Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Nina rafiki yangu ambaye ana mwaka wa nne katika ndoa yao ana tatizo la kutoshika mimba. Wameshaenda hospitali nne tofauti na mumewe kuchekiwa na wameambiwa wote wawili hawana tatizo lolote. Nilipomuuliza je huwa wanafanya kwenye zile siku hatari alijibu ndio huwa wanafanya kwani kila mmojawao ana hamu na mtoto kwa muda huu na hajawahi kutoa mimba maishani mwake.

Tatizo kubwa linamsumbua huyu dada ni kuwa wanataka mtoto, pia mumewe na ameshamuambia mwaka huu ukiisha kama hajapata mimba ni lazima atatafuta mtoto nje ya ndoa ili aitwe baba.

Jamani naomba mumsaidie huyu rafiki yangu kwani hajui tatizo ni nini hadi hashiki mimba, yupo radhi hata kutumia tiba mbadala/ dawa ya asili itakayomsaidia kuweza kushika mimba haraka. Nakaribisha mawazo, ushauri,..... n.k

Ajaribu dawa hii OVA-MIT iliwahi kumfaa Pacha wangu.Inapatikana ktk maduka ya dawa za binadamu
 
Hiyo asal na tangawiz waeka kwenye ufizi 2 na je ukiwa unakunywa na c kueka kwnye ufiz
Sio Tangawizi ni Mdalasini na Asali huwekwa kwenye Fizi na pia ukinywa inasaidia nguvu za Kiume na Maradhi pia mengine, Na pia Tangawizi na Asali inasaidia kwa wale wenye upungufu wa Nguvu za Kiume wakitumia Tangawizi kavu na Asali Safi mbichi itawasaidia kuongeza nguvu za kiume.
 
Yapata takribani miezi mitatu tangu nifunge ndoa.mimi na mme wangu tumejitahid sana kutafuta mtoto tangu siku ile ya ndoa hadi leo bila mafanikio.inawezekana mtu kuwa criaz kutafuta ujauzito miezi mitatu mfululizo bila mafanikio? Je, yaweza kuwa kuna tatizo lingine? Hadi leo hii hatujachukulia kama tatizo,kwa upande wa mwenzangu cjui anafikiria nini ila kwa mimi nina hofu mno sababu kila nikipima upt napata negative,cna amani ata kidogo. NaombenI ushauri wenu jamani, hii ni kawaida?

Nifanyeje?
 
Pole dear. I know how u feel. Three months? Relax. Kuna watu wanakaa miaka. Ila kama unahitaji mtoto haraka nenda spitali na mume wako mukafanye checkup ili kama kuna problem, muanze medication mapema musichelewe sana. Nakutakia kila la heri na ndoa yenye mafanikio, amani na furaha.
 
Kwani hapo awali ulikuwa unatumia njia za uzazi wa mpango kama ulikuwa unatumia utachelewa hata zaidi ya mwaka.
 
Yapata takribani miezi mitatu tangu nifunge ndoa.mimi na mme wangu tumejitahid sana kutafuta mtoto tangu siku ile ya ndoa hadi leo bila mafanikio.inawezekana mtu kuwa criaz kutafuta ujauzito miezi mitatu mfululizo bila mafanikio? Je, yaweza kuwa kuna tatizo lingine? Hadi leo hii hatujachukulia kama tatizo,kwa upande wa mwenzangu cjui anafikiria nini ila kwa mimi nina hofu mno sababu kila nikipima upt napata negative,cna amani ata kidogo...naomben ushauri wenu jamani,hii ni kawaida?

Nifanyeje?

Ni mapema mno kuwa na wasiwasi
 
Kuwa mkweli, ulishagawahi kuchoropoa? If yes nenda katubu, utazaa mapacha tena fasta! Kama hujui ukatubu wapi pia sema usiogope!
 
Unajua mzunguko wako,unapata ovulation?tulia,utulivu ni muhimu sana ili uweze kuyaona mabadiliko ktk mwili wakoukitulia waweza hata panga jinsia ya mtoto wako. Inakuwa ngumu nenda kwa hospitali.
 
Unajua mzunguko wako,unapata ovulation?tulia,utulivu ni muhimu sana ili uweze kuyaona mabadiliko ktk mwili wako...ukitulia waweza hata panga jinsia ya mtoto wako.. Inakuwa ngumu nenda kwa hospital.

Mzunguko wangu naujua, ata ovulation days zangu nazijua. Ngoja niende tu hosp
 
Pole dear. I know how u feel. Three months? Relax. Kuna watu wanakaa miaka. Ila kama unahitaji mtoto haraka nenda spitali na mume wako mukafanye checkup ili kama kuna problem, muanze medication mapema musichelewe sana. Nakutakia kila la heri na ndoa yenye mafanikio, amani na furaha.

Thnx my dia, bad enough mume wangu ana mtoto wa nje yaani.
 
thnx my dia,bad enough mume wangu ana mtoto wa nje yaani

Oooh sasa hapo ndo unatakiwa ukapime wewe kwanza kwa Siri kabla ya mmeo halafu ukiona hakuna tatizo ndo Umwambie Mmeo mkapime wote.

Lakini ukikurupuka ukamwambia tu kwamba twende tukapime siku zote mwanaume atajidharau na kuona kuwa hawezi kitu. Na atakuwa na uhakika kuwa anaweza.

Kwahiyo Mwambie kwa upole naye atakuelewa. Maana tatizo linaweza kutokea hata baada ya Yeye kuwa na Mtoto.
 
Pole sana, jaribu kuonana na madaktari bingwa wa wanawake naamini utapata jibu
 
Back
Top Bottom