capito
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 418
- 220
Nimekuwa Mbeya kwa muda wa miezi miwili sasa. Modem za vodacom zinasumbua sana, connection ni tatizo na hata iki connect inakuwa slow sana mpaka inachosha. Tatizo jingine unaweza kununua vodabomba ya siku 30 lakini cha ajabu unakosa connection kabla ya hizo siku 30 kutimia. Nimejaribu kutembelea vodashop za hapa Mbeya kuwaelezea tatizo majibu niliyopewa ni kwamba niandike barua kuelezea tatizo langu ili wao wawe na reference wanapo report makao makuu jambo ambalo sikuona kama ni good customer service.
Wakuu naomba kuuliza kama tatizo hili kwa sasa lipo na sehemu nyingine au ni Mbeya peke yake, pia napenda kama kuna wahusika wa vodacom wafanyie kazi suala hili.
Naomba kuwasilisha
Wakuu naomba kuuliza kama tatizo hili kwa sasa lipo na sehemu nyingine au ni Mbeya peke yake, pia napenda kama kuna wahusika wa vodacom wafanyie kazi suala hili.
Naomba kuwasilisha