Tatizo la kula/kutafuna kucha

Columbus

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,002
648
Nimegundua nina tatizo sugu la kutafuna kucha kiasi kwamba sikumbuku ni lini nilitumia wembe au nail cutter, je hili ni tatizo gani na nawezaje kukabiliana nalo?

Pia nina mazoea ya kunawa pale ninapomuanda mpenzi wangu kabla ya game, condom naitumia vizuri lakini je hivi vidole vyangu vinaweza kuwa ndio media ya kupitisha VVU? Uwezekano huo uko kwa kiasi gani?
 
Nimegundua nina tatizo sugu la kutafuna kucha kiasi kwamba sikumbuku ni lini nilitumia wembe au nail cutter, je hili ni tatizo gani na nawezaje kukabiliana nalo? Pia nina mazoea ya kunawa pale ninapomuanda mpenzi wangu kabla ya game, condom naitumia vizuri lakini je hivi vidole vyangu vinaweza kuwa ndio media ya kupitisha VVU? uwezekano huo uko kwa kiasi gani?

jipe moyo kuna wataalamu wengi humu so utapata majibu sahihitu, hilo tatizo nikubwa na linakabili wengitu.
 
ukishazoea kutafuna kucha una-addict na unashindwa kuacha. na mtafunaji sana inafikia wakati unajing'ata. so, kumuandaa mpenzi wako inamaana unamchokonoa K?? angalia utamchana kitumbua na atakushitaki kwa jirani
 
Unaweza sana kuacha.Ni kiasi cha kuamua tu.
Mwenyewe nlikua nazitafuna mpaka vidole vinauma ila sasa hivi kucha zangu zangu zinakua mpaka mwenyewe niamue kuzikata.
 
Hey mtoa mada, jichunguze ujue hua ung'ata kucha wakati gani. Ukiwa nervous, ukiwa umeboreka, ukiwa umekasirika?Hizo ndio zilikua sababu zangu.
Nwy ukishajua ni wakati gani hua unazing'ata tafuta kitu ambacho utakua unafanya wakati huo instead. Ukifanikiwa kufanya hivyo kwa muda mwenyewe utazoea mpaka usihitaji tena hata hicho ulichokua unatumia kujizua kula kucha.
 
Hivi kwani ni vibaya kukata kucha za mikono kwa meno? Manake nikitumia nail cutter huwa sichelewi kujikata.
 
Hivi kwani ni vibaya kukata kucha za mikono kwa meno? Manake nikitumia nail cutter huwa sichelewi kujikata.
yes si vema,
1. sometimes mikono michafu na unaweza pata bacteria
2. pia hazipendezi ziking'atwa
 
Hey mtoa mada, jichunguze ujue hua ung'ata kucha wakati gani. Ukiwa nervous, ukiwa umeboreka, ukiwa umekasirika?Hizo ndio zilikua sababu zangu.
Nwy ukishajua ni wakati gani hua unazing'ata tafuta kitu ambacho utakua unafanya wakati huo instead. Ukifanikiwa kufanya hivyo kwa muda mwenyewe utazoea mpaka usihitaji tena hata hicho ulichokua unatumia kujizua kula kucha.

Maelezo mazuri, mimi pia nina tabia hii, mimi huwa ni kutokana na kufikiria, na kadri navyoumiza kichwa ndivyo speed ya kula kucha inavyozidi na nimegundua kuwa kipindi cha mitihani ndo huwa napata hadi vidonda vidoleni. Kwa case yangu nifanye gaje?
 
Pole aiseee, mi nilikua natafuna mpaka zinaisha na bado naendelea mpaka mtu ukitia mikono kwenye maji tu unaugulia maumivu.

Well kama ni livyosema hapo juu ni kiasi tu cha kutafuta kitu ambacho utafanya badala ya kutafuna kucha.Cha kwanza ni ukiona unataka kuweka mkono mdomoni take a break and calm yourself down. Simama uchungulie nje kwa dakika tano, funga macho kwa dakika tano bila kufikiria ulichokua unajihusisha nacho mwanzo, go get yourself a glass of water au kula hata tunda. Yani fanya chochote kile ambacho kitapumzisha akili yako angalau kwa dakika tano.Alafu baadae unaweza ukafanya mazoea, sio mpaka ujikute unataka kula kucha, jipangie kwamba ntasoma kwa lisaa alafu ntapumzika dakika tano kabla ya kuendelea.Hii itakuasaidia usihisi umeelemewa.
 
Hapo kwenye "Simama uchungulie nje kwa dakika tano, funga macho kwa dakika tano bila kufikiria ulichokua unajihusisha nacho mwanzo, go get yourself a glass of water au kula hata tunda. Yani fanya chochote kile ambacho kitapumzisha akili yako angalau kwa dakika tano"pananitatiza. Hivi mie sasa niko kwenye 5 5 sasa hayo maji na glasi nayapata wapi?
Na nilisha ng'ata tayari kucha!
 
mimi nasubiri swali pili lijibiwe uhusiano wa kung'ata kucha na maambukizi ya ukimwi.

Hilo ni obvious kua linawezekana.
Sehemu yoyote ya mwili ikiwa na kidonda unaweza ambukizwa kwa kupitia sehemu hiyo. Mf. Mshkaji hapo juu katika harakati za kuridhishana na mpenzi wake akamkwangua/mjuchubua kwa bahati mbaya alafu vidonda vya kucha vikaguswa na damu kidogo toka kwenye ule mchubuko huo ndio utakua mwanzo wa maambukizi.
 
Hapo kwenye "Simama uchungulie nje kwa dakika tano, funga macho kwa dakika tano bila kufikiria ulichokua unajihusisha nacho mwanzo, go get yourself a glass of water au kula hata tunda. Yani fanya chochote kile ambacho kitapumzisha akili yako angalau kwa dakika tano"pananitatiza. Hivi mie sasa niko kwenye 5 5 sasa hayo maji na glasi nayapata wapi?
Na nilisha ng'ata tayari kucha!

5 5. . . . ??????
Alafu kama.ulishang'ata tayari hazioti tena?
 
Pole sana mkubwa hata mm ninatatizo hilo kama lako, nimejitahidi kuacha lakini nafsi imenishinda kwa sababu nahisi kucha tamu sana, lakini kuna njia mpya nimefikilia huwenda ikatusaidia mm nawewe kuacha tabia hii ambayo ni kubandika vipande vidogo vya plasta ktk kucha hasa pale unapojisikia kuzitafuna, let us try this.
 
Hivi kwani ni vibaya kukata kucha za mikono kwa meno? Manake nikitumia nail cutter huwa sichelewi kujikata.

kucha ni sehemu au njia ya kutolea uchafu au sumu mwilini hivyo ukizila unarudisha sumu mwilini na kuna uwezekano mkubwa wa kupatwa na matatizo ya tumbo
 
Plz naomba dawa ya haya matatizo yangu...nina miaka zaidi ya 25+

ila nina tatizo la kula KUCHA..za vidole.. na kunyonya VIDOLE..pia nina tatizo lingine la kuchezea NYWELE zangu..ila sina rasta....na kikubwa za zaidi natafuta/kung'ata ng'ata ULIMI

muda mwingi huwa najisahau kabisa....hata kama niko washikaji mahali tunapiga kilaji hiyo hali hutokea..

Dawa yake nini..ili niache?
 
Jitahidi kuji-keep bize muda mwingi kwa mfano ukiamka asubuhi fanya mazoezi yoyote, kisha nenda kwenye kazi zako za kila siku, ukirud hom jion jipumzishe kidogo kisha nenda kashiriki michezo na watu wengine, ukirudi hom tena kula, jichanganye na majirani kwa stori then kalale. Fanya hivi mara kwa mara utaachana na tabia yoyote inayokukera. Haya ndo mawazo yangu, karibu tena.
 
Jitahidi kuji-keep bize muda mwingi kwa mfano ukiamka asubuhi fanya mazoezi yoyote, kisha nenda kwenye kazi zako za kila siku, ukirud hom jion jipumzishe kidogo kisha nenda kashiriki michezo na watu wengine, ukirudi hom tena kula, jichanganye na majirani kwa stori then kalale. Fanya hivi mara kwa mara utaachana na tabia yoyote inayokukera. Haya ndo mawazo yangu, karibu tena.​

inamaana inatokana na kutokuwa bize?...ila mm nimchezaji mzuri sana wa mpira na Pool table..ttz nikisimama kdg ujue mkono utaenda mdomoni au kichwani...ni ugonjwa au?...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom