Tatizo ni urais na uchu wa madaraka uliopitiliza mipaka

Hansen Nasli

JF-Expert Member
Mar 18, 2012
883
337
Tatizo ni urais wapo watu wabinafsi ambao wanasumbuliwa na makovu ya uchaguzi ambao hawatak kukubali hali,.kama kweli tuna mapenzi mema na nchi hii 2shirikiane kuleta maendeleo na sio manunguniko ya upotoshaji wa wazi wa kuwajenga wananchìadi wanafikia hatua ya kuwa waasi wa nchi yao na kutoheshimu tawala zilizowekwa kihalali na wananchi.MUNGU IBARIKI Tanzania yetu na uzidi kuwaumbua wasioitakia mema nchi yetu
 
Aliingia madarakani bila ya ridhaa ya wananchi kwa kuiba kura sasa unategemea awe na mapenzi na hii nchi?
 
Utashirikianaje na Rais Dhaifu kuleta maendeleo?? Labda tushirikiane kutembeza bakuli la misaada marekani na EU huku tukipandisha bendera ya taifa kwenye meli za Iran. Dhaifu dhaifu dhaifu
 
Kweli! Uroho uliopitiliza wa madaraka ukokaribu kuitumbukiza nchi katika machafuko. Hao wako tayari kukanyaga maiti na kuloa kwenye madimbwi ya damu za raia lakini waingie ikulu. Sikia,wanasema "tutahakikisha nchi haitawaliki" sasa hapa mbinu nyingi chafu zinatumika ili nchi isitawalike mfano,kuhamasisha migomo,kuandaa mauaji ili tu watu wapate hasira na kuingia barabarani.
 
Shirikianeni wewe na yeye! Maana dhaifu ushirikiana na dhaifu wenzie.

Umesikia msangi
 
Wizi wa kura aliofanya JK 2010 ndo unamponza sasa..na kweli nchi haitatawalika hii..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kumbuka kikwete alitumia njia gani kuwa shinda akina salim, mwadosya, sumaye na wengine...wa kulaumiwa ni kikwete na group lake..
 
Mfamaji haachi kutapatapa.Yatasemwa mengi sana lakini habari ndo hiyo DHAIFUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
 
Kweli! Uroho uliopitiliza wa madaraka ukokaribu kuitumbukiza nchi katika machafuko. Hao wako tayari kukanyaga maiti na kuloa kwenye madimbwi ya damu za raia lakini waingie ikulu. Sikia,wanasema "tutahakikisha nchi haitawaliki" sasa hapa mbinu nyingi chafu zinatumika ili nchi isitawalike mfano,kuhamasisha migomo,kuandaa mauaji ili tu watu wapate hasira na kuingia barabarani.

Mkuu hayo unayosema ni mazito sana mimi binafsi siungi mkono machafuko yasio na tija. Serikali amewekwa na wananchi kwa kupiga kura basi wananchi ndiyo waamuzi wa kuibadilisha kwa kura kwa mujibu wa katiba. Uchaguzi ni 2015........Kwanini muda huu usitumike kujadili yale mapungufu yaliyomo kwenye katiba kuliko kupiga siasa chafu zinazopoteza maisha ya ndugu zetu??? Hebu tuwe na utu kidogo kila mmoja anahaki ya kuishi....mimi na wewe......msituharibie ile misingi yetu tuliyoijenga ya amani kwa kutugawa kwa udini,ukabila,ukanda......kwa tamaa za madaraka...........Ocampo karibu Tanzania
 
Kura hazikutosha wakaiba wezi wakubwa nyinyi

Tuna wabunge asilimia ngapi bungeni?

Tuna madiwani asilimia ngapi?

Tuna wenyekiti wa vijiji asilimia ngapi?

Hata haya huoni wala vibaya hujui? kuja na kusema usiyo na hata chembe ya ushahidi? Hivi nyinyi ndio mafunzo yenu kuwa waongo kila kukicha?
 
Tatizo ni urais wapo watu wabinafsi ambao wanasumbuliwa na makovu ya uchaguzi ambao hawatak kukubali hali,.kama kweli tuna mapenzi mema na nchi hii 2shirikiane kuleta maendeleo na sio manunguniko ya upotoshaji wa wazi wa kuwajenga wananchìadi wanafikia hatua ya kuwa waasi wa nchi yao na kutoheshimu tawala zilizowekwa kihalali na wananchi.MUNGU IBARIKI Tanzania yetu na uzidi kuwaumbua wasioitakia mema nchi yetu
Kweli ni uchu wa madaraka uliopitiliza, inafikia mtu anaiba kura ili aingie madarakani na anafanikiwa we unafikiri ni nini kama si uchu wa madaraka uliopitiliza!
 
unaposema fulani kaiba kura ili ashinde,je ulimuona wakati anaiba?je baada ya kumuona ulichukua hatua gani? Elezea aliibaje na kwa kiasi gani ukitoa na ushahidi.Vinginevyo ni porojo za kujifariji baada ya kushindwa.Kumbuka kuna mgombea mmoja wa urais wakati wa kampeni alisema asilimia 90 ya usalama wa taifa wanaripoti kwake,kwa hiyo hakuna kinachoendelea lazima ajue,lakini baada ya matokeo kuonesha ameshindwa akadai usalama wa taifa wamemuibia kura.Pima vizuri kauli mbili hizo halafu pima umri wake na upime akili za wale wanaomuamini halafu changanya na mahusiano yake ya kimapenzi,bila shaka utapata jibu ambalo utapata amani katika moyo wako juu ya yale makelele wanayopiga.Hii dhana tumeibiwa ameiasisi yeye na wafuasi wake wameikumbatia.Naona umepata jibu
 
Tuna wabunge asilimia ngapi bungeni?

Tuna madiwani asilimia ngapi?

Tuna wenyekiti wa vijiji asilimia ngapi?

Hata haya huoni wala vibaya hujui? kuja na kusema usiyo na hata chembe ya ushahidi? Hivi nyinyi ndio mafunzo yenu kuwa waongo kila kukicha?
Kwenye chaguzi ndogo hamuoni mnavyoangukia pua sasa Hali imekuwa mbaya mpaka mmeamua kujenga hospital ya mauwaji kwenye msitu wa mabwepande kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Ha
 
Back
Top Bottom