Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

mmh hadi mate yanajaa mdomoni.
huyo ni mchafu period.mweleze tu ukweli kuwa unasumbuliwa na harufu yake mbaya hivyo ajisafishe.eboo!
 
nyie acheni kuponda ,mshaurini nini cha kufanya alaaaaaaaaaaaaaa . kijana jitaidi kumueleza huyo mpenzi wako ukweli ajitaidi kujisafisha aingize sana kidoke chake ndani ili atoe huo uchafuu ndo mapenzi kuelezana ukweliiii kijana.usifiche ugonjwa.
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii duh pole kaka natamani niongee naye mwenyewe apate darasa la usafi mwambie mpenzi wako ajaribu kuwa msafi katika mwili wake baada ya kuoga vizuri sehemu zake nyeti ajikaushe vizuri na umsaidie kununua rotion nzuri za kunukia taratibu na pefume
Gosh!
 
pole, kaka huyo dada ni mchafu au akupata mafunzo namna ya kujisafisha kwa kawaida mwanamke anatoa majimaji meupe kwenye uke wake hivyo inatakiwa kila wakati wa kuoga aingize kidole chake cha kati na kupakua kwani huwa ni mzito kama maziwa mgando unapojisafisha vizuri kunakuwa kukavu kabisaa, msaidie kwa kumuelekeza kwani ukikaa kimya kuna maradhi utayapata nawe pia, na imani huyo dada huwa anaenda kumuona dkt kila mara kwa kuwashwa ukeni akipata dawa inaacha mara moja, ila kwa kweli dawa ni kujisafisha kila anapoingia kuoga au hata anapojisaidia haja ndogo. Na wakati anapokuwa katika siku zake ajaribu pia kusafisha kwa kuingiza kidole chake ataona mgando wa damu ukitoka. Chupi zinaharibika badala ya kuwa nyeupe zinakuwa cream.

dada huko kuna ulinzi wake kwa asilia usisikilize mafunzo ya unyagoni eti kuingiza kidole huko...ongea na wataalamu watakwambia madhara mengi mnayaata wanawake siku hizi ni kutokana na doutche hiyo.kama unataka kuna vifaa maaaalum vya kusafishia huko but sio kidole.
 
anaweza kuwa na infection pia, amwone daktari na azidishe usafi.......
 
poleni nyote. cha msingi mtafute daktari mwende wote awape ushauri. pia kabla hamjaelekea sita kwa sita mshauri awe anaoga na kujikausha vizuri na pia kujifukiza au kupulzza perfume nzuri isiyo na harufu kali
 
mimi ni kijana,nina mpenzi ,huyu mpenzi wangu kila tunapokutana in bed nakuwa sina hata raha ya tendo kwani uke unatoa harufu mbaya mno..unakuta mnaanza oral sex mkimaliza mkianza kuchojoana ndo tatizo linapoanza..

Nina imani ili tatizo yeye pia analifahamu kwani tukimaliza tendo raund one huwa anakosa raha kabisa nna imani analifahamu tatizo...

Mimi naogopa hata kumuambia maana nahisi atajisikia vibaya..ningependa kujua dawa yake ni ipi? Au hajisafishi vizuri..

pole sana bongemzito,huyo dada sio kwamba aogi vizuri kama wana jamvi wengine walivo jump into conclusion.atakuwa na matatizo kuna infection ambazo zikikutana na mchuzi tu harufu mbaya inaanza kutokea .mshauri mwende kwa daktari wa wanawake atapewa matibabu.
 
Mimi ni kijana,nina mpenzi ,huyu mpenzi wangu kila tunapokutana in bed nakuwa sina hata raha ya tendo kwani uke unatoa harufu mbaya mno..unakuta mnaanza oral sex mkimaliza mkianza kuchojoana ndo tatizo linapoanza..

Nina imani ili tatizo yeye pia analifahamu kwani tukimaliza tendo raund one huwa anakosa raha kabisa nna imani analifahamu tatizo...

Mimi naogopa hata kumuambia maana nahisi atajisikia vibaya..Ningependa kujua dawa yake ni ipi? au hajisafishi vizuri..

yaliyomo yamo
 
Mweleze ukweli kwan huyo c mpenz wako kama kweli unampenda bac msamin kwan kipendacho roho hula nyama mbichi ni hayo muheshimiwa
 
mhhh sikomnet hapa ..nisije nikakutana na maswali kwa mama gaude wangu
 
ehh jaman wewe chakununa usinifanyie ivo..ntakujibu
nipo mbali bwana ....lets mak t 2mrw ma dear mnunaji..
Kitu changu kipo?bla kitu jiandae kwa kinuno!!!!
tutakorofishana sasa hivi...........
 
Kwa hiyo hapa magriit thinkaz mnajadili miharufu ya vikojoleo vya watoto wakati wa michezo ya baba na mama? Siyo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom