tatizo si kujivua Gamba

Loy MX

JF-Expert Member
Mar 26, 2012
1,253
312
nimedadisi sana mwishowe nimegundua CCM ni sikio la kufa... Kamwe haliwezi sikia dawa. CCM ni sawa na Kobe kuanzia gamba lake mwendo wake wanafanania kwa kila kitu na kwa maana hii CCM ina gamba la kobe hawawezi kulivua mpaka kifo na pakatokea wakajivua ujue na kifo hapohapo. Pili staili ya kumchinja kobe huyu inahitaji timing nashukuru CHADEMA wamempatia na sasa wanamchinja kwelikweli. Wana Jf tuendelee kumchambua KOBE huyu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom