Tatizo la kupewa cheo kazini.

Prime Dynamics

JF-Expert Member
Dec 30, 2010
551
249
Je umesha wahi kupewa cheo kazini kwa walioajiriwa?
Ukipewa cheo kazini inakua kama vile ndiochanzo cha kutengana na wenzio. Ukiwakuta wanapiga story na ukijiunga nao (wakati wa lunch time kwa mfano) ghafla wanakaa kimya au wataanza kuondoka mmoja moja na kuacha mwenyewe. Unaanza kukumbuka siku ambazo mlivyo shirikiana kimawazo kabla ya cheo. Marafiki wengine wataanza kuonyesha wivu.
 
Wivu...roho mbaya ndo vinasababisha!Mara nyingi hua wanaassume kwamba utakua unajiona sana kwa kupandisha cheo kwahiyo wanakuona sio mwenzao tena!
 
Ni lazima iwe hivyo kwani kwa wakati huo tayari ni boss, unless unaongelea hutu tu vyeo/grades ambavyo havikupeleki kwenye ubosi kiviiile.

Ukiwa boss tafuta wa saizi yako/maboss wenzio na utafurahia, jua mambo haya sio kwenye agemate tu bali hata ngazi za mamlaka/ubosi pia
 
hii thread ipeleke next door .....hapa choo cha kike.
 
Back
Top Bottom