Tatizo ni wewe Vin Diesel

Hehehehe! Mbavu zangu mie khaaa! Unachekesha ! Pole weye manake ulichoandika hapa hata moyo wako unajua kabisa kuwa sio kweli. Nakusamehe vile nayajua maneno ya mkosaji! Kuna wanaume wa kutongozwa dia ila wewe haupo kwenye hao wanaume! Hii sredi imefungwa kwa hisani ya Paw !


Tuache na my hubby nitonye tujipumzikie kwa raha zetu!

Nitakuacha ila nakushauri uache kutongoza hovyo hovyo waume za watu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom