Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

kwa msaada zaidi pia mwambie asafishe kwa kutumia maji ya uvuguvugu atie chunvi kidogo na ndimu au delto aingize vidole hadi ndani ikiwezekana alale chali umsafishe mwenyewe ila atanue miguu ili uweze kusafisha kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Ndugu,Mungu ameumba natural system ya kujisafisha kwa mwili wenyewe.Douching,tena na kuongezea vitu kama sabuni,detol na chumvi ndio source hasa ya discharge nyingi kuliko kawaida manake inaondoa balance ya pH inayotakiwa. Anawe mara kwa mara na maji na sabuni,kama inaendelea amuone dr as anaweza kuwa na ugonjwa.Pole,lakini hongera kwa kulichukulia kama ni tatizo lenu kwa pamoja,unaonesha kujali.
 
Vaginal Odor(smell)-Often desribed as "fishy" smell usually results from overgrowth of organisms normally present in the vagina.

Vaginal odor may be more noticiable after sexual intercourse. Other signs and symptoms that can accompany vaginal odor include vaginal itching or irritation and vaginal discharge.

Bacterial Vaginosis or bacterial overgrowth is the most common cause of vaginal odor. Some sexual transmitted diseases may cause vaginal odor. Much less commonly vaginal odor can be caused by a retained or forgotten tampon; vaginal odor may also result from rectovaginal fistula (an abnormal opening between the rectum and vagina) which allows feces to leak into the vagina.

If your wife has persistent vaginal odor take her to see the doctor(gynecologist).

In the meantime to minimize the vaginal odor:

  • Your wife must wash her external genital area during regular baths or showers use a very small amount of mild unscented soap and lots of warm(not hot) water.
  • She must avoid douching. All healthy vaginas contains some bacteria and other organisms. The normal acidity of the vagina keeps bacteria and yeast in check.But douching can actually upset the delicate balance.
  • She must also avoid eating too much spicy food such as curry can sometimes also affect the smell of her vagina.
 
Mimi ni kijana,nina mpenzi ,huyu mpenzi wangu kila tunapokutana in bed nakuwa sina hata raha ya tendo kwani uke unatoa harufu mbaya mno..unakuta mnaanza oral sex mkimaliza mkianza kuchojoana ndo tatizo linapoanza..

Nina imani ili tatizo yeye pia analifahamu kwani tukimaliza tendo raund one huwa anakosa raha kabisa nna imani analifahamu tatizo...

Mimi naogopa hata kumuambia maana nahisi atajisikia vibaya..Ningependa kujua dawa yake ni ipi? au hajisafishi vizuri..
 
Tena asikwambie mtu, hicho kiharufu kinaboa kweli!hata kama mchuzi ulikuwa unakaribia kuja unaweza ukarudi ghafla kutokana na hicho kiharufu!
 
Pole,

Kaka, huyo dada ni mchafu au akupata mafunzo namna ya kujisafisha kwa kawaida mwanamke anatoa majimaji meupe kwenye uke wake hivyo inatakiwa kila wakati wa kuoga aingize kidole chake cha kati na kupakua kwani huwa ni mzito kama maziwa mgando unapojisafisha vizuri kunakuwa kukavu kabisa.

Msaidie kwa kumuelekeza kwani ukikaa kimya kuna maradhi utayapata nawe pia, na imani huyo dada huwa anaenda kumuona dkt kila mara kwa kuwashwa ukeni akipata dawa inaacha mara moja, ila kwa kweli dawa ni kujisafisha kila anapoingia kuoga au hata anapojisaidia haja ndogo.

Na wakati anapokuwa katika siku zake ajaribu pia kusafisha kwa kuingiza kidole chake ataona mgando wa damu ukitoka, chupi zinaharibika badala ya kuwa nyeupe zinakuwa cream.
 
Mmmh! Dena Amsi duuh ya nini? si mpe ushauri mwenzio coz yanayomkuta ni makubwa.........................
 
Mimi ni kijana,nina mpenzi ,huyu mpenzi wangu kila tunapokutana in bed nakuwa sina hata raha ya tendo kwani uke unatoa harufu mbaya mno..unakuta mnaanza oral sex mkimaliza mkianza kuchojoana ndo tatizo linapoanza..

Nina imani ili tatizo yeye pia analifahamu kwani tukimaliza tendo raund one huwa anakosa raha kabisa nna imani analifahamu tatizo...

Mimi naogopa hata kumuambia maana nahisi atajisikia vibaya..Ningependa kujua dawa yake ni ipi? au hajisafishi vizuri..

Watoto wameingiaje huku
Wewe nani kakufundisha mchezo huu mapema
Hiyo harufu ni safi inahamasisha mahisia
Subiri ukue duh
 
Pole,

Kaka, huyo dada ni mchafu au akupata mafunzo namna ya kujisafisha kwa kawaida mwanamke anatoa majimaji meupe kwenye uke wake hivyo inatakiwa kila wakati wa kuoga aingize kidole chake cha kati na kupakua kwani huwa ni mzito kama maziwa mgando unapojisafisha vizuri kunakuwa kukavu kabisa.

Msaidie kwa kumuelekeza kwani ukikaa kimya kuna maradhi utayapata nawe pia, na imani huyo dada huwa anaenda kumuona dkt kila mara kwa kuwashwa ukeni akipata dawa inaacha mara moja, ila kwa kweli dawa ni kujisafisha kila anapoingia kuoga au hata anapojisaidia haja ndogo.

Na wakati anapokuwa katika siku zake ajaribu pia kusafisha kwa kuingiza kidole chake ataona mgando wa damu ukitoka, chupi zinaharibika badala ya kuwa nyeupe zinakuwa cream.
u mwalimu mzuri!!!!!!
 
Mambo ya chumbani hayo, du! Rose 1980 umeuaa! kweli huyo anaonekana ngedere pori, hapa kwa wazama chumvini inakuaje? unakula kitu utando unaonuka (God forbid) anyway, pole mzee cha msingi tafuta namna umweleze vizuri sio kwa kumnyanyapaa bali kwa utaratibu na busara ya hali ya juu.
 
mbona sms hujibu wewe, umekuwaje siku hizi!ntakununia oooohhho
Unakumbuka jana uliniahidi nini?

ehh jaman wewe chakununa usinifanyie ivo..ntakujibu
nipo mbali bwana ....lets mak t 2mrw ma dear mnunaji..
kitu changu kipo?bla kitu jiandae kwa kinuno!!!!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom