Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Habarini wakuu popote mlipo.

Tukiachana na urembo walionao wanawake hasa wa kisasa kutokana na teknolojia na mambo mengine lakini kuna vitu vingine ambavyo unaweza kukutana navyo na ukaona kuwa urembo sio kitu ila kitu ni ile mali aliyonayo mrembo husika.

Twende kwenye mada sasa..

Ni kwamba ilikuwa mwaka 2010 nilipokutana na mtoto mrembo ambaye alifanikiwa kuuteka moyo wangu kwa kiasi kikubwa na kusababisha nianze kutangaza nia kwa kasi ya ajabu.

Miezi 3 baadae baada ya mgomo baridi nikafanikiwa kulipata hilo jimbo.
Kwa kweli nilifurahi sana na kujiona ni wa pekee katika uso wa hii dunia.
Tukapanga mikakati ya kufunga hadi pingu za maisha.

Sasa siku ya kwanza kula tunda nilisikia harufu kali na nzito sana ikiambatana na vitu vyeupe vikitoka sehemu zake za G spot. Nikamuuliza baby vp mbona hivi akaniambia mi kawaida wala usijali yataisha.

Lakini wakuu huyu mtoto mpaka leo bado ana tatizo hili na mm nimempenda toka moyoni na ninampango wa kumuoa kwa sababu anatabia njema na ndugu zangu wamemkubali.

Naombeni ushauri kama kuna uwezekano wa kupata tiba au hata njia za asili ili mke wangu huyu mtarajiwa aweze kupona na mm niweze kufurahia tunda lake vizuri.

Natanguliza shukrani.
 
Habarini wakuu popote mlipo.
Tukiachana na urembo walionao wanawake hasa wa kisasa kutokana na teknolojia na mambo mengine lakini kuna vitu vingine ambavyo unaweza kukutana navyo na ukaona kuwa urembo sio kitu ila kitu ni ile mali aliyonayo mrembo husika.
Twende kwenye mada sasa,
Ni kwamba ilikuwa mwaka 2010 nilipokutana na mtoto mrembo ambaye alifanikiwa kuuteka moyo wangu kwa kiasi kikubwa na kusababisha nianze kutangaza nia kwa kasi ya ajabu.
Miezi 3 baadae baada ya mgomo baridi nikafanikiwa kulipata hilo jimbo.
Kwakweli nilifurahi sana na kujiona ni wa pekee katika uso wa hii dunia.
Tukapanga mikakati ya kufunga hadi pingu za maisha.
Sasa siku ya kwanza kula tunda nilisikia harufu kali na nzito sana ikiambatana na vitu vyeupe vikitoka sehemu zake za G spot.
Nikamuuliza baby vp mbona hivi akaniambia mi kawaida wala usijali yataisha.
Lakini wakuu huyu mtoto mpaka leo bado ana tatizo hili na mm nimempenda toka moyoni na ninampango wa kumuoa kwa sababu anatabia njema na ndugu zangu wamemkubali.
Naombeni ushauri kama kuna uwezekano wa kupata tiba au hata njia za asili ili mke wangu huyu mtarajiwa aweze kupona na mm niweze kufurahia tunda lake vizuri.
Natanguliza shukrani.

really-nigga-please.jpg
 
Tatizo wanawake wengi hawajisafishi vilivyo kwenye k zao sijui ni uvivu hata sielewi.halafu cha kujiuliza hiyo harufu huwa hawanusi ama maksudi?
 
Ilinitokea pia..yaani demu bomba kinyama! Niliapa kumuoa walahi,sasa siku ananipa puchi sitaisahau
Ile namaliza gemu..ilitoka harufu hiyoo na bado alitaka nizame chumvini..!
Tumebaki marafiki tu.
 
Umesema kila kitu usafi usafi hamna jingine....angekua anaumwa huyo hata mkiduu angekua anapata maumivu ...ila ni mchafu tu
 
Wataalam wa afya zetu wapo kwa ajili ya kututatulia matatizo kama hili la mkeo mtarajiwa.
 
Ilinitokea pia..yaani demu bomba kinyama! Niliapa kumuoa walahi,sasa siku ananipa puchi sitaisahau
Ile namaliza gemu..ilitoka harufu hiyoo na bado alitaka nizame chumvini..!
Tumebaki marafiki tu.
Asee..... Mbona ulimkatili kiasi hicho?
 
Aende hospital.Ajisafishe vizuri kutwa mara tatu au zaidi.Pia anywe maji mengi na matunda kama matikiti kwa siku asikose
 
Huyo aende hospital ukute ana infection na bacteria wameingia Mpaka ndani ya kizazi aende hospital
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom