Tatizo la Tanzania ni nini? Njaa!!

Stevemike

Senior Member
Mar 12, 2011
117
15
Inavyooneka, Tanzania ni nchi iliyo na maji mengi kuliko nchi zote Africa lakini ni mmoja wa nchi masikini na inasumbuliwa na njaa mara kwa mara kutokana na ukame. Ili kupata chakula, maji yanahitajika, na maji tunayo kuliko nchi zingine! Tatizo liko wapi?
 
Back
Top Bottom