Mimi ninaweza kukutibia na ukapona ukihitaji Dawa yangu nitafute inbox ukiweza.Nina tatizo la kukosa choo kwa zaid ya mwaka sasa ili tatizo laendelea nimetumia dawa nakaribia kuchoka ila tatizo ni endelevu,nimetumia matunda kama mapapai kila siku ila bado tatizo lipo tu,atakayenisaidia nikapona namuahid zawad
Asante kwa darasa...!!Kuna sababu nyingi zinazoweza kuchangia kupata matatizo ya choo.
1. Angalia ni kuanzia lini ulianza kupata matatizo
2. Angalia chakula unachokula, tabia yako ya unywaji wa maji, uwezo wako wa kufikiri, aina ya mazoezi ya viungo unayofanya, choo chako unakipenda kiasi gani. Haja kubwa inatakiwa ifanyike kwenye sehemu unayoipenda, pawe mahali safi, kwani unaweza kutumia nusu saa kama unamatatizo, usiwe sehemu ambayo mwenzako anasubiri nje, inabidi uharakishe hiyo inaweza haribu system yako pia. Kuna watu wanaweka magazeti chooni wanasoma wakati wa tendo.
3. Ni muda gani kawaida unapata choo kila siku? Kubadilisha muda ghafla kunaweza leta psychological effects.
4. Umetumia dawa hivi karibuni kwa mfano, dawa za kuongeza damu mara nyingi zinasababisha ufungaji wa choo, anti acids, anti diarrhoea, inawezekana ulitakata ufunge tumbo la kuhara kumbe funguo bado inaendelea. Pia antihistamines.
Weka kumbumbu ya siku unayopata choo, ulipata kigumu na vipande vipande kama mavi ya mbuzi, ulipata kilaini na kilitoka kwa mfano wa sausage, ulipata uharo? Pamoja na rangi ikiwezekana angalia pia kama kina damu kikitoka kigumu. Hii itamsaidia daktari atakae kutibu kuelewa zaidi hali yako.
Heshima mkuu.Asante kwa darasa...!!
Alafu huwa nakukubali sana wewe bibie ngoja nimalizie majukumu hapa, nitakutafuta baadae kaa ukifahamu hilo.