Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Please majibu kwa asie na nia thabiti ya kujibu na mwenye kutaka kukebehi yataishia kutuua moyo na kutuongezea simanzi

Hizo ndizo changamoto za maisha unapaswa kuvumilia huku jibu la kebehi ukilifanyia utafiti.
 
Niko na mme wangu its about 3 yrs now toka tuishi pamoja,,kila tukikutana na kushiriki on dangerous days naishia kubreed damu nyingi sana na maumivu makali..tulienda hospital tukapima zinaa zote bila mafanikio,,,but nkikaribia kubreed nahisi dalili zoote za ujauzito then tunaishia uzuni kwa kubreed damu rundo...one doctor alibaini mbegu za mme wangu kutokua na nguvu za kutosha kutungisha akatupa ushauri na vyakula vya kutumia but tatizo liko palepale,,,juzi doctor mwingine kasema nnashida mimi kwenye mfuko wa uzazi akanpa dawa nkatumia na ziliisha last wik...please madactari ebu tupeni ushauri ili mungu atufungulie tupate mtoto g..tyme ...poleni kwa mgomo unaogusa maisha yenu..asitokee mtu kuwalaumu kana kwamba atumjui adui ni nani

Watoto ni mapenzi ya Mungu naomba niweke wazi kabla ya kuendelea. Shangazi yangu alie na miaka 42 alikata tamaa kabisa na mambo ya uzazi ninavyoongea yuko Muhimbili anatoka kesho ama kutwa na mapacha,
sasa basi sitaki na wewe ufike 50. Rudi tena kwa madaktari, waeleze shida zenu kuwa makini na aina ya madaktari, kuna watu wako kifwedha zaidi nenda kwa watu wazima zaidi.

Binafsi nilikuwa na matatizo kwenye fammy, wife na mimi tukaelekezwa kwa PROF MGAYA YUKO PALE MBUYUNI, KAMA UNATOKEA MJINI BARA BARA YA SALENDA SHUKA KITUO CHA MBUYUNI RUDI NYUMA KIDOGO UTAKUTA NJIA YA KUINGIA LEADERS CLUB..RUDI TENA NYUMA UPANDE HUO HUO ULIOSHUKIA. ULIZA MARIE CLINIC. KUMBUKA MUNGU NDIE MWEZA YOTE KABLA YA KWENDA AKIKISHENI MNASHIKANA MIKONO MNASALI PAMOJA MNAENDA KWA DK .MKIAMINI WOTE MUNGU AMFUNULIE HUYO PROF SHIDA YENU NI NINI.

MWANZA 1:24-27 IWE YENU MILELE
 
Kuna wakati mwingine mwanamke anaweza kupata mimba na ikatoka pasipo yeye kujua kama alikua mjamzito, onana na madaktari bigwa na ingekua ni vyema ukisema wazi UNAPOISHI ili ie rahisi kuelekezwa daktari bigwa wa eneo hilo.

POLENI
 
Pole sana, endelea kufanyia kazi ushauri ulopewa pia ujitahd kufanya maombi kwa imani yako na usikate tamaa.
 
Jipeni moyo yote yanawezekana. Kuna clinic ya mambo ya infertility nearby clouds FM Mikocheni B, watembelee watakusaidieni kuhusu suala lenu.
 
Pole sana. Hata mimi hilo tatizo nilikuwa nalo, ila ushauri wangu kama ningepata email yako ningeweza kukushauri vizuri. Pia unaweza kwenda kuonana na Dk. Kapona anakuwa Tumaini kila Ijumaa atakusaidia pia nipate email yako ili tuwasiliane.
 
Niko na mme wangu it's about 3 years now toka tuishi pamoja. Kila tukikutana na kushiriki on danger days naishia kubleed damu nyingi sana na maumivu makali. Tulienda hospitali tukapima zinaa zote bila mafanikio, but nkikaribia kubleed nahisi dalili zoote za ujauzito then tunaishia uzuni kwa kubleed damu rundo. One doctor alibaini mbegu za mme wangu kutokua na nguvu za kutosha kutungisha akatupa ushauri na vyakula vya kutumia but tatizo liko palepale.

Juzi dokta mwingine kasema nina shida mimi kwenye mfuko wa uzazi, akanipa dawa nkatumia na ziliisha last week.

Please madaktari, hebu tupeni ushauri ili Mungu atufungulie tupate mtoto. G'time

Poleni kwa mgomo unaogusa maisha yenu.

Asitokee mtu kuwalaumu kana kwamba hatumjui adui ni nani.
i

pole sana,jaribu kuonana na madaktari bingwa wa uzazi utapata msaada zaidi.usikate tamaa ni tatizo linalotibika
 
Pole sana. Hata mimi hilo tatizo nilikuwa nalo, ila ushauri wangu kama ningepata email yako ningeweza kukushauri vizuri. Pia unaweza kwenda kuonana na Dk. Kapona anakuwa Tumaini kila Ijumaa atakusaidia pia nipate email yako ili tuwasiliane.

Si umfuate kwa PM
 
POA CECY NNA Shda ntakutumia mail very soon
 
Niko na mme wangu it's about 3 years now toka tuishi pamoja. Kila tukikutana na kushiriki on danger days naishia kubleed damu nyingi sana na maumivu makali. Tulienda hospitali tukapima zinaa zote bila mafanikio, but nkikaribia kubleed nahisi dalili zoote za ujauzito then tunaishia uzuni kwa kubleed damu rundo. One doctor alibaini mbegu za mme wangu kutokua na nguvu za kutosha kutungisha akatupa ushauri na vyakula vya kutumia but tatizo liko palepale.

Juzi dokta mwingine kasema nina shida mimi kwenye mfuko wa uzazi, akanipa dawa nkatumia na ziliisha last week.

Please madaktari, hebu tupeni ushauri ili Mungu atufungulie tupate mtoto. G'time

Poleni kwa mgomo unaogusa maisha yenu.

Asitokee mtu kuwalaumu kana kwamba hatumjui adui ni nani.
Kabla hujakutana na Mr. wako,wewe ktk pilika pilika zako za makuzi ya usichana hukuwahi toa mimba? Samahan madam kwa swali hilo lakin lina logic flani ndani yake.
 
Wakati unatafakari uanzie wapi na kubiria hiyo email, hebu wahi fasta pale Fore Planning Clinic - 0755 720720 iko Ilala Bungoni, kuna Dokta makini katika hiyo nyanja. Amekua akijitangaza sana Clouds na wengi wamefanikiwa, yuko simple ktk maelekezo yake na anakuelewesha vizuri hadi unahisi mimba hapohapo kabla hujatoka. Bei zake ziko cheap pia ila nenda asubuhi maana watu wanakua wengi. Utuletee majibu hapa utakachokikuta ili iwasaidie na wengine. Msalimie bro!
 
......hukuwahi toa mimba?

Labda ungeweka tu side effects zake kwa tendo hilo na solution ili iwasaidie na wengine maana nahisi hilo ni jambo la kawaida kwa baadhi ya wadada wengi siku hizi na sisi wanaume tunachangia pia ktk kukwepa ndoa au mtoto wa nje.
 
Mzee atakuwa na machine ndefu au utakua ushawahi kutoa mimba kienyeji. Hayo ni mawazo yangu. Fuata maelekezo ya saidally. Hakika utafanikiwa. kuna mama jirani yangu alikuwa analalamika hilo tatizo lakini baada ya kupata ushauri wa huyo doctor, sasa hivi naona ka tumbo kametuna. Jaribu hakika nawe utafanikiwa. Pole sana.
 
Baba wetu wa imani Ibrahim mzee mwenye mapenzi makubwa na mwenyezi mungu mtu mwenye imani alipata mtoto aitwae Ismail akiwa na umri wa zaidi ya miaka 80.Baba wetu wa imani alimuomba mungu ampe mtoto kabla ajafa na mungu akamkubalia ombi lake sito andika zaidi kuh Nabii Ibrahimu RADHI YA LLAH NG ANHUU

Rejea kwa mola wako muombe kwani yeye ndio Dr wa ma Dr wote kila kiti kina mda wake
 
Je, kuna mkao maalum wakati wa tendo la ndoa ambao ni rahisi zaidi kushika mimba? Maana nimesikiasikia kuwa mikao fulani fulani huwezi kushika ujauzito na mikao mingine inawezekana.

Mwenye ufahamu zaidi atupe darasa.
 
Ugumba {INFERTILITY}

Asali inaaminika kuamsha nyege na wapenzi wa jinsia zote mbili wanashauriwa kunywa angalau vijiko viwili {vya mezani} kila siku kabla ya muda wa kulala {usiku}.

Mdalasini umetumika kwa muda mrefu kwenye dawa za kihindi na kichina ili kuongeza uwezo wa uzazi ka kina mama wenye kuhitaji kuzaa.

Kiungo hiki {mdalasini} huchanganywa na kiasi cha asali na kufanya mgando {paste} ambao hupakwa kwenye fizi za meno na kunyonywa na kuingia mwilini taratibu.

Familia moja iliyokuwa haina watoto iltumia mgando huu kwa mafanikio na kupata mapacha wa kike baada ya kushindwa kwa muda wa miaka 14 kupata mtoto. Walikuwa wameshakata tamaa ya kupata mtoto hadi waliposikia kuhusu mchanganyiko huu wa asali na mdalasini.
 
Back
Top Bottom