Tafuta hawara.....itakusaidia niamini.....
MasturDating... that's the word! yaani ndio mimi kabisaaaa. Spending all my time with me and enjoying it sana tu.
Well, I am not like the crazy scientist na katika hali ya kawaida I am a very social person. Tatizo linakuja sababu ya kukosa usingizi. I become moody and kitu hata cha kawaida kinanikera kupita maelezo! So because I am so susceptible and get easily offended, it is better nijichimbie tu.
No, sio tatizo langu. Kwa sasa tumbo liko fine... asante, na pole kwa kukosa usingizi ukipata gas.mkuu jaribu kucheki kama unasumbuliwa na gesi tumboni maana mimi nikipata gesi tumboni hata nifanye mazoezi gani sipati hata tone la usingizi.
I have a Zumba kit, ngoja nianze hapo. watu wengi wamesema kuhusu mazoezi so...Dance class will do..mida ya jioni hivi ufanye zumba, bellydance, hula etc.. Nafanya thrice a week kwa lisaa limoja kila section, nikitoka hapo ni kuoga, kula na kulala fo fo fo..! Nafasi inaweza kuwa ngumu ila jaribu kutenga muda.
Pole sana! na upate suluhisho la tatizo lako mapema RR..!
Well, nikianza nitaacha...Acha kuchanganya red bull na Viroba
Sasa mkuu, hawara atasaidia vipi? Na kwa nini mume wangu asinisaidii? fafanua kidogo maana naona ni option that hasn't been explored...Tafuta hawara.....itakusaidia niamini.....
I'll try. I am not a very social person hata kawaida yangu, I don't have any pleasure participating in social gathering and I feel slightly anxious watu wakiwa wengi sana... sasa hili tatizo limekuja kuongeza tu what was there before...Hahaha, u shldnt let it control you. I get moody in rainy days and since I knew its easy. I stop myself before it is too late, I hold my tongue and see only good in others kwa makusudi!
Well, exercise. But I'd rather u go to the gym than lock urself in. I have the crazy habit of loving my time alone, but I try not to overdo it.
Point taken. Sina uhakika kama nitaufanyia kazi but asante kwa ushahuri...Kula sana Muhogo. This is not a joke. Namaanisha muhogo na si hogo, ingawa nakukosa hogo kwa uhakika wake inachangia sana kukunyima unapoukosa wa kukushibisha.
Kula Muhogo na hogo kwa wingi.
Miss Judith, nimesoma mara tatu lakini sijaelewa... mahitaji yangu ndio yananinyima usingizi?mpendwa RR,
mwanadamu ni social animal! ana sehemu 2 kubwa. moja ni member of his/her society na ya pili ni living animal! kwa kawaida, binadamu huwa ana mahitaji fulani na kwa kiwango fulani tu. akizidisha kiwango, huzidiwa na kuchoka, akipungukiwa huhitaji na kutamani!
klatika maisha tunayoishi katika dunia hii, kuna watu ambao naturally hawakupaswa kufahamu kuwa wametoshelezwa walichohitaji na kuna wengine hawakupaswa kujua kuwa wameopungukiwa walichostahili! halikadhalika kuna ambao naturally hawakupaswa kujua kuwa wamehitaji pungufu ya walichostahili na hata wamekistahili pungufu ya walichokirimiwa/walichopewa. hayo ndiyo maisha mpendwa! kwa kuwa umesema umeolewa, nakutoa kwenye kundi la mabinti na nakuweka kwenye kundi la wamama (kama nimekosea ni-PM kwa ufafanuzi zaidi).
ila nimebanwa kidogo na kuitu fulani hapa kwa sasa, nitakujia baadaye kwa ushauri zaidi. tafadhari niwie radhi.
ubarikiwe sana mpendwa
Glory to God!
Hili nalo neno....hebu pia jichunguze mambo yako as a woman right?
You could be having perimenopause symptoms.Dont panic -some women start going through perimenopause and even menopause in their thirties.So if you are in that age category, you might visit your gyn and check your hormonal levels.The imbalance of estrogen and progesterone during perimenopause contributes to insomnia.
I just thought you should also consider this factor along with other factors and try remedies that are appropriate.Pole!
Ok, najua ni JF ndiyo source, haipiti siku bila kuchungulia, ukipumzika kidogo unawaza JF, then unachukua kalaptop chako unakata 3 hrs, ukitoka kidogo unakumbuka Mamdenyi unarudi tena JF...unakutana na The Boss na uzi wake...so mi nadhani You need to tatal shutdown of ya PC/Lap(hapa haijalishi wewe ni MOD au la, pls do it) then jishughulishe na michezo like Pulltable au anything kwa mazingira yako then watch out within some weeks, dawa hazitakusaidia coz JF imekuharibu sana.
Mi mwenyewe nilipata hili tatizo nikaachana na JF nikapona kabisa. By the way pole na upone haraka.
My Regard!!