Good manhari. hata kama wana maisha magumu wanapata hewa saaafiiii!!!!!!! na kuna uwezekano hata mchicha unaota vizuri saana pale. So mboga ipo!!!!!!!!
huko kama sio Mashariki ya mbali mitaa ya Cambodia, Laos etc basi ni pande za central america maana huko maisha pinda mbaya watu wanaishi kwa kuuza cocaine, opium na ndumu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.