Tatizo la huduma ya m-pesa hili hapa.

kidele

Member
Aug 16, 2011
37
6
Hii ni aibu kwa watoa huduma ya m-pesa,mfano umetumiwa hela na ndugu yako pengine hela ya ujenzi n.k,ukienda kwa wakala kuchukua anakuuliza unataka kiasi gani? anakuambia sina,unaenda tena pengine na yeye hivyo hivyo, kwa hiyo biashara inaendelea hivyo mpaka pengine unaamua kuchukua nusu mpaka hela unayotaka itimie,na kadri una vyochukua nusu nus ni kadri gharama za kutoa nazo zinakuwa jubwa,wito wangu kwa wakala mkuu kabla ya kumptisha mtu kutoa hii huduma lazima awe na mtaji wa kutosha,ili kuleta imani na m-pesa.

nawaslisha wakuu.
 
Upo sahihi mkuu mawakala wengi hawana mtaji wa kutosha inakuwa usumbufu unapita ofisi kibao huwezi toa pesa hata 200,000! na ukusema kuanzia 400,000 ndo balaa utasumbuka sana!

I never rely on these new invention with sending huge sums of money! Jamani hivi vitu ni kwa hela ndogo ndogo! Mbona benk zinatuma fedha instantly kama ni local cash deposit be it NBC or CRDB etc even NMB though I have little trust in it!
 
Upo sahihi mkuu mawakala wengi hawana mtaji wa kutosha inakuwa usumbufu unapita ofisi kibao huwezi toa pesa hata 200,000! na ukusema kuanzia 400,000 ndo balaa utasumbuka sana!

sasa si wanadunduliza? mitaji ikiwa mikubwa watakuhudumia kadri unavyotaka...kuwa na subira...
 
Aiseee baba yangu inaonekana haujui biashara kwa mfano mi na mtaji wa laki 8 unataka nitowe zote nipate faida ndogo wakati nikitowa buku 20 mara 30 napata faida nyingi

nawasilisha
 
mawakala wengi wamekurupuka kuanzisha hii business bila kujua mzunguko hasa kwa biashara hii na kwa uzoefu wangu kwa sehemu yenye mzunguko hutakiwi kuwa na chini ya milioni nane ndo utaona hata faida yake kwamba anapokuja mteja asikose huduma either anatoa au anaweka na hapo ndo unapomkamata mteja kwamba akiitaji kufanya transaction lazma aje kwako maana anajua ni uhakika wengi hawajajiandaa hasa
 
nenda kwa wakala wakubwa mkubwa mkuu......mtaani kwenye vibanda mwisho wao laki kama salio.
 
Fungua mpesa yako uweke hela na floti ya kutosha. Hapo tayari umeshaona a business opportunity
 
We hujasikia lile tangazo la yule sijui dada ama kaka analia anasema"NIMETUMIWA ADA YA SHULE WAMEKATAAAAA"
nJOO Huku kwenye nchi ya maziwa na asali.
 
sio kutoa tu, hata kueka ni ishu..Mi nazilaumu benki zetu...nyingi kama sio zote ni utumbo mtupu. Benki zilitakiwa ziwe zimekomba soko hili la kutuma na kupokea pesa kwa kuweka cash points nyingi kwa kutoza pesa kidogo, lakini walivojaza ushuzi kichwani wao ndio kwanza wana-team up na M-Pesa et al, kuweka au kutoa pesa kwene a/c kwa bei ghali tu. Nchi hii haina creative minds kabisa. Hopeless.
 
Hii ni kero kubwa sana kwa huduma hii. Ila inatokana na kuwa na utitiri wa mawakala wasio na mitaji ya kutosha .
 
sio kutoa tu, hata kueka ni ishu..Mi nazilaumu benki zetu...nyingi kama sio zote ni utumbo mtupu. Benki zilitakiwa ziwe zimekomba soko hili la kutuma na kupokea pesa kwa kuweka cash points nyingi kwa kutoza pesa kidogo, lakini walivojaza ushuzi kichwani wao ndio kwanza wana-team up na M-Pesa et al, kuweka au kutoa pesa kwene a/c kwa bei ghali tu. Nchi hii haina creative minds kabisa. Hopeless.

Ufinyu wa mawazo na fikra mbadala kwa matakwa ya soko ndicho kinachowakubwa bank zetu. Hawana uwezo wa kutoa na kubadili huduma kutokana na madiliko na kasi ya maendeleo ya sasa .
 
Benki hazioni umuhimu wa kukua, huku zikilalama ukata (ref. NBC). Watu wa mashirika ya simu za mikononi wana-make billions of money (wengine wanaripotiwa kutolipa kodi stahili on top of it) lakini benki zimelala. Common benki za kibongo, you will spend an average of at least an hour kufanya vitu basic kabisa kama kutoa au kuweka pesa, na kama huduma za ziada ndo utachoka mwenyewe. Na hii ni karne ya 21! Sijui hao mabosi wao wana uoni wowote? inashangaza sana!
 
Wadau wote nimefuatilia hoja zenu na kugundua hamjui undani wa hii biashara, kuna mdau mmoja hapo juu anajiita MKUU ROMBO nadhani anaifanya hii biashara. Na hivyo anajua jinsi gani ya kutengeneza kamisheni kubwa kwa transactions ndogo ndogo huku akimeneji float yake isiwe eroded kwa transaction za amount kubwa kubwa.
 
Back
Top Bottom