Sanja
JF-Expert Member
- Nov 7, 2010
- 499
- 223
Dishi langu aina ya MEDIACOM MFT-930plus limepoteza rangi lakini picha zinaonekana. Nimejaribu ku search channel upwa lakini rangi haikurudi, sasa sijui ni tatizo la ndani au la. Mwenye uelewa wa haya mavitu anisaidie kabla sijaanza kuzunguka kwa mafundi tafadhari