Tatizo langu limerudi

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,579
5,375
Salam,

Mwaka jana niliomba ushauri kwa tatizo la kukosa uzingizi. Watu wengi walinipa advice na mwishowe nikaupata. In fact nilipewa dawa ya kunywa kwa kusaidia hali yangu ya kawaida kurudi. Within 3 weeks nikaacha dawa na tatizo likawa limeisha. (Link)

Sasa since September last year tatizo limerudi. Sio ghafla, nimeanza kupoteza saa moja, then saa mbili, then saa tatu za usingizi; hadi sasa hivi nalala 3 to 4 hours kwa 24hs... Miezi tano and getting worse.

Kawaida yangu nahitaji 7-8 hours ya usingizi kwa kufunction properly.
Just like last year tatizo la kukosa usingizi limeleta irritability, na limenisababisha kuwithdraw from social life kabisa (almost 90%).

My performance is affected pia... Nikienda kwa daktari napewa dawa.

Nimejaribu dawa zimekataa, nimejaribu meditation, walking, maziwa, asali, biringanya, mchanganyiko wa hivyo vyakula vyote nil.

Nimejifungia in my room hadi usingizi upatikane haukupatikana.

Sasa sijui nifanye nini.

Naomba walio kutana na shida hii (binafsi au kwa watu wao) wanambie walicho jaribu, maybe it could work for me.
 
Kwa kuwa sayansi ya dawa imekataa, kuna uwezekano unasumbuliwa na sayansi ya saikolojia. jaribu kuwaona washauri nasaha. labda kuna sehemu ya akili, imeathiriwa na kitu fulani na kuathiri saikolojia. wanaweza kukusaidia
 
Usinipige ban,nakushauri kimbia baharini halafu mwambie shem anywe hata mchuzi wa pweza na matikiti maji akuchezeshe dushelele la masaa matatu hivi,then utaniambia utachelewa asubuhi mzigoni mwambie jirani akuamshe ikifika saa kumi na mbili asubuhi otherwise utakuja stuka saa nne asubuhi fanya hivyo kwa wiki nzima then acha utaendelea kupata usingizi mzito,acha kula kahawa na vinywaji vya cola mida ya usiku,jitahidi kuuchosha ub ongo b4 kulala.soma novel zenye vingereza vigumu etc
 
Sasa we Mfalme hiyo ban si unaomba mwenyewe! nani kakuambia kuwa anayeomba msaada ni mwanamke?!?
 
Ok, najua ni JF ndiyo source, haipiti siku bila kuchungulia, ukipumzika kidogo unawaza JF, then unachukua kalaptop chako unakata 3 hrs, ukitoka kidogo unakumbuka Mamdenyi unarudi tena JF...unakutana na The Boss na uzi wake...so mi nadhani You need to tatal shutdown of ya PC/Lap(hapa haijalishi wewe ni MOD au la, pls do it) then jishughulishe na michezo like Pulltable au anything kwa mazingira yako then watch out within some weeks, dawa hazitakusaidia coz JF imekuharibu sana.

Mi mwenyewe nilipata hili tatizo nikaachana na JF nikapona kabisa. By the way pole na upone haraka.

My Regard!!
 
Kwa kuwa sayansi ya dawa imekataa, kuna uwezekano unasumbuliwa na sayansi ya saikolojia. jaribu kuwaona washauri nasaha. labda kuna sehemu ya akili, imeathiriwa na kitu fulani na kuathiri saikolojia. wanaweza kukusaidia
It could be. Ila niliongea na dada fulani ambae anaujuzi kidogo and she was not worried. Ngona nijaribu lakini maana 5 month is just too much.
 
Usinipige ban,nakushauri kimbia baharini halafu mwambie shem anywe hata mchuzi wa pweza na matikiti maji akuchezeshe dushelele la masaa matatu hivi,then utaniambia utachelewa asubuhi mzigoni mwambie jirani akuamshe ikifika saa kumi na mbili asubuhi otherwise utakuja stuka saa nne asubuhi fanya hivyo kwa wiki nzima then acha utaendelea kupata usingizi mzito,acha kula kahawa na vinywaji vya cola mida ya usiku,jitahidi kuuchosha ub ongo b4 kulala.soma novel zenye vingereza vigumu etc
Kawaida yangu hua sinywi cofe, tea wala soda... Maisha yangu yalivyo, kila siku lazima nisome na niandike sana. Hata usiku nisipo lala inabidi niendelee kwa kusoma tu hivyo vitabu vya kiingereza kigumu.
Hiyo advice yako ya hapo juu nadhani itakua ngumu kidogo... but asante anyway.
 
Weka computer mbali na wewe ikikaribia mida ya kwenda kulala . Soma bibilia kama we ni mkristo alafu sali , utalala vizuri mno .
 
Pole RR!
Kwa anga hizi sina utaalamu sana, lakini vilevile utumiaji wa madawa kama piritone si mazoea mazuri...nakushauru fanya njia nyingine lakini si kumeza madawa ya kukupa usingizi wa siku moja, then next night uko back to square one
 
Ok, najua ni JF ndiyo source, haipiti siku bila kuchungulia, ukipumzika kidogo unawaza JF, then unachukua kalaptop chako unakata 3 hrs, ukitoka kidogo unakumbuka Mamdenyi unarudi tena JF...unakutana na The Boss na uzi wake...so mi nadhani You need to tatal shutdown of ya PC/Lap(hapa haijalishi wewe ni MOD au la, pls do it) then jishughulishe na michezo like Pulltable au anything kwa mazingira yako then watch out within some weeks, dawa hazitakusaidia coz JF imekuharibu sana.

Mi mwenyewe nilipata hili tatizo nikaachana na JF nikapona kabisa. By the way pole na upone haraka.

My Regard!!
Asante Sinziga... sidhani kama ni JF b'cause at times nakaa sana bila kuingia majukwaani huku (nakaa kumoderate peke yake) na bado ninaendelea kukosa usingizi...
 
Weka computer mbali na wewe ikikaribia mida ya kwenda kulala . Soma bibilia kama we ni mkristo alafu sali , utalala vizuri mno .
Sio rahisi sababu nimesha jitoa kabisa katika community. Siwezi kukaa na watu bila kukereka. Sasa mtandao umekua ni sehem ya kukutana na watu wa mbali ambao so long as naamua wakati wa kuwasoma na kuwanyamazia hakuna shida. Kukaa mbali na mtandao maana yake kujikata sasa 100% from the world... Usiku mida ya kulala situmii comp, ila inakua tu karibu yangu nikiangalia movie, nikisikiliza mziki au hata nisopi fanya chochote, niione tu.

Pole RR!
Kwa anga hizi sina utaalamu sana, lakini vilevile utumiaji wa madawa kama piritone si mazoea mazuri...nakushauru fanya njia nyingine lakini si kumeza madawa ya kukupa usingizi wa siku moja, then next night uko back to square one
Of course. Na ndio kilicho nifanya niache kumeza dawa. kwanza hata usingizi unao upata ni kama unazimika tu but haupumziki, unaamka so tired! nimeacha dawa.
 
Soma Ushauri wa King Kong III
Kingine penda kufanya mazoezi ya mwili, kama jogging na kunywa maji mengi kabla hujalala. Water therapy can help you a lot
Ushahuri wa King Kong III??? haya bwana. :lol:
Nitajaribu pia maji. naogopa risk ya kuamka tena.. naweza kupata usingizi ila usiku kati niamke kwenda chooni.
 
Go Herbal RR.

Kama unaweza kupata majani ya tunda la Passion.

1. Kata majani kiasi cha kujaa kiganja (fungo la mkono) wako. Chukua yale mateke kiasi ambayo ni ya kijani kibichi zaidi. Yaoshe vizuri
2. Yachemshe kwa muda wa dkk 10 ktk maji lita moja, utapata some sort of delicious green tea
3. Chuja kwa kitambaa safi, yapite maji tu.
4. kunywa kikombe cha chai asubuhi kimoja na jioni kimoja. Kamwe usinywe mchana wkt jua linawaka kwani utajikuta umekuwa mchovu as if umekunywa dawa za kikohozi zenye sedatives.

Hii sio kwa Insomnia tu, inatibu pia anxiety na nervousness kama itatumiwa kwa muda mrefu.

Usiweke sukari tafadhali. Sina hakika ya nini kitatokea kama utaweka. Isije ikawa mchanganyiko wake una shida, nikushauri ufanye vile nilivyotumia mimi. Naamini ndani ya wiki ya kwanza utaona mabadiliko, unless kichwa chako kiwe kimeharibiwa na pombe za muda mrefu
 
Pole sana RR, kwa sasa ni kwamba akili yako umeishaijengea woga wa kukosa usingizi kwa hiyo hata unapoenda kulaa unaanza kuanza kuwaza kama leo utapata usingizi. Hii itakufanya ukose usingizi kila siku.
Jaribu kuifanya akili yako isiwe na mawazo hayo then chagua mda maalumu wa kupanda kitandani na kama una radio weka nyimbo za taratibu za kukuchombeza utajikuta mawazo yanaondoka na usingizi unakuja
 
Back
Top Bottom