Tatizo sijui ni nn??

Tatizo cjui ni nn kwa huyu binti,kipindi tunafanya mapenzi yy huwa anafanya shughuli zake 2 mfano,unaweza kuta anarusha nyimbo,anasoma sms,n.k.sasa sijui hana hisia za mapenz au haridhiki na mm??

Naomba nijue umri wako, uzoefu wa kukandamiza, na yeye aseme kama we ndo wangapi kumkandamiza, na je hiyo hali ilikuwa na kwa wengine pia?

It may be she has Psychological problems, sexual dysfunction au wewe ni MVULANA na si MWANAUME.

ukitaka kujua tofauti ya MVULANA na MWANAUME kiutendaji, mtafute LIZZY au nakuomba Lizzy uje umpe somo huyu somo yangu!
 
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha...................sijawahi kusikia wala kuona ....hii mpya, unamlazimisha au mgonjwa? pia nina wasiwasi kama wewe ni mtundu kwenye majambozi.........
mbona kabla hujamfikia msichana kuna meseji nyingi usoni mwake za kukuonyesha yupo tayari, aibu au unyonge, au unamlazimisha.........................
 
testi zali kwa katerero uone moto wake...thubutu!!!
Tatizo cjui ni nn kwa huyu binti,kipindi tunafanya mapenzi yy huwa anafanya shughuli zake 2 mfano,unaweza kuta anarusha nyimbo,anasoma sms,n.k.sasa sijui hana hisia za mapenz au haridhiki na mm??
 
Tatizo cjui ni nn kwa
huyu binti,kipindi tunafanya mapenzi yy huwa anafanya shughuli zake 2
mfano,unaweza kuta anarusha nyimbo,anasoma sms,n.k.sasa sijui hana hisia
za mapenz au haridhiki na mm??

mh!kabisa?
 
Tatizo cjui ni nn kwa huyu binti,kipindi tunafanya mapenzi yy huwa anafanya shughuli zake 2 mfano,unaweza kuta anarusha nyimbo,anasoma sms,n.k.sasa sijui hana hisia za mapenz au haridhiki na mm??
Sasa ndugu yangu kisa gani mpaka unataka ujue tatizo wakati halipo????
 
shuka kwenye ilo bus(Airtel) panda kale kabitto cha tigo uone mwendo wake!
 
VIAGRA zinapatikana Kinondoni, Ukishindwa hata SUPER SHAFT. We ukianza dozi, piga game utakuja kunishukuru
 
Au huenda mwenzio anaona hiyo ni MONEY IN THE BANK radar match? Ushakuwa ATM weyee
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom