Tatizo la kutokuwa wawazi kwa watoto wetu wanaoanza kupevuka linagalimu future za vijana wengi!

Mwl Ngasa

Member
Aug 9, 2012
32
7
Kupenda kila mtu anaruhusiwa, lakini baada ya kupenda unachukua tahadhari gani? watoto wengi kuanzia miaka 14...... wanajikuta wanatumbukia kwenye ngono ambazo hazina kibali hivyo kufanya maisha yao ya shule kuwa hatarini hii ni kwa sababu tu eti sisi utamaduni wetu hauruhusu familia au jamii kuzungumzia mambo ya mapenzi! Walimu nao badala ya kuwapa nasaha watoto nao ndo kwanza wanavkandamiza sasa msichana mdogo tu keshatembea na wanaume wenye umri wa baba yake hivi hii nini sasa? ukiuliza eti watoto wamekosa maadili hivi mtoto alielala na mtu mzima ni nani aliekosa maadili? watoto hawajapewa maadili na maadili si kuwakataza tu waambiwe wazi kwa nini na badala yake wafanye nini kuepuka!
 
It is upbringing.people who were born 1970s look younger than 1980 s : why ?because of technology and different type of education .my parents are very educated but my grandmother had a chance to raise me .now my kids have agrandma who is busy working traveling .a child anaishiwa kulelewa na mama who is spoiled herself .its a generation thing
 
kuwa wazi na kukaa kuongea na teenagers ni kitu muhimu sana, mzazi anatakiwa kutengeneza urafiki na mtoto na si uadui haitakiwi kumuacha mtoto afanye atakavyo si malezi ukijenga urafiki na mtoto ni rahisi yeye kukuambia jambo linalomtatiza na kuwa na heshima hata kwa watu wengine
 
It is upbringing.people who were born 1970s look younger than 1980 s : why ?because of technology and different type of education .my parents are very educated but my grandmother had a chance to raise me .now my kids have agrandma who is busy working traveling .a child anaishiwa kulelewa na mama who is spoiled herself .its a generation thing

mh! hiv kweli unazaa au unapata mtoto halafu unategemea bibi yako akulelee! kukosa plan kunaweza fanya m2 awe na sababu nyingi na zote zikaonekana sawa kwa mtizamo wake lakini kulea ni kulea tu! hakuna cha generation wala tehnology hapa! you might have knowlege but if u lack wisdom u r almost a victim!
 
Back
Top Bottom