Tatizo na Nyumba Ndogo...

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Wapendwa je wote mu wazima?

Nisaidieni ninaomba kwani nafikiri sijitambui au sijijui.

Mbona mimi sipati shida wala kushtushwa na suala zima la nyumba ndogo!!
Je inawezekana kuwa sijawahi kupenda? au?
Je kuna mwenzangu/wenzangu ambao wana hali kama hii?
 
Shem kwanza acha nikusalim kwa kihabeshi , hesh lea tis?

Mada: Hapo red wewe ndio unajitambua na kujijua, umeielewa nature na umeiacha ichukue mkondo wake. Big up shem
 
hahaa nadhani wewe unajitambua wala hupekuipekui mambo yake
ila nikuulize swali...
unadhani anaweza kuwa nayo au mawazo yako ni kwamba hawezi fanya hivyo???

mi mwenyewe sipresheki kwa hili najua kuna siku mambo yatakua hadharani na ndio mustakabali wenyewe utafanyika
 
kwanini uchunge kuku?
ukishindwa kumla?na kuku wote wapo hivyo hivyo
 
Shem kwanza acha nikusalim kwa kihabeshi , hesh lea tis?

Mada: Hapo red wewe ndio unajitambua na kujijua, umeielewa nature na umeiacha ichukue mkondo wake. Big up shem
Hahahha Shem, ndo ki-Amharik hicho nini? nashukuru

mh...........mie hadi naogopa maana nahisi pengine ni ishara kuwa sijawahi kupenda! ingawa najiona am head over heels !
 
duh, kama huna shari ya nini kuisaka shari?

Mwanamme si wa kumpenda, ni kumwelewa tu.
Inatosha kabisa kwa kujenga familia.
 
wanawake ni tofauti na wanaume

wanaume wote tunajiona sawa..

but wanawake wanajijua yupi mzuri sana,yupi mzuri kiasi,yupi mbaya....

sasa nyumba ndogo inajitazama na kuona ikijilinganisha na nyumba kubwa

haiwezi compete..

sasa kwa nini ianzishe fujo while ana nafadi ya ku shindwa?

ana sta low kimya kimyaa....anakubali tu.....na sometimes hataki kumuuzi Nyumba kubwa
asije kukosa yoote...
 
This is the type of discussion that changes my day from a sunny lovely to a rainy muddy one. . .
Mwanajamiione, nadhani sio lazima Nyumba Ndogo ikukere. wengine wanaona sawa tu. Binafsi kinacho nikera zaidi ni the lies involved. Kama mambo yote yanawekwa wazi, then people can take any decision knowing that it is based on facts, not assumptions.
Ukisema I have the perfect marriage, you know what you mean, ukisema I want to leave my man you know what you mean. But most of men lie to both Nyumba kubwa and Nyumba Ndogo who then believe in things that don't really exist and that is what makes it even uglier than it already is to me.
 
Pal... niaje??

Nyumba ndogo haiwezi kuwa tatizo kama mister hana nyumba ndogo permanent, au kama anayo basi iko advanced na inajua mipaka yake

Kamanda niko poa mydia, missing you!

Mh unajua sometimes wamama hatujui kama Mr ana nyumba ndogo au la but tunainsinyuati tu kutokana na mabadiliko ya tabia au vituko ndani ya nyumba. Si kwamba sijawahipitia vituko tena vile ambavyo unahisi kabisa mh mwenzangu mapenzi hapa kwishneh lakini kulink na nyumba ndogo ilikuwa ni option ya mwisho kabisa! au nilimwamini sana kuwa hawezi kuwa nayo pamoja na visa vyote au nini sijui kwa kweli.
 
word!!!

tena unajaliwa balaa, hakuna sabuni za kunukia, timing, usilewe sana, protect your self you name it

and once you get one.... balaa

MTM umenikumbusha......kuna nyumba ndogo moja baada ya kujulika ilienda hadi kanisani kufanya toba na kumwomba msamaha mama mwenye mume mbele ya padiri...........................
baada ya kutoka hapo tu ikahamisha mtaa na mchezo ukaendelea,,,,,hakuna kuachana
haya ukiyafatilia sana utakufa siku si zako lol
 
This is the type of discussion that changes my day from a sunny lovely to a rainy muddy one. . .
Mwanajamiione, nadhani sio lazima Nyumba Ndogo ikukere. wengine wanaona sawa tu. Binafsi kinacho nikera zaidi ni the lies involved. Kama mambo yote yanawekwa wazi, then people can take any decision knowing that it is based on facts, not assumptions.
Ukisema I have the perfect marriage, you know what you mean, ukisema I want to leave my man you know what you mean. But most of men lie to both Nyumba kubwa and Nyumba Ndogo who then believe in things that don't really exist and that is what makes it even uglier than it already is to me.

polee sana
 
exactly
zipo nyumba ndogo mtu unaambiwa kabisa
wahi kurudi kwa mkeo.'sitaki matatizo mie' lol

Ni kweli usemayo The Boss ila tatizo langu mie ni kuwa hata akirudi saa kumi usiku na vituko juu kwangu ilikuwa ni ngumu kuanza kuumizwa na ....lazima atakuwa na mwanamke mwingine nje" bali nilikuwa naumizwa na ile ya kutotoa taarifa mapema kuwa atachelewa kurudi!!!
 
Back
Top Bottom