Tatizo la Jino- root canal

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
11
Naomba msaada wenu, jino lilikuwa linaniuma, nikaenda kwa Dr Shabeer mtaa wa Jamhuri town, sasa dr akaniambia kuna tundu ninatakiwa kufanya root canal na charge yake ni laki na elf tisini, aliniambia kuwa wanakata mshipa wa fahamu na kuziba.

Sasa wana JFnilikuwa nauliza hii treatment mbona ni expensive sana?

Na hakuna njia mbadala ya matibabu na dentist gani ni mzuri?
 
Kaka hapo nawaminia sana ndiyo huwa safisha meno yangu kila baada ya miez sita hiyo root canal ndiyo taaluma mbadala ya kungoa jino kwani wanalifanya jino kuwa mfu kwa kuua mishipa yake kama vipi waombe ulingoe kwani ni bei rahisi ingawa inacoplication zake.
 
Asante sana mkuu
 
Mkuu usijali gharama, cha msingi upone. Maumivu ya jino acha kabisa. Nilifanyiwa root canal kwa kweli sijawahi kuhisi tena maumivu sehemu ile ambayo ilikuwa inasababisha nijiulize hivi kwa nn naumwa hivi na jino.
 
Ukienda Muhimbili itakuwa around elfu 30 hadi 40, lakini ndio hivyo...wanafunzi! Am not saying hawajui wafanyacho..lakini kula ile adha ya mwalimu kuna kusimamia kila step, kisha kurudi kwa follow up!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom