tatizo nini?

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
Tulikuwa msibani mtaani,watu wengi walikuwepo kuwafariji wafiwa,kuna bwana mmoja naye alikuja pia kuwafariji wafiwa,huyu bwana alikuja na kijiko chake na ndizi mbivu moja,nadhani ni maandalizi ya wakati wa chakula,cha kushangaza alipovitoa hivi vitu wakati chakula kilipoletwa,watu wakaanza viminong'ono vya hapa na pale wakimsema jamaa!sasa mi nauliza kuna tatizo gani kufanya hivyo?maana kuna watu hawawezi kutumia mikona kula wali,na wengine chakula bila tunda c ulaji wa afya,na ukiacha kula msibani si jambo zuri jamani!hapo inakuwaje wadau?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom