Fahamu zaidi kuhusu la ugonjwa wa Vitiligo na tiba yake

Salaam wana ukumbi!
Nimekutana na ndugu yangu akiwa amebadilika ngozi yake nimeshindwa kuelewa chanzo na matibabu yake.

Kama kuna mwenye kuelewa chanzo na mbinu za kutumia ili ajilinde na kupona kabisa atusaidie. Naambatanisha picha kwa msaada zaidi.
 

Attachments

  • 1411842771838.jpg
    1411842771838.jpg
    50.4 KB · Views: 261
Huo unaitwa vitiligo inasemekana unatokana mwili kujishambulia (autoimmune). wanatibu kwa kukumulika na mwanga maalum.
 
Huu nao ni ugonjwa gani! Na dalili zake ni zipi?
Ni aina ya ugonjwa ambao husababisha ngozi ya mwili kushindwa kutengeneza Melanin ambayo ni mahususi kwa rangi ya ngozi na kufanya ngozi yako iwe na madoti meupe meupe au kuwa nyeupe kabisa.
 

Attachments

  • vitiligo_child_legs.jpg
    vitiligo_child_legs.jpg
    22.4 KB · Views: 253
  • vitiligo_child_dark_skin.jpg
    vitiligo_child_dark_skin.jpg
    30.6 KB · Views: 239
  • vitiligo_beginning_stage.jpg
    vitiligo_beginning_stage.jpg
    22 KB · Views: 238
habari zenu..mama angu anaumwa ugonjwa wa vitiligo.mwenye kujua dawa anisaidie hata ya kienyeji..

Hamna tiba ya kuponesha kabisa Vitiligo ila matibabu yake hulenga kwenye kuimarisha rangi ya mwili na km sababu yake ikigundulika ndiyo hutibiwa kulingana na tatizo lililogundulika.
 
Kuna mtaalam aliwahi kuniambia huu unatokana pia na mtu kunjunjana na ndugu yake.
 
Hamna jina jingine mkuu?maana naona nyotanyota.Au weka kapicha inawezekana kwetu ni jina jingine niambie fasta nikuambie dawa ya kienyeji endapo nitaufahamu ugonjwa.Pole sana mkuu.
 
Hamna jina jingine mkuu?maana naona nyotanyota.Au weka kapicha inawezekana kwetu ni jina jingine niambie fasta nikuambie dawa ya kienyeji endapo nitaufahamu ugonjwa.Pole sana mkuu.

Ni ugonjwa ambao hubadili rangi asili ya ngozi. Ngozi inakuwa kama ya mtu ambaye amebleach. Mtu maarufu aliyewahi kuugua ni Michael Jackson. Kwa matibabu ya hospital huu ugonjwa hauna dawa.
 
Hauna Dawa huo ugonjwa yupo Dada m1 mwanamitindo anao na yupo mbele ingekuwa na tiba angekuwa kashajitibia.
 
Mpaka sasa hauna dawa. Cha kufanya nikutumia dawa za kukukinga namionzi ya jua, kujikubali na kuendelea na maisha. Wameugua wengi hats Michael Jackson aliupata
 
Hamna jina jingine mkuu?maana naona nyotanyota.Au weka kapicha inawezekana kwetu ni jina jingine niambie fasta nikuambie dawa ya kienyeji endapo nitaufahamu ugonjwa.Pole sana mkuu.

mwili unakuwa na mabaka kama m2aliyeungua na moto,,sijui nikuelezee vp,but naomba agoole utauona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom