Tatizo letu liko wapi?

carmel

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,836
262
Nilikuwa nafungua website ya Irish embassy nikakutana na masahibu hayo hapo chini tena page ya kwanza kabisa. Kwa kweli nimejisikia vibaya bna kutafakari sana. Tuna tatizo gani? hebu angalia waliyoyaandika hawa ndugu zetu, kwa moyo wa dhati kabisa wanataka sponsorship, lakini unadhani kwa jinsi walivyoandika, yani first impression hiyo sponsorship wanaweza kupata? I mean, wote ni ma graduate hao siyo form four! No wonder watanzania tuna long, long way to go. Je tufanyeje jamani kusolve matatizo ya kihivyo? Na east african cooperation hii tutapona kweli, hata kazi tutapata? Think people, think hard.
Sat, 30 Jan 2010 12:37 PST
APPLICATION FOR THE SPONSORSHIP
I would like to apply for the sponsorship for master
degree 2010/2011 academic year.

Currently I am a third year student per suing degree in Bsc Agricultural education and extension at Sokoine University of Agriculture

Sat, 30 Jan 2010 12:25 PST
LOOKING FOR SPONSERSHIP
I am a Tanzanian aged 33 years old, per suing Bsc Agricultural education and extension third year at Sokoine University of agriculture.

I would like to apply for the sponsorship in master for the coming academic year.

Sat, 30 Jan 2010 04:42 PST
SPONSORSHIP FOR BACHELOR IN EDUCATION
I'm an Tanzanian woman.I'm a student at Muslim university of morogoro in B.A.EDUCATION. with registration number of MUM/T/BAED/09/1423. I fail to get loan from loan board. I tried my best to insure my present at university in this accademic year but i face difficult life for tuition fee, meals and stationary expenses.I lost both my parents so i have no one to help in my studies. I request you to sponsor me so that i can be able to continue with my studies.
I hope you will consider my request
your
Thu, 28 Jan 2010 04:15 PST
LOOKING FOR SPONSORSHIP
Hi!
I am a girl aged 32years. Im looking for someone to sponsor me in buchelor of science in nursing in academic year 2010/2011 in St Johns University of dodoma in Tanzania. Curently im working at mafiga Health Centre in Morogoro Municipal.
Thank you in advance if my request will be cocidered positively. my email is Thu, 28 Jan 2010 04:11 PST
LOOKING FOR SPONSORSHIP
Hi!
I am a girl aged 32years. Im looking for someone to sponsor me in buchelor of science in nursing in academic year 2010/2011 in St Johns University of dodoma in Tanzania. Curently im working at mafiga Health Centre in Morogoro Municipal.
Thank you in advance if my request will be cocidered positively.
Sat, 23 Jan 2010 01:40 PST

LOOKING FOR A SPONSORSHIP
I am a teacher hereat Pemba isle.I am a graduate from the state univrsity of Zanzibar. I would like to ask for a sponsorship from any recognised internal or foreign agency/institution,embassy or individual
person(s) who has potential and kind-herarted so that i can improve the standard of my education. Educating a girl is to build the stable future of African society and the world at large. Thu, 21 Jan 2010 23:31 PST

Re; SPONSORSHIP FOR MASTERS INTERNATIONAL HORTICULTURE
I re quest the Embassy to finance my studies at Hasden Bosch university for Msc.course.I m the employee of Rufiji-District council as Crop officer.
Thu, 21 Jan 2010 08:39 PST
SPONSORSHIP FOR MASTERS
Iam a Tanzanian girl aged 26,am lookina for sponsership for joining LLM,in accademic year 2010,currently aim taking school of law hosted by UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM.My E mail is Wed, 20 Jan 2010 03:06 PST

SPONSORSHIP/SCHOLARSHIP
I am Tanzanian ageg 39,I am looking sponsorship/scholar ship for joining pre phd in finance and economics in accademic year 2010/11. For the time being Iam on the way for completion my master degree at university of strathclide uk in colaboration with IFM Dar-es-salaam Tanzania.

ZANZIBAR-TANZANIA
Mon, 18 Jan 2010 03:29 PST
REQUEST FOR MASTER SCHOLARSHIP
I'm a Graduate General science Majoring Microbiology and Zoology , sincerely i would request to be considered for chances that will given out by your Embassy. I'm interested in Masters of any Health issues such as Medical Microbiology, Parasitology,Biotechnology and Environmental issues. My email is
 
Sio vitu vya kuchekesha bali vinahuzunisha....lakini statement hiyo hapo chini gave me a big lough kwakweli......!

I fail to get loan from loan board. I tried my best to insure my present at university in this accademic year but i face difficult life for tuition fee, meals and stationary expenses.
 
Sasa what can we do to help Carmel?? Mfumo wenyewe ndo unavyotukuza hivi kwa kweli tuna njia ndefu sana mpaka tufike huko tunakotegemea. kama ulivyosema EAC ndo hivyo wenzetu wako competent basi tabu tupu. Hizo scholarship duuh sijui mmmh lakini inasikitisha
 
Huwa nashangaa sana watu wanaosema ati tufanye Kiswahili kiwe lugha ya kufundishia mpaka chuo kikuu!

Vichekesho!

Kuna mtu aliwahi kuniambia kwamba wanafunzi wetu wanafeli mitihani kwa sababu wakati wa paper, mtu anakuwa anatahiniwa masomo mawili kwa pamoja (somo lenyewe, say History na English pia)
 
Ninafanya kazi na Wakenya. Ni weupe kichizi kwenye utendaji ila tu, 'lugha' inapanda na ujanja ujanja mwiiiiiingi!

Watanzania kwenye hizi interview, tena mara nyingi 'telephone interviews', ukianza kujiuma uma tu, wanapiga chini hata kama vitu unaweza
 
Sijui tuwasaidiaje!!!!!!!!!!!!!
"For the time being Iam on the way for completion my master degree
I tried my best to insure my present at university in this accademic year but i face difficult life for tuition fee, meals and stationary expenses.I lost both my parents so i have no one to help in my studies"
 
Sio vitu vya kuchekesha bali vinahuzunisha....lakini statement hiyo hapo chini gave me a big lough kwakweli......!
That is what i am talking about. namna hii tutafika, a whole graduate?
 
Huwa nashangaa sana watu wanaosema ati tufanye Kiswahili kiwe lugha ya kufundishia mpaka chuo kikuu!

Vichekesho!

Kuna mtu aliwahi kuniambia kwamba wanafunzi wetu wanafeli mitihani kwa sababu wakati wa paper, mtu anakuwa anatahiniwa masomo mawili kwa pamoja (somo lenyewe, say History na English pia)

Hata mimi nafanya na majority wakenya hapa, si kweli kwamba ni wazuri sana ila wanachotuzidi wabomgo wengi ni kuchonga lugha at least kuji express. sasa kwenye interview unaenda unaanza kuongea hivi hata kama unajua kazi sana who will be interested? how will they know? Unakuwa umewakatisha tamaa ya kukuajiri eti.
 
Sasa what can we do to help Carmel?? Mfumo wenyewe ndo unavyotukuza hivi kwa kweli tuna njia ndefu sana mpaka tufike huko tunakotegemea. kama ulivyosema EAC ndo hivyo wenzetu wako competent basi tabu tupu. Hizo scholarship duuh sijui mmmh lakini inasikitisha

Hebu kwa wale wazazi na wanaotegemea kuwa wazazi tujitahidi tuwapatie watoto wetu elimu iliyo bora, i mean foundation jamani. hata kama ukizaa watoto wawili au mmoja ili mradi uwe na uwezo wa kumpa best education, sio kuzaa kama umefunguliwa halafu wote wanaishia kayumba primary ambako walimu ni form four failure, kiingreza chenyewe hawakijui, mshahara kiduchu na motivation zero. Na serikali yenu ndo hivyo tena haina mpango wa kuliangalia kwa undani swala hili. Inauma na inatia huruma kwa kweli.
 
Hi!
I am a girl aged 32years. Im looking for someone to sponsor me in buchelor of science in nursing in academic year 2010/2011 in St Johns University of dodoma in Tanzania. Curently im working at mafiga Health Centre in Morogoro Municipal.
Thank you in advance if my request will be cocidered positively.
RUKIA ABDALLA

Na anayewaambia they are still girls at 32 ni nani?
 
Inagwa English sio lugha yetu, lakini makosa mengine ni uzembe na haraka tu - yaani watu hawana muda kabisa wa kucheck spelling! Yaani tunakuwa na haraka haraka tuuuuu katika kila jambo

Kwanini mtu hata asifungue new MS word page na kuandika anachotaka kuandika? huwa inafanya correction ya spelling na hata gramma kama haijatulia. Baada ya hapo, unacopy kitu kilichokamilika (japo spelling) na kupaste kule.

I hope baadhi wapo hapa wanasoma comments za watu
 
Hi!
I am a girl aged 32years.
Na anayewaambia they are still girls at 32 ni nani?
Hii yote ni shida ya Madesa yaani wanafunzi wa siku izi hawataki kabsaa kusumbua vichwa.....yani hata izi inaonekana walifungua website wakakuta wakadesa....!! Dah ila Kimombo ni Ishu....
 
Hi!
I am a girl aged 32years. Im looking for someone to sponsor me in buchelor of science in nursing in academic year 2010/2011 in St Johns University of dodoma in Tanzania. Curently im working at mafiga Health Centre in Morogoro Municipal.
Thank you in advance if my request will be cocidered positively.
RUKIA ABDALLA

Na anayewaambia they are still girls at 32 ni nani?

buchelor?????

huu kweli mwaka mpya.....

ha ha ha
 
dah inasikitisha saana

Yote haya naona ni uzembe wa mtu binafsi, through internet mtu anaweza jifunza namna nzuri ya kuandika barua, inasikitisha na kinachouma zaidi sijui kama wahusika wanatambua kwamba walivyoandika sio sahihi. Wakuwalaumu wa kwanza ni walimu wao, naamini university nyingi wana somo la communication skills, je hao walimu wametimiza wajibu wao????

kweli safari ni ndefu tena saana kwetu sisi Watanzania, kuna watu nabishana nao kila siku kwamba Wakenya wako mbele saana ila wananiona mimi sio mzalendo,tujiulize nini nafasi yangu na wewe kusaidia katika hili?????
 
Ni uvivu tu wa kufikiri na kujituma!! Yaani kama kweli mtu upo serious huwezi andika upupu huu!! kwenye net yaani Google kila kitu kipo hata 'sample letters' wanatoa...
 
Ninafanya kazi na Wakenya. Ni weupe kichizi kwenye utendaji ila tu, 'lugha' inapanda na ujanja ujanja mwiiiiiingi!

Watanzania kwenye hizi interview, tena mara nyingi 'telephone interviews', ukianza kujiuma uma tu, wanapiga chini hata kama vitu unaweza

mama sinyorita...sio tu wakenya...hata hawa wenye ngozi nyeupe..vitu technical nao weupe..nilikuwa nafanya na waswededn flani hivi ...mzee ni noma ...madude hayapandi...mpaka wanatia huruma...

anyway lugha nayo issue...hata mie kwakweli najitahidi hivyohivyo kuangalia senema za kizungu na kusoma magazeti na ka-dictionary kangu ... kisha nafanya mazoezi ya kuongea na mtoto..si unajua hata ukikosea kutamka mtoto hajui.....sema nipo fresh sana kwenye lugha ya kuongea nikiwa bwax...yani hata sijui inakuwaje naongea kama mtoto wa nje ya ndoa (aka mother alijipindua na mzungu..eteteteehehehehe)

ni maoni tuuu...finito
 
Carmel mamii hebu kwanza niambie, hayo ndo maombi full au part of it??

namna hii na hii jumuiya sijui tutasurvive??

lakini hapa nani hasa alaumiwe???
 
i can see u do care hapo kwenye bold!!! hivi mpaka unafikia kutaka kusoma masters na lugha haipandi kwa nini usichukua juhudi binafsi basi ujiendeleze?? hata tukikaa kulaumu mfumo wetu wa elimu sijui kama tutatua hata ncha ya tatizo!!!

wezetu hao tunaosema ni weupe (of which is so true) ona wanavyotutesa kwenye soko la ajira only b'coz they can express themselves effectively!!
sisi na 'ukali' wetu kwenye fani tunatupwa nje!!!!
 
pro-kiswahili hapa wamepata hoja ya kusimamia mf. akina Companero na wenzake
 
Carmel mamii hebu kwanza niambie, hayo ndo maombi full au part of it??

namna hii na hii jumuiya sijui tutasurvive??

lakini hapa nani hasa alaumiwe???
Ivi Shule za kata wazijua wewe? hapa mi naona pande zote ni dhaifu tu...mwombaji pamoja na system ya elimu yetu!!
 
Back
Top Bottom