Tatizo na Nyumba Ndogo...

Duuuu,

RR, sikujua kwamba huwafahamu wanaume kiasi hicho????

Babu DC!!
Babu...
I don't need to know all men. It is too ambitious and almost impossible to know them all. Ila I know my man, na tunaongea sana kuhusu haya mambo (just like I discuss them with you now). Na nilichoandika hapo ni how mimi na yeye tunaperceive a real man, na cheating. that is OUR understanding.
Niliacha room wazi kwa wanawake wengine kua na understanding tofauti, just like wanaume wengine wanaweza kua na understanding tofauti.
All I did was to expose my point and now I am explaining my point, sisemi kua what I know or what I say ndio the norm (but I would love to :tongue: )
 
Kuna sababu za msingi za kuwa nyumba ndogo? Maana kama zipo basi inawezekana kabisa ukaamua kutojari sana mambo mengine, hasa lile la kujihakikishia unamiliki mali kwa asilimia 100.
 
FP na Chauro,

Ama mmeshamalizana na umri wa kudanganyika na mapenzi ya egoli egoli (bongo movies type) na tamaa ya kuvishwa pete, au ni wanawake wa enzi zetu za 1947 ....au umri na uzoefu umeshawakomaza. Hii itakuwa imewasaidia kujua kuwa mwanamume ni kiumbe huru kama kuku wa kienyeji, ambaye hata akizurura vipi; lazima awahi nyumbani kabla giza halijaingia!!

MJ1 anaelekea huko....ingawa RR bado kabisa!!

Babu DC!!
 
Yaani kweli hamshtushwi wala kuogopa waume zenu wakiwa na nyumba ndogo?

Hamuogopi magonjwa ya zinaa? Hamuogopi ukimwi nyie?

Mna uhakika gani huko kwa nyumba ndogo kama hao waume zenu wanangonoka kwa kutumia kinga? Siku wakiwaletea magonjwa bado mtakuwa na hiyo 'attitude' ya kutojali?

Mwanamke ambaye hajali kama mumewe ana nyumba ndogo au la basi naye hajijali. Kama unajijali basi lazima utakwazika na huyo mumeo kuwa na kimada au vimada pembeni.

Na kwa vile hao wa pembeni ni vimada basi na wao mara nyingi hawajifungi kwa waume zenu tu. Wanakuwa na sexual partners wengine zaidi ya hao waume zenu.

Na chances are ukimpa mumeo 'non-verbal' rukhsa ya kuwa na vimada (on condition kwamba ili mradi hao vimada hawakusumbui kwa kukutumia sms za kejeli na mambo mengine kama hayo) basi upo wakati atachovya bila kinga.

Sasa akitaka kulalana na wewe mke wake halali utamlazimisha atumie kinga au utamwambia ni juu yake kama anataka kutumia au kutotumia?

Mimi siwaelewi kabisa nyie wanawake mnaosema eti hamna tatizo na nyumba ndogo za hao waume zenu! Au na nyinyi mna nyumba ndogo zenu?

Kaka,

Mwanamume yeyote (ukiachia wachache sana, including labda akina NN), hana sababu yoyote ya kusubiri ruhusa ya mke wake ili akachepuke nje....Testosterone inafanya kazi yake 24/7

Hizi issues ni ngumu sana na ndiyo maana ushauri wangu ni kwamba kila mtu achukue tahadhari kwaa ajili ya usalama wake na mwenzi wake!!

Babu DC!!
 
FP na Chauro,

Ama mmeshamalizana na umri wa kudanganyika na mapenzi ya egoli egoli (bongo movies type) na tamaa ya kuvishwa pete, au ni wanawake wa enzi zetu za 1947 ....au umri na uzoefu umeshawakomaza. Hii itakuwa imewasaidia kujua kuwa mwanamume ni kiumbe huru kama kuku wa kienyeji, ambaye hata akizurura vipi; lazima awahi nyumbani kabla giza halijaingia!!

MJ1 anaelekea huko....ingawa RR bado kabisa!!

Babu DC!!
sina uhakika na Chauro, ila kwangu hujakosea kabisaaaaaaaaaaaaa, sijui na mimi nijipe title ya bibi humu! au tayari yupo? au tunaruhusiwa kuwa wengi?
 
umesema kweli babu DC aproaching my 30s this year nimeona mengi na wkt mwingine huwa nahukuru kwa kuyaona yale niliyoyaona kwenye umri mdogo yamenikomazaa mapema sasa kila linalokuja mbele ya macho yangu huwa nashukuru kwa yote na kutafuta a possitive way ya kumaliza badala ya majibizano yasiyo na tija.
FP na Chauro,

Ama mmeshamalizana na umri wa kudanganyika na mapenzi ya egoli egoli (bongo movies type) na tamaa ya kuvishwa pete, au ni wanawake wa enzi zetu za 1947 ....au umri na uzoefu umeshawakomaza. Hii itakuwa imewasaidia kujua kuwa mwanamume ni kiumbe huru kama kuku wa kienyeji, ambaye hata akizurura vipi; lazima awahi nyumbani kabla giza halijaingia!!

MJ1 anaelekea huko....ingawa RR bado kabisa!!

Babu DC!!
 
Babu...
I don't need to know all men. It is too ambitious and almost impossible to know them all. Ila I know my man, na tunaongea sana kuhusu haya mambo (just like I discuss them with you now). Na nilichoandika hapo ni how mimi na yeye tunaperceive a real man, na cheating. that is OUR understanding.
Niliacha room wazi kwa wanawake wengine kua na understanding tofauti, just like wanaume wengine wanaweza kua na understanding tofauti.
All I did was to expose my point and now I am explaining my point, sisemi kua what I know or what I say ndio the norm (but I would love to :tongue: )

RR,

Samahani sana kama nimeonekana kuku-attack personally...huo si utaratibu wangu wa kujadili hapa JF....

Niliona kama umeongea katika perspective ambayo ni ya jumla jumla (see red and white), na mie nikaweka maoni yangi kiujumula.

I am deeply sorry if I sounded offensive!!

Babu DC!!

MTM My dear

If one respects his wife and the promise he made to her mbele ya Mungu kanisani, mbele ya Serikali ya Nchi yake na Mbele ya wazazi wao wote, ndugu, jamaa na marafiki, one doesn't get a nyumba ndogo, one doesn't cheat on his wife.
Nyumba ndogo ni alama ya kukosa both upendo na heshima kwa mke wa ndoa, na kwa anae cheat mwenyewe. A real man don't just say to people he meets out there kwamba he is a married man, he acts like one.
The same is valid for real women.
 
umesema kweli babu DC aproaching my 30s this year nimeona mengi na wkt mwingine huwa nahukuru kwa kuyaona yale niliyoyaona kwenye umri mdogo yamenikomazaa mapema sasa kila linalokuja mbele ya macho yangu huwa nashukuru kwa yote na kutafuta a possitive way ya kumaliza badala ya majibizano yasiyo na tija.
pole sana kwa kukuzwa kabla ya muda............. kwa umri wako sasa ilibidi ndo uwe wale wanaoamini heaven on earth! lol!
 
sina uhakika na Chauro, ila kwangu hujakosea kabisaaaaaaaaaaaaa, sijui na mimi nijipe title ya bibi humu! au tayari yupo? au tunaruhusiwa kuwa wengi?

Bibi FP,

Itakuwa bomba sana kuwa nawe kwenye jukwaa la MMU....Hebu basi anza kuitumia hilo jina....

Akina Nyamayao ni wachache sana na hawaonekani mara nyingi hapa MMU,

Karibu kwenye Club ya wadau wa 1947!!

Babu DC!!
 
Wapendwa je wote mu wazima?

Nisaidieni ninaomba kwani nafikiri sijitambui au sijijui.

Mbona mimi sipati shida wala kushtushwa na suala zima la nyumba ndogo!!
Je inawezekana kuwa sijawahi kupenda? au?
Je kuna mwenzangu/wenzangu ambao wana hali kama hii?

Ujue ukiwa mtaalam wa kitu flani huwa unakifanya bila wasiwasi wowote kwahiyo inawezekana wewe ni mtaalam wa nyumba ndogo
 
Babu...
I don't need to know all men. It is too ambitious and almost impossible to know them all. Ila I know my man, na tunaongea sana kuhusu haya mambo (just like I discuss them with you now). Na nilichoandika hapo ni how mimi na yeye tunaperceive a real man, na cheating. that is OUR understanding.
Niliacha room wazi kwa wanawake wengine kua na understanding tofauti, just like wanaume wengine wanaweza kua na understanding tofauti.
All I did was to expose my point and now I am explaining my point, sisemi kua what I know or what I say ndio the norm (but I would love to :tongue: )
ni jambo zuri sana kuamini kile mwenzako anachokuambia................ hii ina maana hata kama atakachokuambia, kwa mdomo wake ni uongo uamini, as long as huujui ukweli unabaki kuwa fine and happy
 
kwakweli fixed point kama nilivojisemea nashukuru kwa yote nikitaka niipoteze furaha yangu ni kwa kuanza kuhesabu yaliyopita.
pole sana kwa kukuzwa kabla ya muda............. kwa umri wako sasa ilibidi ndo uwe wale wanaoamini heaven on earth! lol!
 
Bibi FP,

Itakuwa bomba sana kuwa nawe kwenye jukwaa la MMU....Hebu basi anza kuitumia hilo jina....

Akina Nyamayao ni wachache sana na hawaonekani mara nyingi hapa MMU,

Karibu kwenye Club ya wadau wa 1947!!

Babu DC!!
Asante sana babu DC!
hata mimi nimemmiss sana Nyamayao, sijui tunapishana? alikuwa ananifurahisha sana na mabandiko yake.... yale maneno yetu ya mwaka 47!!!!!!!!!!!!
ngoja nimPM kujua kama yupo bomba
 
Back
Top Bottom