Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

Pole sana, kamuone daktari tena na ikiwezekana kamuone daktari mwingine tofauti na huyo wa mwanzo.
 
Hilo tatizo limeshawahi kunitokea ila mimi nili2mia dawa ndo nikapata choo...nakushauri uende ukamuone daktari
 
ikishindikana wanaweza kumfanyia opeartion ya rectum kwan kuna mama 1 hapa mtaan nae alikuwa hivyo hivyo wakadai cjui kuna kitu karibu na haja kubwa alikuw anakaa cku 7 mpaka 10 na alikuwa hawez kuinama vizur,ni vyema ukamwona Dk kama ulivyo shauriwa madawa wakat mwingien cku hiz ni biashara tuu kaka kwan mtu anajua suluhu iko wap ila anakukamua kwanza ndio aje na last soln.
 
eeh pole sana jaribu kumwona specialist atakusaidia zaidi, kamwone dactari mwingine tofauti ya huyo ulienae sasa. jaribu Dr. Masawe Morocco
 
mpe tabs ducolax nusu kidonge tu na juisi ya papai usijempa zaid ya kidonge kimoja na akipata choo nenda kakipime maabara haf ni PM
 
Nisaidieni tena. Mtoto mdogo anatakiwa kupata choo gani? Nimekuwa nikisikia choo kinatakiwa kiwe na rangi ya njano. hii ni kwa mtoto wa umri gani? mara nyingine nimesikia choo kikiwa cha kijani huwa kuna shida tumboni! je kuna ukweli ndani yake? nina mtoto wa miezi mitano, anaenda sita sasa, choo chake si kilaini sana japo nimejitahidi kumpa maji kiasi kama nilivyoshauriwa, anakunywa maziwa ya kopo, na yangu tu, vile naenda kazini. Ni nini kinafanya asiwe na choo laini? Je ulaji wangu unamuathiri? wataalam/wazoefu, nisaidieni.
 
Wewe Shida yako mtoto asipate choo laini? Au mtoto wako akipata choo kinatoka Rangi gani? Jaribu kwenda hospitali kumona Daktari atakupa maelezo zaidi.
 
wadau ninarafiki yangu anatatizo la kutopata choo, na akipata hua anaumia sana mpaka damu zinatoka,

naomba ushauri wenu asante.
 
wadau ninarafiki yangu anatatizo la kutopata choo, na akipata hua anaumia sana mpaka damu zinatoka,

naomba ushauri wenu asante.

tatizo lake linaitwa (costipation) sina hakika na spelling lakini it sound like that. Kama atafanikiwa kuondoa kinyesi kilicho kigumu, aanze kula vyakula vyenye fibers kama vile viazi vitamu, matunda kama machungwa kula na nyuzi zake, anye maziwa mtindi, mapapai, parachichi vyote vitasaidia kubust digestion.
 
Constipation inaondolewa na enema,kama nilivyoandika katika posting ya awali. The more disgusting the cure,the more effective the medicine.
 
Nina tatizo la tumbo kuunguruma na kukosa choo. Hili hunitokea kukiwa na baridi. Nikienda choo hutoka kama makamasi hivi. Naomba msaada wa kujuzwa huu ni ugonjwa gani na tiba ni nini.

Asante
 
Mmmmmmmmhhhhhhhhh! Kunuka mmmmmmmmhhhhhhhh puuuuuuuu..... Yani hapo umefunga mlango wa chooni dah!.... Ok ngoja nivumilie tu hii harufu sa sikia kwa tatizo la kukosa choo kunywa juice ya ukwaju ile concentrated... Utarudi kunipa majibu hapa mmmmmmmmhhhhhhhh harufu imezidi kwaeli
 
Una ngiri.Kuna dawa za hospitali na kienyeji za kukuwezesha kupata choo. Kwa hilo hiyo hata ukwaju inaweza kudunda. nenda pharmacy kauluzue dawa hii LACTULOSE SOLUTION USP LIVOLUK. Hii inatibu CONSTIPATION SIO NGIRI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom