Tatizo sijui ni nn??

Fraddle b

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
222
18
Tatizo cjui ni nn kwa huyu binti,kipindi tunafanya mapenzi yy huwa anafanya shughuli zake 2 mfano,unaweza kuta anarusha nyimbo,anasoma sms,n.k.sasa sijui hana hisia za mapenz au haridhiki na mm??
 
Aisay labda una mpapasa tu, ukimsugua vizuri unadhani atakumbuka hata alikwenda na mobile pale, hata ukimwambi aimbe atabaki kulia tu.
 
pengine hakuna kitu unagusa,je size ya nanii yako ikoje? nijibu harafu niendelee kuchangia
 
hahahahaha....dah najaribu imagine mwanawane unakandamiza mtu ndio kwanza yupo busy na simu kweli wee ata mb** inasimama kweli?
 
Tatizo cjui ni nn kwa huyu binti,kipindi tunafanya mapenzi yy huwa anafanya shughuli zake 2 mfano,unaweza kuta anarusha nyimbo,anasoma sms,n.k.sasa sijui hana hisia za mapenz au haridhiki na mm??

wewe kaka,,,,, siyo kweli..... hebubadilisha stahili yako ya ku-sex
 
Dunia haishii vituko!!!! Sasa wewe unaendelea tu na mtu hayupo hapoooo????
 
Duh! cjui kama inawezekana. Mtu mmevuana nguo halafu mko faragha na shughuli inaendelea......eti mtu yuko bize na anahamisha nyimbo kutoka kwenye cm yako kwenda kwenye cm yake au anasoma gazeti. Dhubutu!!
 
kwa hyo ww unabisha haiwezekani,au kwa upande wako isingewezekana? Cjaelewa
 
Back
Top Bottom