Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

na kama si ugonjwa huo???

Ugonjwa unaitwa Trichomoniasis( TV), aende hospitali.

wengine wanasema siki inasaidia kutibu gonjwa hilo kama kweli ndilo (isiwe imetiwa pilipili mtoto wa watu akatiwa majirani wakaona viroja)
 
dada huko kuna ulinzi wake kwa asilia usisikilize mafunzo ya unyagoni eti kuingiza kidole huko...ongea na wataalamu watakwambia madhara mengi mnayaata wanawake siku hizi ni kutokana na doutche hiyo.kama unataka kuna vifaa maaaalum vya kusafishia huko but sio kidole.

Wewe Joy hakuna cha vifaa maalum zaidi ya kidole, hivyo vifaa unatembea navyo barabarni? hawa wazungu wanatudanganya na doutche doutche ndio maana baadhi ya dada zetu hawaishi kutoa uvundo- kwani kinachozungumziwa ni uvundo na sio harufu ya kwaida ya 'K' ambayo kwa kweli ni romantic ukijaliwa kukutana nayo. Bro uliyeleta mada mwambie demu wako afuate ushauri wa Rose hayo matatizo yataisha.
 
Aende maabara hata hapo uswazi akapime mkojo,aulize majibu kama ni TV BASI ATUMIE

1:Flagyl 2 x 3 siku 5
2:Fluconazol 150mg x 1
3:Doxycycline 100mg(1 x 2) siku 5

N:B Ni vyema wakatumia wote wawili kuepuka Re-infection ikiwa wata du bila kinga TEHE TEHE.......
 
pole, kaka huyo dada ni mchafu au akupata mafunzo namna ya kujisafisha kwa kawaida mwanamke anatoa majimaji meupe kwenye uke wake hivyo inatakiwa kila wakati wa kuoga aingize kidole chake cha kati na kupakua kwani huwa ni mzito kama maziwa mgando unapojisafisha vizuri kunakuwa kukavu kabisaa, msaidie kwa kumuelekeza kwani ukikaa kimya kuna maradhi utayapata nawe pia, na imani huyo dada huwa anaenda kumuona dkt kila mara kwa kuwashwa ukeni akipata dawa inaacha mara moja, ila kwa kweli dawa ni kujisafisha kila anapoingia kuoga au hata anapojisaidia haja ndogo. na wakati anapokuwa katika siku zake ajaribu pia kusafisha kwa kuingiza kidole chake ataona mgando wa damu ukitoka. chupi zinaharibika badala ya kuwa nyeupe zinakuwa cream.
Good teacher...hongera sana, karibu krismas nyumbani kwangu...!!
 
Aende maabara hata hapo uswazi akapime mkojo,aulize majibu kama ni TV BASI ATUMIE

1:Flagyl 2 x 3 siku 5
2:Fluconazol 150mg x 1
3:Doxycycline 100mg(1 x 2) siku 5

N:B Ni vyema wakatumia wote wawili kuepuka Re-infection ikiwa wata du bila kinga TEHE TEHE.......
Du! unamwandikia dawa bila hata ya kumpima! Na hizo dawa mbona haziendani na ugonjwa husika?
 
Wewe Joy hakuna cha vifaa maalum zaidi ya kidole, hivyo vifaa unatembea navyo barabarni? hawa wazungu wanatudanganya na doutche doutche ndio maana baadhi ya dada zetu hawaishi kutoa uvundo- kwani kinachozungumziwa ni uvundo na sio harufu ya kwaida ya 'K' ambayo kwa kweli ni romantic ukijaliwa kukutana nayo. Bro uliyeleta mada mwambie demu wako afuate ushauri wa Rose hayo matatizo yataisha.

nani alikuambia uchafu huwa unajikusanya ndani ya uke???uchafu unatoka wenyewe...na hata ukiingiza kidole ukautoa..haimaanishi UTAISHA..sababu wenyewe unatoka kwa kiasi continuosly...-na kwamaumbile yetu unatoka wenyewe, sio kwamba ukisafisha asubuhi basi jioni hautaukuta ...utaukuta sana kwenye chupi- so sioni mantiki ya kuingiza vidole wewe bro uliyeleta mada mpeleke mkeo hospitali-uchafu tunaoutoa hauniki,ukinuka ni sign ya serious INFECTION!!!....period.
 
Dogo pole sana. HIYO NI ISHU NDOGO SANA USIMWACHE GF WAKO.
Hiyo ni vargina fungus...Hua inasababishwa either na mchubuko wakati wa mapenzi kwa kutumia kondom then kama gf wako anaishi au siyo mwangalifu wa kutumia vyoo salama hua fungus huingia ndani ya uke na kujijenga. Sana sana vyoo vya uswahili vya kushea ndo husababisha hayo.
sitaki kukueleza mengi ila fanya hivi.
Nenda phamarcy yoyote kubwa wwaelezee hilo tatizo watakupa vidongo vya kumeza na vingine viko kama pipi hivyo atakua anavizukumiza kwenye uke baada ya kuoga then vitapasukia huko ndani. Ukitaka kuamini kwa muda atakaokua anatumia hizo dawa yatakua yanatoka ma utoko meupe mengi sana then baada ya kama week hivi yatakoma.
After that atakua amepona kabisa....ILA MWAMBIE ASIPENDE KUKKOJOA KOJOA OVYO KWENYE VYOO VYA USWAHILINI MAANA hua wanachuchuma na bacteria wanarukia huko.
Usimlaumu gf wako kabisa wala siyo tatizo lake ni hali ya uchumi mbaya so lazima aishi uswazi....Unaweza kumwacha ukaruka fungus ukaenda kukutana na ukimwi.
ALL THE BEST DOGO.
 
nani alikuambia uchafu huwa unajikusanya ndani ya uke???uchafu unatoka wenyewe...na hata ukiingiza kidole ukautoa..haimaanishi UTAISHA..sababu wenyewe unatoka kwa kiasi continuosly...-na kwamaumbile yetu unatoka wenyewe, sio kwamba ukisafisha asubuhi basi jioni hautaukuta ...utaukuta sana kwenye chupi- so sioni mantiki ya kuingiza vidole wewe bro uliyeleta mada mpeleke mkeo hospitali-uchafu tunaoutoa hauniki,ukinuka ni sign ya serious INFECTION!!!....period.

Rose ndugu yangu uchafu unaosema wewe unjatoka continously ni ule wa kawaida ambao kwa kweli unaleta ile harufu ya asili ya uke, huu sina tatizo nao kwani kama wengi wa wadau walivyosema humu ndani hauna tatizo na wengi hupenda tuisikiapo harufu hiyo-lakini endapo utatoka kupiga gemu, jamaa ametemea ndani ukitoka na kusubiri uchi ujisafishe wenyewe ndugu yangu lazima uvundo utokee. Sikatai suala la INFECTION pia inawezekana ni chanzo, endapo atasafisha kwa kidole na harufu ikaendelea basi aende hospitali; ni aibu iliyoje kwenda hospitali na daktari kukwambia tatizo lako ni hujui kutawadha!!!
 
Jamani mwaka huu nina balaa tupu! dont know what to do! ni hivi: Kiukweli nina demu wangu mzuuuri tu kimuonekano(appearance) ila kila nikikutana nae kwenye kale kamchezo huwa naboeka kinoma!! mzigo wake huwa unatoa harufu kinoma!

mara ya kwanza kukutana nae nilifikiri maybe ni uchafu wake wa kawaida na endapo akijipiga mausafi mambo yatakuwa mazuri! lakini mambo kila siku muda unavyokwenda harufu ni ile ile na kabla ya ku-sex huwa naenda nae bafuni kuoga. lakini 2kishaingia kwenye game mambo yanaharibika mpaka mwenyew huwa nakosa hta hamu ya kuendelea na game! nshafikiria nim2pe kule lakini kiukweli nampenda sana na yeye ananipenda sana!!

wadau naombeni msaada kuhusu jambo hili! je huwa linasababishwa na nini? na ipi ni tiba?
 
nendeni mkaonane na madaktari bingwa kwa msaada zaidi...!ooooooops kumbe ni dem wako...utajibeba..!

no doubt keshatoa mimba kibao ndo maan ahata we uko nae sasa ivi
 
mwambie awe anajipiga uturi kitu cha fahari ya znzbr au ajifukize down town
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom