Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,316
- 33,113
Wana jf naombeni kujuzwa hili tatizo linasababishwa na nini na dawa yake nini, kwani huwa linanitokea sana ikifika hasa kipindi cha joto na tangia nimezaliwa nikigusa pua kwa nguvu damu zinatoka mpaka saiv nina miaka 20 lakini bado damu inaweza kutoka muda wowote. NAOMBENI MSAADA WENU WAKUU
Dawa ya kutibu kutoka Damu Puani Mhina.
Kila Tiba kati ya zifuatazo ni zenye kujitegemea. Chagua iliyo rahisi kwako, Isipokufaa ndipo uchague nyengine
TIBA
(1) Changanya tone mbili mbili za mafuta ya habat soda na siki yoyote ile iwe ya Siki ya Zabibu au Siki ya Apple (Tufaha) kwenye maji ya mawaridi.Kisha utie ndani ya pua tone moja kila siku Asubuhi.
(2) Pia mgonjwa unaweza ukawa ananusa siki ya Zabibu au siki ya Tufaha tu na kijiko kimoja cha mafuta ya Habat Soda.
(3) chukuwa Maziwa Fresh ya Ng'ombe uyachemche hadi yamechemka vizuri na uyatie katika glasi, kisha chukuwa yai bichi la kuku wa kienyeji ulipasue na kulimimina ndani ya hayo Maziwa. Koroga mchanganyiko huo wa maziwa na mayai na kuacha hadi yapoe. Kunywa yakishapoa, fanya hivyo na kutumia kwa muda wa siku Mara 3 Asubuhi mchana na usiku kwa muda wa siku 3. Mkuu.
Mafuta ya Habbat Sawda ni tiba kila Maradhi.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili