Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

You cant be serious. Hawa ni binadamu ati sio wanyama.
Mwambie mzee ashambulie dakika 90 mfululizo sio anashambulia wiki moja halaf wiki moja analala. ashambulie period mpaka period. Popote akikuona tu akurukie, jikoni, toilet, garden, juu ya magunia ya kolosho, darini, uvunguni, nakazalika. Kama haujapata mimba ndani ya mwezi mmoja basi nachana vyeti vyangu vyote vya mzumbe.

NB: siku za kupata ujauzito ni chache katika mwezi kama mume ni legelege anashambulia na kupumzika anaweza akawa anazimiss kila mwezi.

Nimemaliza
 
You cant be serious, hawa ni binadamu ati, sio wanyama
Hivi ukiona mtu amezaa halafu mwanaume akaitwa kidume cha mbegu unazani ni kwanini? Unahitaji kuwa mnyama ndio ulete mtoto duniani, hili suala ningelilichambua kitaalamu lakini hamtoweza kunielewa, labda Dr Riwa tu ndio ataweza kunielewa. Kwa ufupi hayo maelezo niliotoa ndio solution na niko vere serious.
 
Siku hizi dunia imejaa sayansi na technolojia. Japo inawezekana kuwa si moral lakini nimeona ndugu na rafiki zangu wa karibu waliokuwa wanatafuta watoto for years na wote wamepata solution baada ya kuangaika na kukata tamaa. Watu wenye shida kama yako wanaenda India kupandikiza mbegu. Na hizo mbegu si kwamba ni za watu wengine ni za waume zao. Sina uhakika ni gharama kiasi gani ila nina rafiki yangu alienda huko na kwa sasa ana mapacha watatu ambao ni very health.

Kuna dada mwingine yeye aliolewa na mume aiyekuwa amedivorce mkewe na ana watoto tayari. Amekaa miaka zaidi ya mitano bila kupata mtoto. Kanywa mitishamba yooote wapi. Alienda India sasa hivi ana watoto twins. Yeye it was obvious kuwa ndiye aliyekuwa na tatizo kwani mumewe alikuwa na watoto.

Kutokana na hao nilokwisha waona so far ninaweza kusema mtoto ni pesa yako tu.
 
Ulichosema ni kweli kabisa. Mwanaume mvivu anaweza kuwa anacheza siku ambazo hawezi kufunga goli na mbegu nyingine si strong enough kusubiria yai. Uvivu una sababishwa na mambo mengi including kuwa na wanawake wengi na magonjwa ya kudumu kama BP na kisukari.
hivi ukiona mtu amezaa halaf mwanaume akaitwa kidume cha mbegu unazani ni kwanini? unahitaji kuwa mnyama ndio ulete mtoto duniani, hili suala ningelilichambua kitaalamu lakini hamtoweza kunielewa, labda Dr Riwa tu ndio ataweza kunielewa. kwa ufupi hayo maelezo niliotoa ndio solution na niko vere serious
 
Mwambie mzee ashambulie dakika 90 mfululizo sio anashambulia wiki moja halaf wiki moja analala. ashambulie period mpaka period. Popote akikuona tu akurukie, jikoni, toilet, garden, juu ya magunia ya kolosho, darini, uvunguni, nakazalika. Kama haujapata mimba ndani ya mwezi mmoja basi nachana vyeti vyangu vyote vya mzumbe.

NB: siku za kupata ujauzito ni chache katika mwezi kama mume ni legelege anashambulia na kupumzika anaweza akawa anazimiss kila mwezi.<br

Nimemaliza
Tobaaa! Hadi kwenye magunia!
 
tobaaa! Hadi kwenye magunia!

Wazee wetu walitumia mpaka matuta ya viazi in case of emergency ! hii shuhuli haitaki usharobaro bana! siku hizi unaona jibaba sekunde mbili lishalembea risasi, halaf linakwambia "kiuno kimeteguka meeen, nitakutafta tena mwisho wa mwezi meeen!" kulaleki! wee unazani mtu kama huyu ataweza hata kutia mimba panya?

Hapa Dr nimeongea kwa hasira kweli
 
klorokwini

Hee! Bora sijazaliwa zamani. Hlf wewe ndio zako hadi majalalani. Khaaa! Usimchoshe mrs kloro bana.
 
Last edited by a moderator:
Kuwa mvumilivu bbie mwenzio SARA alipata mtto akiwa na miaka 90 sembuse wwe upo ndani ya ndoa mwaka wa 2 tu.
 
Kama kweli mlipima na kuonekana hakuna tatizo basi kinachohitajika ni ratiba tu ya kufanya ngono. Unajua wanandoa wakishaona mimba haiingii wanachanganyikiwa na kuanza kufanya kama 'kazi ya kutafuta mtoto' na siyo 'mapenzi ya kufurahia uumbaji wa Mungu'. Ngono inakuwa kila siku tena mara tatu, asubuhi, mchana na usiku.

Ngono inafanywa bila raha wala mvuto kwani kila mtu anawaza mtoto. Matokeo yake mbegu za kiume zinatoka zikiwa tete hazijapevuka kuweza kutungisha mimba. Nina ushahidi wa jamaa zangu wawili ambao walikuwa na tatizo kama hili tena basi mwingine alikuwa ameishi na mke wake miaka mitatu bila mtoto na wote sasa wana watoto.

Kinachotakiwa ni kupumzika kufanya ngono kwa muda usiopungua mwezi mmoja na mwanaume afanye intensive program ya kula menu inayowezesha uzalishaji mzuri wa mbegu na kupunguza vyakula vyenye mafuta mengi hasa ya wanyama.

Chakula kizuri kwa mwanaume anayejiandaa kutungisha mimba ni mchanganyiko wa kuku wa kienyeji na njegele bila kuunga nyanya wala mafuta. Unaweza kuongeza karoti na pilipili hoho tu. Chakula kingine ni mchemsho wa ndizi na viazi kwa samaki au kuku wa kienyeji ukiwa na karanga, bamia na mboga majani fulani nimesahau jina lakini wahindi wanatumia sana mmea huo.

Nakuhakikishia menu hiyo isipokosekana mezani na mchana akiwa anatafuna karanga hata kiganga kimoja tu kwa mfululizo mwezi mzima, atakuwa na mbegu za kuua mtu. Kinachotakiwa siku ya kufanya ngono nendeni sehemu mpya ikiwezekana hata guest house na ni vizuri mfanye wakati ukiwa kwenye siku nzuti za kushika mimba. Hapo lazima mimba iingie.

Tafadhali naomba ujaribu ushauri huu na nitafurahi sana ukinipatia feedback. Program ya kula menu inakuwa more effective kama mzee akichukua likizo kabisa.
 
BIBIE JARIBU DAWA YANGU HII Utasa

Utachukua unga wa Habbat-Sawdaa gramu 25 unga wa uwatu gramu 25 na mbegu ya figili gramu 25 , atakula kijiko kimoja asubuhi na jioni ilihali imekorogwa katika nusu kikombe cha Asali safi mbichi ya nyuki, baadae utakunywa kikombe kikubwa cha maziwa ya ngamia; basi inshaAllaah itakuwa kheri.
 
Mwambie mzee ashambulie dakika 90 mfululizo sio anashambulia wiki moja halafu wiki moja analala. Ashambulie period mpaka period. Popote akikuona tu akurukie, jikoni, toilet, garden, juu ya magunia ya kolosho, darini, uvunguni, nakazalika. Kama haujapata mimba ndani ya mwezi mmoja basi nachana vyeti vyangu vyote vya mzumbe.

NB: Siku za kupata ujauzito ni chache katika mwezi kama mume ni legelege anashambulia na kupumzika anaweza akawa anazimiss kila mwezi.

Nimemaliza

Hahah, Klorokwini, Dr from Mzumbe at work!

Hivi kwa nini unapenda kujeruhi mbavu zangu kila siku? itabidi nikuombee ban walau ya mwezi mmoja ili mbavu zangu ziunge tena, manake kila nikiona post zako navunjika tena hata zile zilizokuwa zimeanza kupona zinavunjika tena!

Kwa kweli hilo hata ye nilitaka kulisema kwenye post yangu, sijui kwa nini nililisahau! in short, naungana na wewe kuwa timing ni muhimu sana, aukukosea timing utahangaika sana na kudhania umerogwa kama ambavyo ameishaanza kujidania. ukishindwa kabisa kutime, basi "shambulia mfululizo"

Angalizo
Usichane vyeti vyako, viache uwarithishe vijana, after all havijakukosea kitu hadi uvichane!

Hivi ukiona mtu amezaa halaf mwanaume akaitwa kidume cha mbegu unazani ni kwanini? unahitaji kuwa mnyama ndio ulete mtoto duniani, hili suala ningelilichambua kitaalamu lakini hamtoweza kunielewa, labda Dr Riwa tu ndio ataweza kunielewa. kwa ufupi hayo maelezo niliotoa ndio solution na niko vere serious

Hahahaa, lakini kwa case ya huyu mdada inaweza kuwa kama kweli vile!

we chambua tu, tuko wengi tu tutakaokuelewa, siyo Dr Riwa peke yake!

wazee wetu walitumia mpaka matuta ya viazi in case of emergency ! hii shuhuli haitaki usharobaro bana! siku hizi unaona jibaba sekunde mbili lishalembea risasi, halaf linakwambia "kiuno kimeteguka meeen, nitakutafta tena mwisho wa mwezi meeen!" kulaleki! wee unazani mtu kama huyu ataweza hata kutia mimba panya?

hapa Dr nimeongea kwa hasira kweli

duh,

pole Dr kwa kukwazika!
 
Usihofu dada nitakushauri vizuri, nijue ratiba yako na mumeo kwa ujumla, ni PM. Usihofu yatakwisha tumwamini MUNGU YESU WETU zaidi
 
Tips From Users Like You (How to Get Pregnant)
  • Ready for motherhood?
Some women are blessed with fertility and get pregnant quickly and easily the old-fashioned way. For others, conceiving is not so simple. These step-by-step baby-making basics will help any woman understand when she is most fertile, how often and when to have sex and when to seek help for infertility.
Difficulty:Moderately Easy[h=2]Instructions[/h]
    • 1 Find a partner. For some, this is the hardest part.

    • 2 If you are currently on the pill as a form of birth control, discontinue taking it. Most doctors recommend that women wait three cycles while their bodies adjust to being off the pill before trying to conceive.

    • 3 Start taking a prenatal vitamin before getting pregnant. Medical professionals recommend that women get a daily dose of 400 micrograms of folic acid starting at least a month before trying to get pregnant and at least 600 micrograms a day once pregnant. Research has indicated that doing so can reduce the risk of neural tube defects in babies by up to 70 percent.

    • 4 Balance your hormones with good nutrition and herbal supplements. Zinc, calcium, magnesium and B6 are great for sustaining hormonal balance. Various herbs associated with balanced hormones include chamomile, raspberry leaf, ginkgo biloba, saw palmetto, ginseng, licorice root and black cohosh. Consult your doctor if you are unsure of the effects of any herbal supplements.

    • 5 The best time to develop a healthy lifestyle is before pregnancy. Maintain a healthy weight, exercise regularly, eat healthy foods, reduce stress and don't smoke, consume alcohol or do any other recreational drugs. These good habits may help you get pregnant more easily and will certainly serve you and your baby well during pregnancy.

    • 6 Determine when you ordinarily ovulate. For most women, this is in the middle of their menstrual cycle, around day 14, although the exact timing varies among women. There are a number of ways to determine when you are ovulating, from tracking your basal body temperature and watching for changes in cervical mucus to simply purchasing an ovulation calculator at the drug store.

    • 7 Have regular, unprotected sex around the time you ovulate. Since sperm cells can survive in the reproductive tract for two to three days, it's best to have sex every day for at least a few days leading up to ovulation. So for example, if the average woman ovulates on day 14, it's best to have sex on days 12, 13 and 14 of her menstrual cycle.

    • 8 On the first day of a missed period, take an early pregnancy test and find out if all of your hard work has paid off.

    • 9 Repeat these steps each month until you are pregnant.
Tips & Warnings

If you are concerned about any existing health issues or unhealthy habits that you or your partner may have, consider preconception planning. Your doctor can assess your overall health and help you identify lifestyle changes that may improve your chances for a healthy pregnancy.

  • A healthy couple without any known fertility problems only has a 25 percent chance of conceiving during any given cycle. So if it's taking a while to get pregnant, be patient. Medical professionals define infertility as the inability to get pregnant after 12 consecutive cycles of trying.

  • Infertility affects both men and women but treatment is available. Depending on the source of the problem, your gynecologist, your partner's urologist, a family doctor or a fertility specialist may be able to help. Nowadays, there are many options for infertile couples trying to conceive, including infertility drugs, artificial insemination, in vitro fertilization (IVF) and other assisted reproductive technologies.

  • Avoid taking synthetic horomones, anti-depressants and other drugs leading up to getting pregnant. Chemicals can alter your body's natural hormonal state and make pregnancy more difficult.

  • The odds of conceiving each month decrease as you get older.
 
Hahah, Klorokwini, Dr from Mzumbe at work!

Hivi kwa nini unapenda kujeruhi mbavu zangu kila siku? itabidi nikuombee ban walau ya mwezi mmoja ili mbavu zangu ziunge tena, manake kila nikiona post zako navunjika tena hata zile zilizokuwa zimeanza kupona zinavunjika tena!

Kwa kweli hilo hata ye nilitaka kulisema kwenye post yangu, sijui kwa nini nililisahau! in short, naungana na wewe kuwa timing ni muhimu sana, aukukosea timing utahangaika sana na kudhania umerogwa kama ambavyo ameishaanza kujidania. ukishindwa kabisa kutime, basi "shambulia mfululizo"

angalizo
Usichane vyeti vyako, viache uwarithishe vijana, after all havijakukosea kitu hadi uvichane!

Hahahaa, lakini kwa case ya huyu mdada inaweza kuwa kama kweli vile!

We chambua tu, tuko wengi tu tutakaokuelewa, siyo Dr Riwa peke yake!

Duh,

Pole Dr kwa kukwazika!

Hehehe Miss Judith bana! unajua kila nikitaka kustaafu ndio wagonjwa wanaongezeka, sasa inabidi nikomae nao tu.
Ubarikiwe mpendwa! (source: wewe)
 
hehehe Miss Judith bana! unajua kila nikitaka kustaafu ndio wagonjwa wanaongezeka, sasa inabidi nikomae nao tu. Ubarikiwe mpendwa! (source: wewe)

Haha,

Nimefurahi kusikia umeahirisha kuchana vyeti vyako vya udaktari na sasa unapanga kula sahani moja na wagonjwa hadi waishe! (source: post #45 hapo juu)

Eid Mubaraq (tahriri square haihusiki)
 
BIBIE JARIBU DAWA YANGU HII Utasa

Utachukua unga wa Habbat-Sawdaa gramu 25 unga wa uwatu gramu 25 na mbegu ya figili gramu 25 , atakula kijiko kimoja asubuhi na jioni ilihali imekorogwa katika nusu kikombe cha Asali safi mbichi ya nyuki, baadae utakunywa kikombe kikubwa cha maziwa ya ngamia; basi inshaAllaah itakuwa kheri.
Asante sana kwa maelekezo ya dawa.Vipi hizi dawa zinapatikana wapi?yaani ni wapi naweza kwenda nunua?
 
Back
Top Bottom