Tatizo la kutokula nyama

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
JF doctor heshima iwe kwenu.

Tafadhali naomba msaada wenu wa kitabibu hili tatizo linasababishwa na nini na nini tiba yake.Mdogo wangu anasumbuliwa sana na tatizo hili alapo nyama tu mwili huanza kuvimba na kutoa vifundovifundo pia hujikuna sana.

Naombeni msaada wenu.
 
Mara nyingi huwa inakuwa ni alergy ya mtu kwa chakula fulani au kitu chochote...eg perfume,vumbi etc.
Lkn ngoja waje wataalamu akina MziziMkavu huenda wanaelewa zaidi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu KIBURUDISHO Pole sana kwa hayo matatizo ya mdogo wako. Mimi pia ninaunga mkono maneno aliyoyasema mkuu Zion Daughter huenda akawa ana maradhi ya alergy akitumia hiyo nyama inamletea maradhi ndani ya mwili wake ningelikushauri bora umpeleke hospitai akaonane na Ma Daktari ili wampime ili wapate kujuwa ni nini chanzo chake na kukupa ushauri mzuri zaidi na dawa kuliko kuuliza swali pasipo na kwenda kumuona Daktari ikishindikana rudi tena hapa utapata ushauri wetu zaidi asante.
 
Last edited by a moderator:
Mimi pia nina tatzo kama hlo ila ni kwa nyama ya ng'ombe tu.Nimeacha kula nyama hyo kwa miaka 10 sasa.Alaf as long as ni nyama nyekundu ndo kabsaa sitak kusaka dawa kwa kuwa watu wengi now adays wanashauriwa kuacha kula nyama nyekundu.Ila believe me tatzo syo nyama ila ni kemikali fulan iliyopo kwenye nyama hyo ndo inamdhuru nduguyo.That means akinywa hata maziwa yaliyo na kemikal hyo huenda akadhurika.Tatzo kuijua hyo kemikali ndo mpaka uende kwa daktari.Nawasilisha
 
Mkuu hata miye nimeacha nyama takribani miaka 12 iliyopita nikila huwa naumwa tumbo vibaya sana na ni only nyama nyekundu,hizi nyingine nagonga kama kawaida na siumwi kabisa,imefikia wakati sasa sina hata ile kiu ya nyama yaani hata ungietia marembo ya namna gani hamu nayo imeniisha kabisa.
 
Ni kweli stephot bora kuipotezea hata iwekwe nini naipa mgongo
 
Mimi pia nina tatzo kama hlo ila ni kwa nyama ya ng'ombe tu.Nimeacha kula nyama hyo kwa miaka 10 sasa.Alaf as long as ni nyama nyekundu ndo kabsaa sitak kusaka dawa kwa kuwa watu wengi now adays wanashauriwa kuacha kula nyama nyekundu.Ila believe me tatzo syo nyama ila ni kemikali fulan iliyopo kwenye nyama hyo ndo inamdhuru nduguyo.That means akinywa hata maziwa yaliyo na kemikal hyo huenda akadhurika.Tatzo kuijua hyo kemikali ndo mpaka uende kwa daktari.Nawasilisha

Ni kweli maana alapo nyama ya kuku au samaki hakuna tatizo lolote.
 
Kuna kitu inaitwa tambazi. Kuna dawa za majani huko kwetu. Hebu jaribu kuulizia.
Ila ukitoka hospitali nna uhakika dr MziziMkavu atakuwa na suluhisho
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom