Tatizo la Modem ya Voda

Morinyo

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
2,797
1,592
Jamani nina siku karibu sita modem ya voda inanisumbua, nikiweka kwenye computer inaonyesha kuwa inaonyesha rangi nyekundu mda wote. Haikubali kukonect na kila nikiweka tatizo linakua hilo hilo. Nimejaribu kuwapigia customer care wananiambia wako busy. Hivi hili tatizo ni mimi tu au kuna wengine wenye tatizo kama hili, kama kuna anaeweza kunisaidia katika hili naomba msaada.
 
Maelezo hayajitoshelezi kabisa hio rangi nyekundu ni dashboard, ni taa ya modem ni dessktop yote au nini? Hebu funguka vizuri elezea kwa kina
 
UnInstal hiyo software yake alafu chomeka modem tena uInstal upya, itakuwa ni drivers zimecrash,,fanya hivyo mkuu hii spidi ya voda ya leo si mchezo nimeshusha 6GB kuanzia jana,,

42462100.jpg
 
Chief- Samahani kwa kutokulieleza vizuri hilo, hiyo taa nyekundu ni taa ya modem ndo inaonyesha hivo.
 
UnInstal hiyo software yake alafu chomeka modem tena uInstal upya, itakuwa ni drivers zimecrash,,fanya hivyo mkuu hii spidi ya voda ya leo si mchezo nimeshusha 6GB kuanzia jana,,
42462100.jpg
Nashuuru mkuu, ngoja nijaribu.
 
it also means hiyo line imechomekwa vibaya most likely umeigeuza sivyo.... am sure wanakuambia invalid or no S.I.M card
 
Back
Top Bottom