Tatizo la Mwanza ni mkurugenzi Kabwe na si CHADEMA

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
178
Meya wa Mwanza, Kutoka chadema ameanisha kuwa Mkurugenzi Kabwe anazidi kutumia na wanasiasa ili kuidhofisha Chadema. Hii ni baada ya kutokea vurugu za Mza kati ya Polisi na Machinga. Madiwani wa chadema wakiongozwa na meya wa jiji kutoka chadema walikaa chini na kukubaliana kuwa wamachinga wasifukuzwe kwanza kwenye maeneo mpaka itakapo bainika sehemu nzuri na yenye msongamano wa watu ili wamachinga waweze kuhamishwa. Lakini Mkurugenzi yeye kama yeye bila kufuata makubaliano ya madiwani aliomba waondolewe. Je serikali au CCM mimi binafsi naona kama wanakosa think tanker. Hapo CCM ijue inazid kujishusha.

NIPASHE source
 
Ni kweli hapo kuna jambo limefichwa, baada ya lile tukio TBC waliongea na Naibu Waziri Mambo ya ndani, alichokuwa anaeleza ni kama Chadema Ndiyo wameamua kuwatoa wale wafanya biashara,

"Serikali iliyoopo ni ya Chadema kwa hiyo hao ndiyo walio fanya maamuzi hayo" Hii ni Aibu.
 
Uzuri ni kuwa wananchi wa kawaida hapa Mwanza wameisha lielewa hilo na njama za kuihusisha Chadema na vurugu hizo kama alivyosema Kagasheki haziwezi kufaulu zaidi ya kujishusha wao wenyewe CCM
 
hili suala linatakiwa lisichukuliwe wala kutumika kisiasa .. wahusika na hasa wanaosababisha hali hii kwa nni wasitolewe???
 
Huyu KABWE yeye ni nani hasa mpaka afanye mambo kinyume cha wana Mwanza?. Tumechoka sasa kuwa na maamuzi ya mtu mmoja yakasababisha ndugu zetu kufa au kuumizwa. Imefika wakati sasa wananchi tuchukue maamuzi kwani kama vibaka wanachomwa moto kwa nini watu kama hawa? ambao ni zaidi ya vibaka tunawaachia wakiendelea kubaka demokrasia ya nchi yetu. Imefikia wakati sasa wafundishwa kuwaheshimu matakwa na umma kuliko matakwa na vibaraka wao.

People's Power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom