Rogate
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 215
- 45
Nimeshuhudia mara kandaa mijadala yanye mlengo wakidini ikipata nafasi kubwa kuliko mijadala yakitaifa.
Utafiti mdogo nilioufanya nimegundua ""miaka ya hivi karibuni"" mwamko wa waTZ kuzungumza mambo yanayolihusu taifa imeongezeka sanjari na hili la udini likishika kasi.
Udini ulilipata mizizi wakati wa uchaguzi mkuu na kuendelezwa igunga..
Nimejiuliza maswali yafuatayo..
Wabelgiji walifanikiwa kuwatawala baada ya kuwagomabanisha na walifaidi ugomvi wao bila kujali madhara yaliyowapata warwanda. Mahakama ya Arusha imehukumu Warwanda wengi na sio Wabelgiji waliopanda chuki kati ya hao ndugu.
Kama huu ni mpango wa viongozi wetu (watanzania wenzetu) wanaotaka kutawala kirahisi kwa kutumia divide and rule theory (kutawala kwa jenga uhasama kati ya watawaliwa) ni hatari kwetu tunaoshabikia dini zetu kuliko taifa letu.
Dini ni imani, taifa au nchi inamipaka yake inayoonekana nk.. Tukishindwa kuthamini vinavyoonekana tisidanganywe na dini!
Serikali na vyombo vyake viwe makini katika hili. Waliohikumiwa ICC wengi niviongozi wa serikali baadhi kwa kufumbia macho na baadhi kwa kuhusika moja kwa moja.
Watanzania tuache ushabiki wadini, tuamini dini inachosema tusichukuliwe na ushabiki.

- Nini kimetokea kati ya watz tunaofahamika hadi nje ya mipaka yetu kama watu waungwana wanaoishi kama ndugu!!?
- Tabia hii ya kinyang'au tumeitoa wapi au imesababishwa na nini?
- Kwanini watu wanaokua mstari wambele kutetea mustakabali wa dini zao hawako mstari huohuo kuzungumzia mambo yakitaifa?