Tatizo la kutokwa na nyama sehemu ya haja kubwa

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
815
Wajameni naomba msaada,nikienda kujisaidia utumbo unatoka kidogo,nikimaliza kujisaidia nausukumia ndani na vidole,unakuwa sawa,msaada wa kutatua hilo tatizo.
 
Wajameni naomba msaada,nikienda kujisaidia utumbo unatoka kidogo,nikimaliza kujisaidia nausukumia ndani na vidole,unakuwa sawa,msaada wa kutatua hilo tatizo.
Mkuu hiyo heading yako ungetumia tafsida kidogo. Manake hilo neno "mkund....ni" linaweza kuwaogopesha watu kuingia hapa.... LOL. Ungesema "bomba la kutolea haja kubwa" Hahahaha

BTW, pole ndugu yangu, ngoja wataalam wakusaidie ila mi ningekushauri uwahi hospitali kabla hali haijazidi kuwa mbaya zaidi.
 
Nenda hosp ni hemo...... so watakukata hakuna dawa zaidi ya kukata.
 
Mod tunaomba ufanyemarekebisho kwenye kichwa cha habari japo isomeke "nyama kutoka kwenye njia ya haja kubwa" kuliko hilo neno lililotumika hapo....
 
Wajameni naomba msaada,nikienda kujisaidia utumbo unatoka kidogo,nikimaliza kujisaidia nausukumia ndani na vidole,unakuwa sawa,msaada wa kutatua hilo tatizo.
Wahi hospitali kwanza... hilo tatizo linatatuliwa kule.. Pole!
 
Tatizo hilo linajulikana kama hemorhoid.
Kama sio serious linaweza kwisha kwa kula vyakula vilaini vyenye high fiber km vile ndizi, matunda, mboga za majani, n.k
Tatizo likiendelea wahi hospitali.

Hemoroid Treatment
 
Yaani bado umekaa tuu unasubiri ushauri toka JF?

NENDA HARAKA HOSPITALI!
 
Pole sana !!!!!!!!!lakini inaonyesha ulikuwaga haupaoshi vizuri panatoka ili upaoshe .
 
Kuna dawa ya kienyeji ya kukalia kwenye kiti cha kienyeji ( kigoda) asubuhi na jioni kwa muda wa siku 3 tatizo linakwisha kabisa na haritajirudia tena maishani mwako, ni mchanganyiko wa miti kama 3 hivi kwa bahati mbaya sana naukumba mti 1 tuu, ila dawa hii ni very common huku kanda ya ziwa.
 
Wakati ukilpendelea kula vitu laini, pia endelea kukamua juice ya kitunguu maji unywe glass 1 au zaidi mara 1 kila siku!
Matibabu rasmi utayapata hospital.
 
Kuna dawa ya kienyeji ya kukalia kwenye kiti cha kienyeji ( kigoda) asubuhi na jioni kwa muda wa siku 3 tatizo linakwisha kabisa na haritajirudia tena maishani mwako, ni mchanganyiko wa miti kama 3 hivi kwa bahati mbaya sana naukumba mti 1 tuu, ila dawa hii ni very common huku kanda ya ziwa.

papason
umesema kuikalia?...tena mara 3!

pole mgonjwa iyo inaitwa BAWASIRI...tumia mafuta ya MBONO...upake hayo maeneo...itarudi tu!

kama ni critical plz mwone dr kuna small operation itaondoka!

so dr lazima akuchezee kinyeo iko!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom