuiendeleza labda jamaa kaona ajaribu
 
Hizi ni story ya kitoto zaidi, nafkir umr wako si km wa wana jf wengine, bas kama ww ni mkubwa ni Magamba in origin
<br /> <br / kwan mambo haya hayapo?wewe ndo una........finyu.coz mawazo yako yameishia hapo.USIWE MVIVU WA KUFIKILI utachekwa na mtoto ANAYEJUA KUFIKILI.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom