Tatizo na Nyumba Ndogo...

Mwanamke kama hana wivu kwa mme wake, basi mpeni pole mana hapati raha kutoka kwa mme wake.

Wenzako wanapelekwa dunia ingine, wewe sijui unafikishwa pale katikati ya dunia na hio ingine, nadhani hujafikishwa bado kwenye dunia ile ingine.
 
Yawezekana wewe ni mmoja wa wale wanaoamini kuwa.......mume kuwa na nyumba ndogo sio kwamba hakupendi, and it is okey as far as he cares for you and the family as well.......provided that nyumba ndogo haikuletei kashkash!
 
Mimi napenda mwanamke anifikirie pia bana! kama yeye ana uhakika hawezi kunipatia ile kitu at least kila baada ya siku 2 na anajua mimi nikiikosa ile kitu kwa siku 2 napoteza memori mpaka za besdei yangu, sasa hauoni kwamba kunibania nyumba ndogo ni mateso? (Huu ni mfano tu). Mwanamke anaempenda na kumfikiria mwanaume lazima atamwachia tu. Shem hauna ndugu wa kike mwenye msimamo kama wako? lol

Wewee.....ebu kuja hapa!!! Mbona kabla haujaoa ulikuwa haukamatii kiivo ilhali uwezo wa kuongeza vidate hata kumi ulikuwa nao?? Baada ya kuoa ndo unasogeza mpango wa kando.....sio issue!!! LOL
 
Nadhani umejikatia tamaa kuachana na mambo ya kuktesa wakati mumeo hataiacha. Vizuri kujipa raha mwenyewe kuliko kuteswa na mambo ya nyumba ndogo, maana mume akishapenda hawezi kuiacha nyumba ndogo kama haijamkorofisha.

Chuakachara hahah hapana siwezisema kuwa nimekata tamaa hapana. Nina shindwa kujielewa tu kwa nn sina uoga nao
 
Wapendwa je wote mu wazima?

Nisaidieni ninaomba kwani nafikiri sijitambui au sijijui.

Mbona mimi sipati shida wala kushtushwa na suala zima la nyumba ndogo!!
Je inawezekana kuwa sijawahi kupenda? au?
Je kuna mwenzangu/wenzangu ambao wana hali kama hii?

Kama nilivyosema katika post yangu iliyopita, nakupa mfano: Shemeji yangu (mdogo wa mke wangu) mme wake alipata nyumba ndogo. Shemeji ilimuumiza sana roho na kukosa amani na kukata tamma ya maisha. Nikampa wazo kuwa chagua mawili: Jiondokee, uanze maisha yako AU dharau na uyaone ya kawaida, ila usimpe ngono. Akafuata ushauri wa pili. Mbona bwana aliumia sana kukosa ngono toka kwa mke wake. Kesi zikawa kesi lakini akashikiria msimamo kuwa hatampa ngono. Sasa amezoea maisha na hana wiivu tena. Anamuona mme kama kaka yake na maisha yanakwenda vizuri, anafanya biashara zake na anafanikiwa. Nyumba ndogo anatamani kuiacha lakini ameshaizalisha na ugomvi kila leo!!
 
Naona hukusoma the very first post ya The Boss, ungeelewa comment yake zaidi.

img_1265_2.jpg
img_1266.jpg
 
MJ1 umepotea kweli leo ngoja nijisomee tu hapa uwe na jumapili njema.
 
This is the type of discussion that changes my day from a sunny lovely to a rainy muddy one. . .
Mwanajamiione, nadhani sio lazima Nyumba Ndogo ikukere. wengine wanaona sawa tu. Binafsi kinacho nikera zaidi ni the lies involved. Kama mambo yote yanawekwa wazi, then people can take any decision knowing that it is based on facts, not assumptions.
Ukisema I have the perfect marriage, you know what you mean, ukisema I want to leave my man you know what you mean. But most of men lie to both Nyumba kubwa and Nyumba Ndogo who then believe in things that don't really exist and that is what makes it even uglier than it already is to me.
mara nyingi mtu anaenda huko nyumba ndogo kwa tamaa tu................ sasa kama bado ana haja na mkewe hawezi kuweka mambo hadharani, lazima adanganye.... mimi anidanganye tu, maana akiniambia ukweli kwamba ana nyumba ndogo nitaumia sana, maana hadi kufikia kuniambia, najua mambo yameshakuwa magumu kwangu
 
Ni kweli usemayo The Boss ila tatizo langu mie ni kuwa hata akirudi saa kumi usiku na vituko juu kwangu ilikuwa ni ngumu kuanza kuumizwa na ....lazima atakuwa na mwanamke mwingine nje" bali nilikuwa naumizwa na ile ya kutotoa taarifa mapema kuwa atachelewa kurudi!!!
Aisee, usikute wewe unaandika maneno yangu! nashangaa tu hapa
 
Back
Top Bottom